Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FAB kwenye ardhi yake?Huko ni mwendo wa FAB nzito zinangushwa.
Dah maisha yanabadilika kwa haraka sana,yaani nchi za west toka vita ya kupambana na ugaidi Hadi kutegemea,kufundisha,kuhifadhi,kusifia,kukumbatia na kufurahia ugaidi!?Bahati nzuri vita ina njia nyingi; Ukraine wakishindwa kwenye uwanja wa vita wanaweza kuingia kwenye uwanja wa kufadhili magaidi na suicide squard ndani ya Russia.
Tuombe tu mvamizi Russia aachane na hii vita.
Situation in the Kursk region- The Ukrainian Armed Forces took full control of the Malaysian settlements Loknya, Staraya Sorochin, Novaya Sorochin, Orlovka, Maryevka and Pogrebki, occupying an area up to 8.5 km wide to a depth of 3.25 km. Enemy drone pilots confirm the advance and occupation of the final inhabited area of Pogrebki by the Ukrainian armed forces. In the Korenevsky district, clashes in the area of settlements continue. Korenevo, Aleksandrovka and the Kremjans.Ila nyie jamaa mbona mnapenda kumnyong'onyesha mr Kp Kipanya44 hapo si balaaa
Bado mkuu, lakini naona maeneo yanakombolew Kwa Kasi., tuombe mungu inshallah!Bado hawajafika Moscow?
Hapohapo hasa ndio panatafutwa, urusi awekeze nguvu zake nyingi sana huko Ili pande nyingine za front line zipumue kidogo.,hizo FAB urusi asingekuwa anazidondosha huko Kursk lazima angekuwa anazidondosha Ukraine!Huko ni mwendo wa FAB nzito zinangushwa.kama ikitokea akabaki mwanajeshi hata mmoja wa Ukraine akafanikiwa kuvuka mpaka akarudi kwao salama basi mje mnikate kichwa.
Hakun hata mwanajesh mmoja atakayeweza kurudi akiwa hai
Leo ni tarehe 1 mwezi wa Tisa..,hii naiscreenshort kwa matumiz ya baadaeBaada ya wiki 2 zijazo mkimuona tena Kipanya44 hapa jukwaani basi mniite Asha mitako 😂😂😂
Atakuja kutuaga na hapohapo atakumbushia ahadi yako!Baada ya wiki 2 zijazo mkimuona tena Kipanya44 hapa jukwaani basi mniite Asha mitako 😂😂😂
Ni sawa TU,hakuna formula,adui (nyoka) akiingia ndani ikibidi kuvunja kabati kwa ajili ya kumuua vunja,kabati unaweza kutengeneza jingine lkn mtu akiumwa na nyoka,(koboko),uwezekano wa kupona ni asilimia ndogo sana.FAB kwenye ardhi yake?
Kama kuna mwenye taarifa zaidi naomba ashee hapa. Sidhani kama Putin anaweza kuigonga Kursk na ma FAB. Yale madude sio ya kawaida aiseeNi sawa TU,hakuna formula,adui (nyoka) akiingia ndani ikibidi kuvunja kabati kwa ajili ya kumuua vunja,kabati unaweza kutengeneza jingine lkn mtu akiumwa na nyoka,(koboko),uwezekano wa kupona ni asilimia ndogo sana.
Kwa hiyo badala ya kulemba ikibidi kuvunja kabati ili kumuua vunja.