LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wachambuzi wengi sana wa vita hii hua mnasumbuliwq sana na utoto.
Hivi wewe kijana wa kitanzania pengine ni mkaguru kwa kabila unawezaje kujua stock ya silaha za Urusi na hata za NATO?
Hivi wewe kweli unazijua Siri za jeshi la Urusi kuliko Shoigu,Putin na Medvedev?
Ok sawa tufanye hoja Yako Iko sawa,Sasa hizo aslimia 80 za silaha za Urusi zilizokwisha tumika,je zimetumika kupiga milimani ,maporini na baharini?
Hakuna silaha za NATO zilzoharibiwa?
Au hakuna wanajeshi wa Ukraine na NATO waliokufa na silaha zao zilzoharibiwa?

Hata hivyo unaonaje hoja Yako kuwa inaipa Urusi ukuu mkubwa sana?
Kwa sababu Urusi peke yake inapigana na nchi zote zA NATO ambazo kwa ujumla ni nchi 32 ambazo yumo superpower wa Dunia Ndugu Marekani.
Je kati ya NATO na Urusi nani ni mkubwa hapa?
Maana hapa Kwa Sasa hivi hatuiongelei Tena a Ukraine,Bali tunaiongelea NATO.na ndani ya NATO yumo world superpower USA
Je huoni hapa Urusi ndio kubwa?
Labda nikukumbushe Urusi sio Iraq wala Yugoslavia wala libya.urusi ni Urusi.
Kwa misaada ya silaha, vikwazo na fedha NATO wanazoipa Ukraine na kwa sababu Urusi imebakiza 20%ya silaha zake nadhani huu ndio wakati mwafaka wa kuingiza rasmi jeshi la NATO kwenda kuimaliza Urusi rasmi.

Maana kwa makadirio Yako wewe jasusi wa Dunia kua huenda Urusi imeshatimia 80% ya silaha zake,wakati (NATO)hapa sio Ukraine Tena kua haijatumia hata 40% ya silaha zake.
Mie hua mnanipa Raha sana kuilinganisha Urusi peke yake dhidi ya NATO ambayo ndani yake Kuna super power wa Dunia,hii maana yake super power peke yake hawezi kuingia vitani na Urusi.
Ninashukuru sana kwa kutambua ukuu wa Urusi kijeshi bila kificho.
Hakika vijana wa humu ukiwafatilia unajikuta unacheka peke yako, kuna madogo humu wanada details za majeshi yote ya dunia hii, yaaani aina ya silaha wanazozimiliki, ubora wa hizo silaha mpaka idadi na uwezo wa hao wanajeshi, mungine akaenda mbali anapajua mpaka Putin anapolala
Ajabu ss anaendika hayo ana mashabiki kabisa humu na wenzie wanamuamini maskini ya Mungu
Ajabu kuu kabisa ukute huyoo dogo gobole hajawahi lishika
 
Yaishe usigombane kwenye uzi wa watu
New satellite images: Russia is likely building a new bridge parallel to the Kerch Bridge. According to new satellite images, construction work can be seen on both sides of the Kerch Bridge, also called the Crimean Bridge. This may indicate that the Russians are likely trying to protect the bridge against potential further Ukrainian attacks.
1724524798794.jpg
 
Ukraine's operation in Russia's Kursk Oblast has helped prevent the occupation of Sumy Oblast and its regional center, the city of Sumy, President Volodymyr Zelensky said at a press conference on Aug. 24.
 
eti watu wanatekwa mara sijui ooh watu wanasanya.
sasa wew unaweza kuzuia nini ukiwa hapo matejo kwa mama kichwa mbaya ukinyonya gongo na taksime kama ngumi mdomoni
Angalau niki Tejo nini influence kwa kubweka tu. Je wewe unaweza nini ku inlfuence huko Russia na Ukraine?

Au wewe ni gasho wa kitasha?
 
Wachambuzi wengi sana wa vita hii hua mnasumbuliwq sana na utoto.
Hivi wewe kijana wa kitanzania pengine ni mkaguru kwa kabila unawezaje kujua stock ya silaha za Urusi na hata za NATO?
Hivi wewe kweli unazijua Siri za jeshi la Urusi kuliko Shoigu,Putin na Medvedev?
Ok sawa tufanye hoja Yako Iko sawa,Sasa hizo aslimia 80 za silaha za Urusi zilizokwisha tumika,je zimetumika kupiga milimani ,maporini na baharini?
Hakuna silaha za NATO zilzoharibiwa?
Au hakuna wanajeshi wa Ukraine na NATO waliokufa na silaha zao zilzoharibiwa?

Hata hivyo unaonaje hoja Yako kuwa inaipa Urusi ukuu mkubwa sana?
Kwa sababu Urusi peke yake inapigana na nchi zote zA NATO ambazo kwa ujumla ni nchi 32 ambazo yumo superpower wa Dunia Ndugu Marekani.
Je kati ya NATO na Urusi nani ni mkubwa hapa?
Maana hapa Kwa Sasa hivi hatuiongelei Tena a Ukraine,Bali tunaiongelea NATO.na ndani ya NATO yumo world superpower USA
Je huoni hapa Urusi ndio kubwa?
Labda nikukumbushe Urusi sio Iraq wala Yugoslavia wala libya.urusi ni Urusi.
Kwa misaada ya silaha, vikwazo na fedha NATO wanazoipa Ukraine na kwa sababu Urusi imebakiza 20%ya silaha zake nadhani huu ndio wakati mwafaka wa kuingiza rasmi jeshi la NATO kwenda kuimaliza Urusi rasmi.

Maana kwa makadirio Yako wewe jasusi wa Dunia kua huenda Urusi imeshatimia 80% ya silaha zake,wakati (NATO)hapa sio Ukraine Tena kua haijatumia hata 40% ya silaha zake.
Mie hua mnanipa Raha sana kuilinganisha Urusi peke yake dhidi ya NATO ambayo ndani yake Kuna super power wa Dunia,hii maana yake super power peke yake hawezi kuingia vitani na Urusi.
Ninashukuru sana kwa kutambua ukuu wa Urusi kijeshi bila kificho.
Tutake ladhi wakaguru sisi tunajitambua kiongozi huyo mpe kabila linalomfaa.
 
Back
Top Bottom