LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Russia ana nuklea zenye uajabu wake ikktokea umerusha nuklea russia basi nuklea za russia zinajiwasha auto na kufuata ilikitokea nuklea hata bila kuongozwa ni mfumo imara ndiyo maana wanamfunzi maalum huko mashuleni kuhusu nuklea

kumbuka hakuna nchi yoyote yenye huo mfumo wa auto...ingekuwa rahisi kuivamiq russia basi nato zamani sana wangeingia ila kama tunataka kuleta ushabiki basi usa ni bora ila uhalisia russia ni mwanaume usa ni mwanamke
Inaitwa second strike capability, Urusi anayo, Marekani, China, Ufaransa na Uingereza pia.
Korea Kaskazini na Israel haifahamiki kama wanao ama lah, India na Pakistan wanapambana kuwa na hiyo capability lakini bado.
 
Screenshot_20240913-111858.png
.
 
Putin warns Ukraine use of long-range arms will put NATO at war with Russia

Ukraine’s Zelenskyy has urged allies to lift restrictions on Western-supplied arms to strike deep inside Russia.

Putin
President Vladimir Putin has said that Russia would regard Western missiles being fired into its territory as a serious escalation of the war.

13 Sep 2024
President Vladimir Putin has warned that if Western nations allow Ukraine to use long-range weapons to strike inside Russia then it will mean NATO would be “at war” with his country.

“This would in a significant way change the very nature of the conflict. It would mean that NATO countries, the US, European countries, are at war with Russia,” Putin told Russian state TV on Thursday.

“And if this is so, then, bearing in mind the change in the very essence of this conflict, we will make appropriate decisions based on the threats that will be created for us,” he said.
 
KWA HIYO SASA HIVI HAPIGANI NA NATO
 
Kwahyo maana yake nikwamba, ikiwa Ukraine itatumia hizo long range kwa nukuu ya Moscow nikwamba NATO itakuwa imejiingiza direct kwenye vita dhidi ya urusi, kwahyo hapo tutarajie kambi za NATO/ marekani zilizopo ulaya kutiwa viberiti, ngoja tuone itakavokuwa lakini kwa upande mwingine huwezi kupuuza nguvu ya NATO. Vita huwezi kushinda kwa kurusha makombora tu kama anavofanya Israel kule gaza, ni lazima uwe na uwezo wa kutawala anga la adui vikienda sambamba na vikosi vya ardhini

Mkuu Iko hivi,
Ni mtu Mjinga pekee anaeweza kuipuuza nguvu ya NATO,
Urusi hawaipuuzi hata kidogo,
China na nchi zote duniani hawaipuuzi nguvu ya NATO hata kidogo.
Lakini NATO we yewe hawaipuuzi nguvu ya urusi hata kidogo.
Shida Iko hapa .
Vita yoyote ikitokea baina ya NATO na Urusi peke yake haitaiacha hata nchi moja kati ya Urusi na NATO salama .
Maana yake baada ya vita nchi zote kati ya Urusi na NATO zitakua magofu kama magofu ya Gaza.
Sasa Hadi hapo Kila nchi za NATO zikiwaza zinaona Bora yaishe.
Maana ni nchi Gani ya NATO Iko tayari kufutika kwa ajili ya Ukraine?

Putin warns Ukraine use of long-range arms will put NATO at war with Russia

13 Sep 2024
President Vladimir Putin has warned that if Western nations allow Ukraine to use long-range weapons to strike inside Russia then it will mean NATO would be “at war” with his country.

“This would in a significant way change the very nature of the conflict. It would mean that NATO countries, the US, European countries, are at war with Russia,” Putin told Russian state TV on Thursday.

“And if this is so, then, bearing in mind the change in the very essence of this conflict, we will make appropriate decisions based on the threats that will be created for us,” he said.
 
KWA HIYO SASA HIVI HAPIGANI NA NATO
Kwaniza Asante sana Kwa kuweka kopi ndefu sana ya kuonesha kua zipo ant satellite weapons tofauti na mdau mmoja humu alikua anashangaa kua satellite zinaweza kufikiwaje.
Ila TU ulichokosea ni kuniwekea Mimi badala ya yeye alie kua hajui.
Ila nashukuru kua umeongeza uzito kwenye majibu yangu.

