100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Mzee fanya issue zako, acha kuchafua uzi.Hehehe umesahau sio
Nshakuambia, kama una kumbuka nambie na lini.
Nitolee uchokoraa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee fanya issue zako, acha kuchafua uzi.Hehehe umesahau sio
Pole kijanaMkuu, vita ni mbinu bora, askali bora, vita ni akili, mikakati. uwezo wa kifedha, uwezo vifaa vya kisasa vya vita n.k. Kwa uju.mla vita havitaki hasira bali mikakati yenye UMAKINI. Ona sasa Putin amekuwa Mpole anaona bora liende.
Huyu anahitaji msaada wa elimu.Pole kijana
Kabisa maana hajaelimikaHuyu anahitaji msaada wa elimu.
Hakika vijana wa humu ukiwafatilia unajikuta unacheka peke yako, kuna madogo humu wanada details za majeshi yote ya dunia hii, yaaani aina ya silaha wanazozimiliki, ubora wa hizo silaha mpaka idadi na uwezo wa hao wanajeshi, mungine akaenda mbali anapajua mpaka Putin anapolalaWachambuzi wengi sana wa vita hii hua mnasumbuliwq sana na utoto.
Hivi wewe kijana wa kitanzania pengine ni mkaguru kwa kabila unawezaje kujua stock ya silaha za Urusi na hata za NATO?
Hivi wewe kweli unazijua Siri za jeshi la Urusi kuliko Shoigu,Putin na Medvedev?
Ok sawa tufanye hoja Yako Iko sawa,Sasa hizo aslimia 80 za silaha za Urusi zilizokwisha tumika,je zimetumika kupiga milimani ,maporini na baharini?
Hakuna silaha za NATO zilzoharibiwa?
Au hakuna wanajeshi wa Ukraine na NATO waliokufa na silaha zao zilzoharibiwa?
Hata hivyo unaonaje hoja Yako kuwa inaipa Urusi ukuu mkubwa sana?
Kwa sababu Urusi peke yake inapigana na nchi zote zA NATO ambazo kwa ujumla ni nchi 32 ambazo yumo superpower wa Dunia Ndugu Marekani.
Je kati ya NATO na Urusi nani ni mkubwa hapa?
Maana hapa Kwa Sasa hivi hatuiongelei Tena a Ukraine,Bali tunaiongelea NATO.na ndani ya NATO yumo world superpower USA
Je huoni hapa Urusi ndio kubwa?
Labda nikukumbushe Urusi sio Iraq wala Yugoslavia wala libya.urusi ni Urusi.
Kwa misaada ya silaha, vikwazo na fedha NATO wanazoipa Ukraine na kwa sababu Urusi imebakiza 20%ya silaha zake nadhani huu ndio wakati mwafaka wa kuingiza rasmi jeshi la NATO kwenda kuimaliza Urusi rasmi.
Maana kwa makadirio Yako wewe jasusi wa Dunia kua huenda Urusi imeshatimia 80% ya silaha zake,wakati (NATO)hapa sio Ukraine Tena kua haijatumia hata 40% ya silaha zake.
Mie hua mnanipa Raha sana kuilinganisha Urusi peke yake dhidi ya NATO ambayo ndani yake Kuna super power wa Dunia,hii maana yake super power peke yake hawezi kuingia vitani na Urusi.
Ninashukuru sana kwa kutambua ukuu wa Urusi kijeshi bila kificho.
parik, tambuu na gomba havifai nduguHapana dear
Unataka nikuite dear wewe jombaa?parik, tambuu na gomba havifai ndugu
kausha basi unachafua uzi na huyo ephen wako
halafu eti una andika neno dear kabisa halaf ni mtoto wa kiume
Yaishe usigombane kwenye uzi wa watuUnataka nikuite dear wewe jombaa?
Acha usoga
New satellite images: Russia is likely building a new bridge parallel to the Kerch Bridge. According to new satellite images, construction work can be seen on both sides of the Kerch Bridge, also called the Crimean Bridge. This may indicate that the Russians are likely trying to protect the bridge against potential further Ukrainian attacks.Yaishe usigombane kwenye uzi wa watu
Msemaji wa Vital'O unatuchanganyia habariIranian President Hassan Rouhani
Sawa dear kuna mtu alitaka kuchukua nafasi yako nikawa nalinda banaYaishe usigombane kwenye uzi wa watu
Wewe ni mtata sanaSawa dear kuna mtu alitaka kuchukua nafasi yako nikawa nalinda bana
Kipanya anaokota okota habari mpaka anavurugwa msamehe bureMsemaji wa Vital'O unatuchanganyia habari
Nitakulinda kwa Kalashinklov, RPG na ICBMWewe ni mtata sana
eti watu wanatekwa mara sijui ooh watu wanasanya.Unataka nikuite dear wewe jombaa?
Acha usoga
Angalau niki Tejo nini influence kwa kubweka tu. Je wewe unaweza nini ku inlfuence huko Russia na Ukraine?eti watu wanatekwa mara sijui ooh watu wanasanya.
sasa wew unaweza kuzuia nini ukiwa hapo matejo kwa mama kichwa mbaya ukinyonya gongo na taksime kama ngumi mdomoni
jombaa tema kwanza hiyo taksime kavuAngalau niki Tejo nini influence kwa kubweka tu. Je wewe unaweza nini ku inlfuence huko Russia na Ukraine?
Au wewe ni gasho wa kitasha?
Tutake ladhi wakaguru sisi tunajitambua kiongozi huyo mpe kabila linalomfaa.Wachambuzi wengi sana wa vita hii hua mnasumbuliwq sana na utoto.