kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Kursk - the advance of our Defenders is recorded
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hawana sababu hua wanawashambulia houthi kwasababu gani?[emoji1787][emoji1787] ukiona ivyo ujue hao US, UK, na Israel hawana sababu ya kupambana na hao houth vingine you hawana hata nucta ya kuwatunishia misuli hao jamaa.
Hapo kamaunataka kupima nisawa sawa kama fisi na Simba, sometimes Simba anamkimbia fisi kwa hiyariyaketu nasio kwamba hawezi kumdhibiti.
Najua una uchungu sana mkuu, Ukraine anampa urusi " homework" kumbuka ni vijiji 74 vimeshatwaliwa,na hiyo ni Kwa mujibu wa hesabu za mapema Jana,bila shaka hesabu za Leo zutakaunt kwenye vijiji 120+.., tunajua urusi Huwa ana staili yake ya carpet bombing na kuharibu kila kila kitu kwenye ground kabla ya kuukomboa eneo lolote, tumeona maeneo kama arepo Syria, bakhumut., Mariupol..,kila mtu mara hii ana shahuku kubwa kuona urusi atatumia staili gani kukomboa miji yake mwenyew..,hapa Kwa kweli ni patam mno�
Yani Kipanya unapoteza tu muda wako bure,wameshindwa kuwatoa Warusi kwenye Ardhi yao leo hii waweze kushikilia bomba hapo Kursk😂😂😂Finnish President Alexander Stubb, commenting on the advance of Ukrainian forces in Russia's Kursk region, has said that Ukraine has every right to defend itself and can use the weapons provided by Finland on Russian soil.
Maneno na vitendo ni vitu viwili tofauti.wenzako washakimbiana huko wameacha maiti za wenzao alafu wewe unakuja kutuletea habari za ZelenskPresident Zelensky today announced the creation of military command posts in the Kursk region, to send the war to Russian territory.View attachment 3069962
Wachafuzi wa jf wanamatatizo sana kwakweliManeno na vitendo ni vitu viwili tofauti.wenzako washakimbiana huko wameacha maiti za wenzao alafu wewe unakuja kutuletea habari za Zelensk
Tulieni niingize sindano!Jamaa LIONGO HILI SIJAWAHI KUONA
Hiyo inamaanisha unapata taarifa zile unazopenda kuzisikia na zinakufurahisha ila wale wengine wanakupa taarifa usizopenda kuzisikia ata kama ni kweli unakataa kuwafollow tweeter.View attachment 3069976
NAFO pambaneni na huyu mwenzenu mwenye taarifa sahihi.
huyu ndiye PRO UKRAINE pekee niliyemfuata twitter
Pole sana,mara hii ni mwendo wa kipondo mpaka Moscow 😁😁Maneno na vitendo ni vitu viwili tofauti.wenzako washakimbiana huko wameacha maiti za wenzao alafu wewe unakuja kutuletea habari za Zelensk