Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss kubwa Kumbe siku hizi Iran Rais wao ni bwana Rouhan?PUTIN IS CRAYNG....
Iranian President Hassan Rouhani called to congratulate Ukrainian President Vladimir Zelensky and the people on Ukraine's Independence Day, reports the Iranian president's press service. Putin's faithful lackey Lukashenko also suddenly “changed his shoes” and very curly congratulated Ukraine on Independence Day. The full congratulations were published by the head of state's press office.View attachment 3078310
Ya msingi kale kamchezo unakopenda kauna j s, we dogo umelaaniwaMnabishana upuuzi wakati mambo ya msingi mnayaacha
Dogo ni nani? Mimi babakoYa msingi kale kamchezo unakopenda kauna j s, we dogo umelaaniwa
One certain thing is Russia can, and will push Ukraine out of Kursk while Ukraine can not push Russia out of Crimea, the Donbas...
Historia imeshaandikwa kwamba kwa mara ya kwanza jeshi la nchi ya kigeni limevamia urusi since world war II..,kama imemchukua urusi zaidi ya miaka 2 kuikomboa Donbass,na bado mpaka Sasa hajaweza,huko Kursk nadhani itamchukua zaidi ya miaka 5One certain thing is Russia can, and will push Ukraine out of Kursk while Ukraine can not push Russia out of Crimea, the Donbas...
Mkuu naamini kuna nati zimelegea sio burePoor mind. So kutekwa raia wenzako ambao wanaweza kuwa ndugu zako ni poa tu ila ujadili wa ukraine usiowaju?
Nincompoop
Mkuu kwa nn unapenda kuweka link, badala ya habari na link?.
Hapana Mkuu sijawadharau kabisa wakaguru,Bali nimeshangaa kua Mtanzania mwenzetu Tena anaweza kua mkaguru anawezaje kuujua uwezo wa jeshi la Urusi kuliko hata Shoigu au Putin au Medvedev?Tutake ladhi wakaguru sisi tunajitambua kiongozi huyo mpe kabila linalomfaa.
Msemaji wa Vital'O unatuchanganyia habari
You're not serious. NATO ipi ya kulinda anga la Ukraine! US wenyewe likitumwa hypersonic kwao hawana uwezo wa kulizuia, unaishi dunia ipi wewe?NATO is still discussing whether to protect Ukrainian skies from Russian missiles, Polish President Andrzej Duda said at a Kyiv press conference on Aug. 24, according to the President's Office.
Mapanya jamani mhurumieni yaani yeye chochote anachookota anakimbiza kuleta humu ili mradi kiandike kiingereza na pia Kisema ubaya kuhusu Russia baasi yeye hajali😀😀😀😀Boss kubwa Kumbe siku hizi Iran Rais wao ni bwana Rouhan?
Mkuu samahani sana; kulinda anga maana yake ni nini?You're not serious. NATO ipi ya kulinda anga la Ukraine! US wenyewe likitumwa hypersonic kwao hawana uwezo wa kulizuia, unaishi dunia ipi wewe?
Au kwa maana nyingine ni kuwa hakuna nchi yeyote yenye uwezo wa kulinda anga lake?You're not serious. NATO ipi ya kulinda anga la Ukraine! US wenyewe likitumwa hypersonic kwao hawana uwezo wa kulizuia, unaishi dunia ipi wewe?