Urusi anapigana sio na NATO TU,Bali anapigana na all collective west wakiwa wamejificha nyuma ya ukraine.

Kuna ushahidi wa Vifo vya active soldiers,makamanda na wataalamu wa NATO na west katika maeneo tofauti tofauti ya vita huko Ukraine.

Kuna ushahidi wa vikao vya wakuu wa NATO na nchi nyingine kuhusu vita vya Ukraine.
Kuna ushahidi wa michango ya fedha kutoka nchi za NATO na west Kwa ajili ya kuendesha vita Ukraine.
Kuna ushahidi wa vikwazo kuishoofisha Urusi ili ishindwe vita Ukraine.
N.k.
 
Urusi hapigani na NATO bana acha kutudanganya hapa alafu hili mbona kila siku unalirudia? Ingekuwa ni hivyo ungeona makombora yanavypishana huko ulaya pia tungeona silaha Kali Kali kabisa kama su57, f35 nk...
Inachofanya NATO kwasasa ni kutoa tu silaha tena kwa tahadhari kubwa. Acha kudanganya watu kaka
 
wanamagharibi hawajaleta habari ya kukufurahisha sana
kp kipanya44 hii vipi?? Askari wa Ukraine wanajuta huko! Meza hata kama chungu! Hii ni leo!

Ukraine’s Kursk offensive was seen as a major success, but it came at a huge cost​

Kyiv launched its surprise incursion into Russia’s Kursk region last month, taking Moscow by surprise and quickly advancing some 30 kilometers (19 miles) from the border. But the campaign slowed and, on Thursday, Ukraine’s President Volodymyr Zelensky confirmed that Russia had launched “counteroffensive actions.”

CNN spoke with 14 Ukrainian soldiers from five different units who were deployed to Kursk as part of the incursion.
All 14 said the Kursk counteroffensive was a difficult operation with casualty rates on par with other parts of the frontlines.

They said it was getting tougher, five weeks in, and some even questioned the decision to launch the incursion at a time when Ukraine was struggling to defend key towns and cities in the east of the country.

“It will get more and more difficult. There will be more artillery fire, more soldiers, and there will be very big and difficult battles, but we must do everything we can that improves our position – Ukraine wants peace, but peace when we win, not when we lose,” Vasyl said.

“Russia is sending a lot of troops and artillery (to Kursk). We have a lot of guys who have been killed and we have a lot of destroyed hardware,” he added.

By Ivana Kottasová and Kostya Gak, CNN

Published 12:01 AM EDT, Fri September 13, 2024

Bibie Leo naona hujamtag kp kipanya44 maana Leo wanamagharibi hawajaleta habari ya kukufurahisha sana,huo ukweli ukubali tu kama unavyoukubali na kishangilia kila siku kwa kutumia Hivyo Hivyo vyanzo vya wamagharibi., ukweli ndio huo, urusi ameweza kupata " marginal land " huko Kursk., kwa mujibu wa dictionary yangu hapa "marginal" maana yake ni kama ifuatavyo👇👇👇👇👇👇👇

View attachment 3094828
Kipanya44 mmefikia wapi huko Kurks🤣🤣🤣🤣
 
''Urusi inapigana na NATO'' umetumia vigezo gani kusema hivyo? Mimi pia sikubaliani na nchi za magharibi kwa vitendo vyao dhidi ya urusi, lakini siwezi kupuuzia nguvu ya NATO kijeshi, NATO Bado haijaingia vitani na Urusi
Dah!
Kuna maswali kabla ya kumjibu mtu hua ni kawaida kumjua mtu Hali yake.
Maana unaweza kua unamjibu mtu ambae ana Hali Fulani ukapata ama urahisi wa kumjibu ama ukapata taabu ya kumjibu.

