hakomana sekemesekeme
JF-Expert Member
- Oct 15, 2023
- 646
- 1,568
ngapi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kursk mshaiteka tayari na pasipo bahati baadhi ya vijiji vishaanza kombolewaYale Yale yaliyotokea Kursk yanatokea BELGOROD.updates zinakuja!
Bro acha kudanganya watu.Historia imeshaandikwa kwamba kwa mara ya kwanza jeshi la nchi ya kigeni limevamia urusi since world war II..,kama imemchukua urusi zaidi ya miaka 2 kuikomboa Donbass,na bado mpaka Sasa hajaweza,huko Kursk nadhani itamchukua zaidi ya miaka 5
N.B.huko Donbass urusi alikuwa akijarbu kukomboa tangu mwaka 2014 kwa kutumia mamluki, iliposhindikana akaamua ajitokeze yeye mwenyewe halisi Katika rangi yake mwenyewe lakini bado Ngoma ngumu.,narudia Tena urusi bado ana safar ndefu sana kuikomboa Kursk
Yale Yale yaliyotokea Kursk yanatokea BELGOROD.updates zinakuja!
Safi sana kwa updates.,hata Kursk lugha zao zilikuwa hizohizo tu.,muda muafaka ukifika ukweli utawekwa wazi ,tuupe muda nafasi 🙌🙌🙌Ukrainian forces trying to break through into Russia’s Belgorod Region — authorities
BELGOROD, August 27. /TASS/. The Ukrainian armed forces are trying to penetrate into Russia’s Belgorod Region, Governor Vyacheslav Gladkov said.
"There is information that the enemy is trying to break through the border of the Belgorod Region. According to the Russian Defense Ministry, the situation on the border remains difficult but under control," the regional head said on his Telegram channel.
According to the governor, Russian servicemen are carrying out routine work. "Please remain calm and trust only official sources of information," Gladkov added.
UMeanza matango pori mzee tuliaRussian Chechen commander:
Don't worry, the Ukrainian advances on Kursk have been stopped...
Ukrainian Commander in Kursk: Here is a photo of a Russian Chechen soldier arrested tonight. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂View attachment 3080602View attachment 3080603😂
Tumeshapaona dont worry we will do the needful....Ukraine reported today that it carried out the first successful test of the first Ukrainian ballistic missile, with a range of up to 3000 kilometers and a warhead of up to 500 kilograms.
The photo is illustrativeView attachment 3080634.