Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kufa vitani ni jambo la kawaida Kuna maelfu ya wanajeshi wa Urusi wako mavumbini hivi nnavyoandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa kiongozi, ili umnase vyema kabisa adui yako na kumpoteza maboya ni lazima useme uongo unaokaribiana na ukweli.Lazima ukweli usemwe comred! Mtu bila aibu anakuambia askari wa Ukraine wanakufa kwa njaa huko Kursk kutokana na blockade., propaganda ni lazima vitani lakini inatakiwwa propaganda zenye mashiko!
Kwani wanajeshi siyo binadamu?kumbe ni wanajeshi kwa wanajeshi, wenzao wanachinja raia na watoto huko gaza kwa mizinga
Dogo,Watu dhaifu hutukana hata kupigana
sasa wewe mtu unaesotea ugali hapa Tz unanitukana kisa Tu tunapishana mawazo huoni una shida ya kufikiria???
Wewe tulia kaa hapa na simu yako acha matusi.
Matusi tukana mkeo au mumeo.
Hizi picha zipo kwenye mitandao yote mikubwa duniani kama vile X na Telegram.nimeweka ili kuonesha ukubwa wa tatizo mkuu.Bora ungetoa tahadhari kabla ya kupost, picha zinaogopesha. Moderator uzi huu unaudhi sana maudhui yanakera
Mtu mzima lazima ajikaze!Urusi analambishwa hasara kwa kweli,sema jamaa king'ang'anizi mno
The result of the demolished pontoons in Kursk. They want to transfer the equipment, but they transferred it to the other world.View attachment 3074767View attachment 3074768
Aisee urusi amechafukwa zelensky na marekani wanasema urusi anavunja sheria na anakiuka Haki za kibinadamuKwan si tuliambiwa kuwa mambo yameniga Kursk kuwa urus amepakatwa??
Au ndio yale yale ya Israelna Gaza?
Mkuu tafadhari uwe wa copy maelezo hapa kisha unaweka link kama hutojali.==============
Slava Ukraine...
Wale WA Ukraine wanapojisalimisha,hawali ugari WA Bure,wanavuliwa gwanda za Ukraine,wanaveshwa za Urusi,wanageuzwa walipotoka,wanawachapa wenzao., Adui ni ama ajisalimishe,
Acha kutupostia picha za miili mkuu....Urusi amekataa kufanya mazungumzo yeyote ya amani na Ukraine. Hali ni mbaya wanajeshi wa Ukraine wanakufa kama kumbikumbi. Umoja wa mataifa upo wapi jamani kuisaidia Ukraine? Jioneeni wenyewe.View attachment 3075122View attachment 3075123
Lakini tangu hivi vita vianze urusi hakuwahi kuuwa kiasi hiki Tena kwa speed ya Kasi sana kwenye kuwaua hawa wanajeshi wa ukraine.kuna tatizo gani? Nini kimemkasirisha kiasi hiki?Mbona Hilo ni suala la kawaida kwenye Vita , Adui ni ama ajisalimishe, au umuue au akuue yeye.
Thamani ya uhai hailinganishwi iee Gaza , Ukraine au kivu kaskazini.kumbe ni wanajeshi kwa wanajeshi, wenzao wanachinja raia na watoto huko gaza kwa mizinga
Sasa kwanini na wao wasi publish tuwaone wanavowaua warusi? Hivi sasa tunaenda kidijitali vita Inapoganwa inaonesha achievement banaKufa vitani ni jambo la kawaida Kuna maelfu ya wanajeshi wa Urusi wako mavumbini hivi nnavyoandika