Maana kuelewa baadhi ya vitu hivi sio lazima uwe umepitia mafunzo ya shule ya sekondari,mgambo,upolisi, jeshi,usalama ama diplomasia.
Ufahamu wa mambo haya inahitaji ufuatiliaji wa mambo yanavyoendelea duniani.

kwa kukufuatilia kidogo michango Yako humu jukwaani nakuona ni mtu muelewa sana wa haya mambo.
Ila kinachonishangaza ni unashindwaje kujua kama Urusi inapigana na NATO.
Tena sio NATO tu,bali ni nchi zote za Magharibi.

Sasa hapa ndio penye utata na nitajatibu kukuelezea Kwa akili ili unielewe.

(Kwanza kabisa naomba ukubali maelezo yangu kua nchi moja inaweza kupigana na nchi nyingine kwa kutumia direct war,semi direct war ama indirect war.
Haya ni maelezo yangu TU wala sijayatoa kitabuni,ukumbuke vitabu vimeandikwa na watu,hata Mimi naweza kuandika).
Kwa vita hii USA NATO na other west wanapigana na Urusi Kwa kutumia semi direct war.
Nikisema semi direct war namaanisha kua NATO wako nyuma ya Ukraine Kwa sababu Kuna wanajeshi wao na wataalamu wao wanashiriki moja Kwa moja katika vita hii ingawa hawajatangaza.

Vigezo nilivyotumia kuona NATO na ninaongezea na west wengine wanapigana na Urusi ni hivi;

Anapigana na Urusi ni Ukraine ambae sio mwanachama wa NATO,
Lakini .
1-nchi zote za NATO ,EU na Ulaya Magharibi zimeiwekea vikwazo Urusi.

*Kumbuka Nia ya vikwazo ni kutaka kidhoofisha uchumi wa Urusi ili ishindwe kugharamia vita.
*Kuwafanya raia wa Urusi walete machafuko kwa sbb ya Hali ngumu.

2-Nchi zote za NATO na west wengine kuchangishana fedha ili kuisaidia Ukraine iweze kumudu gharama za vita ili iishinde Urusi.

3-Nchi zote za NATO na west wengine kuchangisha silaha kwa ajili ya kuipa Ukraine ili iweze kuishinda Urusi.
Katika hili la silaha Kuna mambo ambayo ndio yanathibitisha moja Kwa moja kua NATO na west wengine wanapigana na Urusi Kwa kile Mimi nakiita semi direct war ya NATO dhidi ya Urusi.
Nayo ni hiii.
Ushahidi upo ambao baadhi ya ma Jenerali wa baadhi za nchi za NATO wameshiriki moja Kwa moja katika vita hii na wengine kuuliwa vitani.
Ushahidi upo wanajeshi wa NATO wakishiriki vitani Kwa vivuli vya jina la mamluki ama (mercenaries).
Baadhi ya wataalamu wa nchi za NATO kushiriki kuendesha "(ku operate)" baadhi ya mitambo ya kijeshi au kivita ambayo Ukraine wamepewa na nchi za NATO ,kkn wanakua hawana utaalamu wa kui operate.
Maandishi yapo na Kuna wengine waliuliwa kutokana na mashambulizi ya Urusi wakiwa Wana i operate mitambo hiyo.

NATO inapigana na Urusi Kwa kutoa huduma za mawasilano ya satellite za baadhi ya nchi za NATO kulipa taarifa jeshi la Ukraine juu ya mienendo ya vifaa vya urusi na wanajeshi wa urusi,walipo, wanachofanya na wanachofikiria kufanya na kisha kushambulia.

Sehemu kubwa ya huduma hii Ukraine hana isipokua USA na nchi chache sana za NATO.
Kumbuka kuna makombora aliyopewa Ukraine kutoka USA na UK hayawezi kupiga malengo bila satellite na wenye makombora hayo ndio wenye satellite hizo.

Ushiriki mwingine wa NATO ni kuingilia mawasilano ya jeshi la Urusi na kuwapa jeshi la Ukraine.

Kutafuta taarifa za kiintelijesnsia na kuipa Ukraine.

