ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Lakini wewe unashindwa ni kuleta ukweli mwingi.Mtu anaeharibu humu mwa mauongo meengi ni mapanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini wewe unashindwa ni kuleta ukweli mwingi.Mtu anaeharibu humu mwa mauongo meengi ni mapanya
Huu ni Uongo mweupe haya mambo tunayajua usidhani kuandika hapa hatujui china ana Trade na Russia vizuri sana na wanauziana Na Biashara Kubwa tu ainafanyika unanunua kwa Yuan au Ruble basi ....Bunge la US walipitisha 'secondary sanctions' kwa benki au shirika lolote linalosaidia Russia kibiashara, malipo, nk kinyume na vikwazo kwa Russia. Matokeo yake mabenki yote ya China yamesitisha miamala na Urusi.
Saivi wanaogopa Rouble kuliko ukimwi.
Saivi Putin ana option mbili tu, kufanya biashara kwa mtindo wa zama za mawe, yaani kubadilishana vitu (barter trade), au kujikita kwenye usumbufu wa Bitcoin 😄
That's why Putin saivi hana jinsi lazima apumulie mashine tu, presha inapanda, presha inashuka 24/7.
Zele, tandika hiyo Nyau ka mbwa mwizi
Ukweli Ni Kwamba Russia atamaliza hii vita kwa Ushindi na kwamba hao walioingia Hapo hamna ataetoka hata mmoja Hilo andika tulia.Lakini wewe unashindwa ni kuleta ukweli mwingi.
Wewe putin umekuwa mwongo sana siku hizi, ulitwambia ungeipiga Ukraine kwa wiki mbili, leo ni miaka sasa, kibaya zaidi Ukraine anakupumlia mgongoni, bado unarahisisha tu kwamba unania ya kushinda kirahisi?Ukweli Ni Kwamba Russia atamaliza hii vita kwa Ushindi na kwamba hao walioingia Hapo hamna ataetoka hata mmoja Hilo andika tulia.
Baada ya Vita Zekensky hatakua tena Rais wa Ukraine wala hata hiyo Ukraine haitajiunga Nato na wala kwa hali zote Maeneo yaliyochukuliwa hayatarudi kamwe.
Wapi putin alisema ataipiga ukraine kwa wiki mbili?Wewe putin umekuwa mwongo sana siku hizi, ulitwambia ungeipiga Ukraine kwa wiki mbili, leo ni miaka sasa, kibaya zaidi Ukraine anakupumlia mgongoni, bado unarahisisha tu kwamba unania ya kushinda kirahisi?
Sawa mtoa maamuzi kutoka Moscow.Ukweli Ni Kwamba Russia atamaliza hii vita kwa Ushindi na kwamba hao walioingia Hapo hamna ataetoka hata mmoja Hilo andika tulia.
Baada ya Vita Zekensky hatakua tena Rais wa Ukraine wala hata hiyo Ukraine haitajiunga Nato na wala kwa hali zote Maeneo yaliyochukuliwa hayatarudi kamwe.
alafu ukizingatia ukraine anapewa silaha ndogo,na hata akipewa hapewi kwa wakati na hata zikifika anapewa masharti ya kuzitumia anaambiwa mpige mgongoni tuu usoni usimpige wakati yeye anapigwa usoni,inashangaza sana pamoja na shida zote Russsia inapata tabu najiuliza hivi ukraine akapewa tuu asilimia 20 ya silaha za nato bila masharti hii vita ingekaaje,any way kuna sheria za kimataifa za kulinda amani ambazo ndizo zinawafunga sana NATO la sivyo wangeingia hata kwa nusu.Wewe putin umekuwa mwongo sana siku hizi, ulitwambia ungeipiga Ukraine kwa wiki mbili, leo ni miaka sasa, kibaya zaidi Ukraine anakupumlia mgongoni, bado unarahisisha tu kwamba unania ya kushinda kirahisi?
Ukraine is close to closing the Seim river caldera, — Jornal Bild.K
Wapi putin alisema ataipiga ukraine kwa wiki mbili?
Ukraine is close to closing the Seim river caldera, — Jornal Bild.Kipanya upo??? Hawa ni wamagharibi wenyewe,ukiona wenyewe wanakiri ujue hali ni.............
Civilians flee key eastern city as Russian troops close in
Civilians are fleeing a city in the Donetsk region as Russian forces intensify attacks on embattled Ukrainian troops.
