Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi ni mjanja sana anajua vita mno ...hapo ni kama papa kafunua mdomo vidagaa vinaingia mdomoni hadi tumboni bila ya kujua ....the way wanavyo kwenda deep ndivyo watakavyo uliwa kirahisi na kushindwa kujikwamua ...mimi ninaongea kwa kutumia akili kama askari wa ukrain wangekuwa na akili wasithubutu kwenda deep huo ni mtego tena wa kutegea njiwa siyo binadamu hata mtoto . Nasikitikia sana uongozi wa jeshi la ukrain kwa kukosa akili ya kivita ...wao walitakiwa walipovamia urusi watoke haraka na kwenda eneo jipya kuvamia tenaAir force yao haina air dominance miezi yote hii ya vita. Wanalazimika kutegemea ndege kama Tu-22, Tu-95 na Su-34 kurusha makombora na kudondosha mabomu makubwa kwa mbali, miezi ya hivi karibuni ndio walifunga zaidi glide kits kwenye mabomu.
Sasa wana songa mbele bila ya kuweka ngome 😁😁😁 dagaa kaingia kwenye mdomo wa papa na kusonga hadi tumboni kuwa chakula cha papaKursk - the advance of our Defenders is recordedView attachment 3069915
Ukimfollow Mapanya anakupa sumu mbayaaView attachment 3069976
NAFO pambaneni na huyu mwenzenu mwenye taarifa sahihi.
huyu ndiye PRO UKRAINE pekee niliyemfuata twitter
Zaidi ya salama yaaniDunia bila mzungu ingekuwa sehemu salama sana.
Anzisha uzi wao tutakuja kuwaangalia na kutoa nenoJe za wanajeshi wa Urusi umeziona?
Au unadhani hawafi?
Halafu ukijua wanachopigania hakinaUkraine aliachiwa achezee sharubu za Urusi kadri anavyoweza lakini kwa ukaidi kaamua kwenda kubembea kwenye korodani za Urusi sasa kifinyo anachokipata huko Kursk mungu ndio anajua, Wakati huo huo Jeshi la Urusi limeshawazunguka Wanamgambo wote wa Ukraine walioingia Kursk tayari kwa kutahiriwa....... Twende studio......
WARNING: GRAPHIC CONTENT
The Ukrainian army has suffered a defeat in the Kursk region.
Governor wa Kursk ameomba kutangazwa Hali ya dharuraUnashangaa mwanaume kupigania sovereignty ya nchi yake? Wangebweteka baba zako vita ya Kagera sasa hivi ungekuwa unauza bucha la kitimoto kwa lazima.
Anyway kwa hiyo warusi wao wana miili ya chuma hawafi?
We dogo kwenye Military strategy hio inaitwa mtego unamsogeza adui ndani kama vile wewe ni dhaifu, afu unamzunguka ndicho alicho kifanya Mrusi.Nachojua Hapa Urusi kapigwa sana ni aibu sana Kuingiliwa kwako nchi unajiita supa pawa...Hovyo yaani hapa putin kumbe mkwara tu
Acha kuchezea kende za UrusiJe za wanajeshi wa Urusi umeziona?
Au unadhani hawafi?
Nani aliye sema mimi?Juzi mlisema ukraine imebaki na wananeshi 55 ndani ya urusi
Russian Forces Close to Encircling Ukrainian Troops in the Kursk RegionJe za wanajeshi wa Urusi umeziona?
Au unadhani hawafi?