4-Nchi za NATO kukaa vikao vingi sana na vyote kujadilana kuishinda Urusi.
Moja ya kauli ya katibu Mkuu wa NATO ni kua Urusi lazima ishindwe,kwani kushindwa kwa Ukraine ni kushindwa kwa NATO.

Hebu fikiria Ukraine ndio inapigwa lkn ruhusa ya kupiga maeneo Gani na maeneo Gani asipige inatoka NATO.

Ama ukraine ndio inapigwa lkn ruhusa ya ama kuvamia kursk ama kutovamia inatoka NATO.
Sasa kama Ukraine sio mwanachama wa NATO kwa Nini NATO anakua ana maamuzi kwa jeshi la Ukraine?

Kwa uchache hivyo ndio vigezo vyangu kua NATO inapigana na Urusi ikiwa nyuma ya Ukraine lkn ikiwa na wanajeshi wake wakiwa vitani Kwa Siri.

Natambua kabisa uwezo wa NATO.
NATO ni umoja wa kijeshi wenye nguvu kubwa sana hapa duniani.
NATO wanajua fika kama wakiingiza jeshi lao kwa uwazi kwa kutoa tamko rasmi basi Urusi atapata sababu halisi ya kupiga na kuharibu vifaa vya kijeshi,silaha,maeneo na miji Yao yote ya NATO, akilenga malengo ya kijeshi,kisiasa na kiraia yenye uhusika wa moja Kwa moja na vita.
Russia uwezo huo anao.
Pia marafiki wa Urusi nao watakua na sababu ya kuingilia vita kumsaidia Urusi.
NATO Kwa kuyajua haya wala hawatathubutu kutoa tangazo la kuingiza majeshi rasmi Bali wataendela kupigana na Urusi kiujanja ujanja,kiuwoga na kwa kivuli na wakiwa nyuma ya ukraine.
 
Sawa
 
Kwa hiyo na wewe ukaamini hayo maandiko kwenye makala. Yaani unaamini kabisa kuwa kuna kombora la kuifuta Ufaransa. Nadhani Urusi angekuwa na hayo makombora nchi zote za ulaya zisingesubutu hata kubishana naye, na zisingesubutu kumpa Zelensky silaha za kupigana na Urusi. Tatizo huwa hamjui kutofautisha Propaganda na Uhalisia. Unakumbuka Putin alivyoahidi manzoni kuwa nchi yoyote itakayomsaidia Zelensky silaha basi bazo atazishambulia hukohuko. JE AMEFANYA HIVYO!!!!?
Hata Marekani amejijengea ukubwa duniani na kuogopwa sana sababu ya Propaganda za uongo na kujikweza japo ni kweli ana nguvu kubwa lakini sio hiyo inayozungumzwa
Mkuu Muite,elimu ni bahari fanya research kidogo utapata mengi.Hiroshima na Nagasaki ilipigwa na mabomu primitive ya nuklia.Leo Russia na USA wana mabomu makubwa na bora zaidi kwa kila hali kulikoni miaka 80 iliyopita.Makombora ya Nuklia yanaweza kabisa kuifanya nchi yeyote isiwe sehemu salama ya kuishi binadamu.
Sababu kubwa inayofanya hizi nchi kubwa zisipigane moja kwa moja ni kwa sababu ikitokea hali hiyo ni uhakikisho wa kumalizana mazima (mutual assured destruction).
 
Urusi hapigani na NATO bana acha kutudanganya hapa alafu hili mbona kila siku unalirudia? Ingekuwa ni hivyo ungeona makombora yanavypishana huko ulaya pia tungeona silaha Kali Kali kabisa kama su57, f35 nk...
Inachofanya NATO kwasasa ni kutoa tu silaha tena kwa tahadhari kubwa. Acha kudanganya watu kaka
Putin kasema West wakiruhusu Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu kuipiga urusi watakuwa wamejihusisha na hii vita Moja Kwa Moja..ikiwa na maana kwamba Kwa vile Sasa hawajamruhusu ,kwa Hali hiyo anapigana tu na Ukraine!
 
Back
Top Bottom