Local authorities said Russian troops were advancing so quickly that families had been ordered to leave the 53,000-strong city, and nearby towns and villages.
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Mbona wewe ndo MUONGO og?!!Huu ni Uongo mweupe haya mambo tunayajua usidhani kuandika hapa hatujui china ana Trade na Russia vizuri sana na wanauziana Na Biashara Kubwa tu ainafanyika unanunua kwa Yuan au Ruble basi ....
Tuwatakie kheri na mafanikio,Urusi akiteka Kijiji kimoja Donbass, Ukraine anabeba vijiji 10 Kursk 🤣😅
Mkuu umevutiwa na umwamba wa Hamas!?wape heshima yao.HAMAS Wana blockade Miaka nenda Rudi lakini bado hawajafa njaa,sembuse hao askar wa Ukraine.,nyie watu mna propaganda cheap sana!
Lazima ukweli usemwe comred! Mtu bila aibu anakuambia askari wa Ukraine wanakufa kwa njaa huko Kursk kutokana na blockade., propaganda ni lazima vitani lakini inatakiwwa propaganda zenye mashiko!Mkuu uvutiwa na umwamba wa Hamas!?wape heshima yao.
Chombo gani hiki cha habari ili tukajiridhisheMbona wewe ndo MUONGO og?!!
Ukiacha porojo za kwenye vijiwe vya kahawa, una ushahidi wowote wa taarifa rasmi utuwekee hapa kuthibitisha unayosema??
Mimi nakuwekea proof ya yale niliyoandika hapa chini:-
14 August 2024 08:29 AM
NEARLY ALL CHINESE BANKS ARE REFUSING TO PROCESS PAYMENTS FROM RUSSIA, REPORT SAYS
The impact of the West's sanctions just seems to be getting worse and worse for Russia.
Now, 98% of Chinese banks — even small regional ones — are refusing to accept direct Chinese payment transfers from Russia, Alexey Razumovsky, the commercial director of the payments company Impaya Rus, told the pro-Kremlin media outlet Izvestia.
Such issues appear to have intensified over the past three weeks, as smaller Chinese financial companies were still processing Russian payments in May and June, Izvestia reported.
Last month, the Russian outlet Kommersant reported that about 80% of bank transfers made in the Chinese yuan were bouncing back with no explanation after being stalled for weeks while banks decided whether they could transact.
Razumovsky told Izvestia the payment challenges with Chinese banks could contribute to supply-chain difficulties and inflation in Russia.
DOORS BETWEEN RUSSIA AND CHINESE BANKS ARE CLOSING
Since the invasion of Ukraine, Russia and its trade partners have skirted sanctions by using smaller banks and other payment modes or non-US-dollar currencies to circumvent the West's ban of some Russian banks from the widely-used SWIFT messaging system.
But the doors have been closing for these workarounds since December, when the US approved secondary sanctions targeting financial institutions that were helping Russia.
Alexey Poroshin, the general director of the investment and consulting firm First Group, told Izvestia that some financial institutions in China were even starting to reject payments in the ruble.
Poroshin said Chinese banks weren't keen on doing business with Russian companies through financial institutions in Hong Kong, a special administrative region under China.
Ekaterina Kizevich, the CEO of Atvira, a Russian foreign-trade consultancy, told Izvestia that Russian companies were still sending yuan to China via Russian bank branches on the mainland, but there was a 5% markup.
Many Chinese companies would still refuse payments from the Russian bank branches on the mainland, Impaya Rus' Razumovsky told the newspaper.
RUSSIA IS RUSHING TO SET UP ALTERNATIVE PAYMENT MECHANISMS
Russian businesses still have alternatives, such as conducting transactions through "friendly" third-party countries.
Russia is also rushing to set up alternative payment systems, including crypto, to facilitate trade
Russia and China are even planning to revive the age-old practice of barter trade to get around Western sanctions.
Russia's problems with paying Chinese suppliers would cut off a crucial pillar of support for its war against Ukraine, Joseph Webster, a senior fellow at the Atlantic Council think tank, wrote in a June report.
"While Russia's exports help finance its war effort, its imports of industrial goods are vastly more important for sustaining the economic, political, and military dimensions of its war effort, at least in the short term," he wrote.
"Russia's imports prevent shortages, maintain political support for the war by stabilizing living standards, and, in some cases, facilitate military capabilities," Webster added..