Daah!
Mtu asieelewa kinoendelea huko Ukraine kama wewe yabidi kukuachia tu uandike kama hivyo.
Russia inashinda vita wapo uwanja wa vita wakisonga mbele.
Hatua ya Marekani na NATO kuruhusu makombora ya ATACMS na UK kufuata kuruhusu Storm Shadows hakutabadili matokeo ya uwanja wa vita. Jack Sullivan amekiri kwamba Ukraine haina manpower isipokuwa yahitaji zaidi silaha soma hapa:
MSN, hizo ni lazima ziwe ordered na ziwe delivered miezi hadi miwili.
Hizo ATACMS tano kati ya sita zote ziliharibiwa na Russia na moja ikaanguka na kusababisha moto lakini hakuna madhara yoyote makubwa yalosababishwa na makombora hayo na hata Ukraine hawana ushahidi wa hilo.
Hayo makombora ni ghali sana na si kwamba ni leo yamepelekwa Ukraine yapo pale kitambo kwenye maghala na yakiisha hayo Ukraine itakosa makombora zaidi kwani Trump tayari atakuwa ameapishwa, ATACMS yanagharimu kiasi cha dola milioni 1.5 (kombora moja) wakati Storm Shadow ni pauni milioni 2 kwa kombora soma hapa :
Atacms: What we know about missile system Ukraine could use to strike Russia
Kinoonekana ni kwamba hatua hizi za Biden na NATO ni hatua za "panic room" na kule Marekani tayari wazungumzia kumfanyia "impeachment" raisi Biden kwa kuruhusu mabomu hayo yatupwe kwenda ndani ya "territory" ya Russia, uamuzi ambao ulitakiwa ujadiliwe na Bunge la Senate.