Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni sawa na kuiitafutia Ukraine kaburi. Kama wanataka Ukraine izikwe mazima wajaribu hiyo na wanajua kwe hawatathubutu .Huu ni muda mzuri nchi za Magharibi ziruhusu Ukraine kupiga popote ndani ya Urusi. Tunataka tuone majengo ya Moscow yakianguka.
Vipi marekani kashawaruhusu au Bado mnasubiri maamuzi kutoka Washington?Haya zamu yenu sasa na sisi hatulengi vitu vidogo
Urusi ana silaha nzito ambazo Air defense haiwezi kuzuiaKwan hakuna eya difensi za nyeto huko nyukireini mpaka wanapelekewa moto hivi
Unachekesha sana shekhe,Hivyo vikombora na vidrone urusi alidunduliza kwa takriban miezi 3 hambayo ilipita bila kufanya massive attacks hapo Ukraine,hapo itabidi ajipange Tena kwa zaidi ya miezi mingine zaidi ya 4 kufanya massive attacks nyingine Ili azidi kucheza na akili za nyumbu wanaomshangiliaNiliwaambia kuwa Putin anapigana kiustaarabu sana wapo walionikatalia sasa hii sehemu mdogo sanaa ya uwezo wa Russia.
Sawa sisi hatuna maneno mengi. Ni bampa to bampa tutaonaa.Unachekesha sana shekhe,Hivyo vikombora na vidrone urusi alidunduliza kwa takriban miezi 3 hambayo ilipita bila kufanya massive attacks hapo Ukraine,hapo itabidi ajipange Tena kwa zaidi ya miezi mingine zaidi ya 4 kufanya massive attacks nyingine Ili azidi kucheza na akili za nyumbu wanaomshangilia