LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kufa vitani ni jambo la kawaida Kuna maelfu ya wanajeshi wa Urusi wako mavumbini hivi nnavyoandika
 
Lazima ukweli usemwe comred! Mtu bila aibu anakuambia askari wa Ukraine wanakufa kwa njaa huko Kursk kutokana na blockade., propaganda ni lazima vitani lakini inatakiwwa propaganda zenye mashiko!
Kweli kabisa kiongozi, ili umnase vyema kabisa adui yako na kumpoteza maboya ni lazima useme uongo unaokaribiana na ukweli.
 
Watu dhaifu hutukana hata kupigana

sasa wewe mtu unaesotea ugali hapa Tz unanitukana kisa Tu tunapishana mawazo huoni una shida ya kufikiria???
Wewe tulia kaa hapa na simu yako acha matusi.
Matusi tukana mkeo au mumeo.
Dogo,
Matusi ulianza wewe. Au unataka utakane halafu wewe usitukanwe.

Wahenga walisema unavuna unachopanda.

Eti uletewe taarifa rasmi ya serikali ya China!!! Nani alikudanganya kuwa serikali za kikomunisti husema ukweli???
 
Another FSB Bandit from the Russian GESTAPO secret forces and police was successfully demobilized in Ukraine and got a black bag:
Graduated from the Moscow Theological Academy (MP and FSB sects), Ivan Dedusenko abandoned his master's degree and left for Ukraine. Where he was successfully demobilized in the Kharkiv region
1724172458405.jpg
.
 
4 more Russian officers were successfully demobilized in Ukraine and will return in black bags:
  • former head of the criminal investigation department of the city of Sevastopol, in large numbers Andrey Yablokov successfully applied as an attack plane in the Kursk region;
  • captain Popykin Oleg;
  • Lieutenant Rudenko Oleg;
  • junior lieutenant Davletbaev Rif
    1724172563194.jpg
    kat;
 
In the direction of Kursk, there are battles for the Russian Konopelka, which is east of Sudzha.
1724172727964.jpg
 
Back
Top Bottom