goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa ndio mtu mwenye akili kuliko wote humu yeye kazi yake humu ni kukagua maoni ya wadau na kutoa makaripio,ha ha haa.Sjui una Elimu gani but unaonyesha uko mtupu sana kichwani kuhusu hii vita,mtupu kichwani kuhusu Russia na historia yake,mtupu kichwani kuhusu NATO,yaani wewe ambae uko Tanzania unajua Russia ina anguka lakini marekani na washirika wake wasijue?
Yaani Putin na warussia wameshindwa kuliona hilo ila wewe kutoka nchi ambayo hata technolojia yakuokoa watu wake hawana unaona Russia inanguuka,VERY FUNNY
Ndugu yangu inawezekana hata hayo mafuta na sukari tusiweze kuzitumia.Over to you Putin.
Tusubiri bei ya mafuta na sukari ipande kwa kisingizio cha vita
Ni vile hujashtuka tu ila kitambooo hichooo ulishaanza kuwa mbwa, karibia utafanyiwa finishing uwe jibwa kokoSiku Russia ikianguka niite mbwa niko paleeeee nimekaa.
Huyu ndio Mtanzania sasa,ujuaji mwingiiii ,yaani kakaa na cm yake anatoa comment simple kama hii tena kwa vitu vigumu ambavyo hata nchi yake haitakuja kuviwezaHakuna chochote Russia itakachokifanya zaidi:
1) Atashambulia vyanzo vya nishati ya umeme na maghala ya silaha Ukraine (ambayo haya ni kawaida kwake kufanya hivyo)
2) Putin ata sign doctrine nyengine ya nuclear
3)Putina atatoa onyo
4)Putin atawataka kitengo cha nuclear kufanya mazoezi ya utayari wa kivita.
Baada ya hapo ataonya tena! Na baada ya hapo tavielezea vyombo vya habari kuwa Nato inataka kuharibu amani ya dunia.
Hakuna kingine zaidi atakachokifanya zaidi ya hayo! Amezidiwa hata na Ayatollah bhana!
Sasa ifike mahala Marekani na washirika wake waache kuirushia mawe Urusi kutokea mgongoni mwa Ukraine,ili iwe rasmi Sasa Urusi anapigana na NATO.Sio nyie mlisema hawataki vita na wanaogopa mno kifo, Leo imekuwaje mnasema wanalazimisha WW3
Yaani wewe umewaza kama Mimi.Kwa muda huu sioni haja ya Putin kufanya maangamizi yoyote.
Naomba mungu ampe Putin subira hiyo hiyo.
Ili hata siku atakapo liamsha
Asilaumiwe.
Nina imani plan za Putin Kwa asilimia 100
Tukutane kesho asubuhi maana usiku huu kuna tukio Russia walifanya. Ni tukio kubwa.Hivi wewe unadhani marekani hana mbinu zakutosha katika hili.
Wewe unaamini kuwa amefanya tu maamuzi ya ghafla bila kushirikisha,
Izo ni mind games na zimeanza mda sanaa.
Hatutapeleka kitu flan na wanapeleka,hawatafanya kitu fulan na wanafanya.
Huo mpango ulikuwepo kitambo sana.
Ukiona marekani anaongelea jambonjua ameshalifanya
Kweli hazitawamaliza Russia ila lazima zifanye damage ,lazima askari watakufa na miundombinu.
Ishu kubwa zaidi ni raisi kusimama kusema jambo na halitimizi.
Wanakandwa na Kibu D mkandaji au?Kuna mtu ana kandwa leo
Sasa kama Urusi inapigana na NATO kwanini isirushe jiwe kwenye kambi za NATO zilizopo ulaya ili tuamini ni vita rasmi ya Russia vs NATO, sisi tuliopo huku tusubiri hao wakubwa watakachoamua na sio kujifanya wachambuzi wa maswala ya vita, baada ya trump kuapishwa ndio tutajua muelekeo wa hii vita, huwezi sema USA imefilisika kwa kutoa silaha za misaada tuu hapo haijaingia vitani, muda utaongea mkuu tusubiriSasa ifike mahala Marekani na washirika wake waache kuirushia mawe Urusi kutokea mgongoni mwa Ukraine,ili iwe rasmi Sasa Urusi anapigana na NATO.
Wafanye kama walivyofanya Yugoslavia, Afghanistan,Iraq na hata Libya.
Wajitokeze kwa uwazi waache kupigana vita vya kivizia na vya uoga maana wanaiponza sana Ukraine, waukraine wanakufa wao wako mgongoni mwa Ukraine.
Wajitokeze TU ndio tutajua kweli wao wababe.
Tukutane kesho asubuhi maana usiku huu kuna tukio Russia walifanya. Ni tukio kubwa.
Hayo majimbo unayoyaongelea Urusi mwenyewe hajafanikiwa kuyashikilia yote ndiomaana vita vinaenda mwaka watatu, kama ni makombora mazito Urusi imesharusha sana kuelekea Ukraine yameishia kuharibu majengo na miundombinu ya kiraia, sasa ni muda wa kuona miji ya Urusi nayo ikichakazwa, piga nikupigeKwa sentensi hii naweza kujua uwezo wako wa kiakili na uwezo wako wa kufikiri.
Hivi tufanye wameshapiga mara mbili ndani ya Urusi,je wamefanikiwa kwa kiasi Gani kurudisha majimbo,wilaya,miji au vijiji vilivyochukuliwa na Urusi,ama majeshi ya Urusi huko Dombass yamerudiahwa nyuma kiasi Gani?
Je unafikiri mashambulio hayo yatapita bila majibu?
Jamani msiwe mnaandika vitu bila kushirikisha ubongo zenu.
Hii ni vita na vita ni piga nikupige.
Biden yupo amazon anarandarandaAisee Col Douglas Macgregor ameongea vizuri sana.
Huyu ni Afisa mstaafu wa jeshi la USA na alikua mshauri wa Trump wa masuala ya Ulinzi anaona hatari iliyopo na uwezo wa Urusi.
Lkn Cha ajabu utakuta kijimtanzania Fulani hivi ki Tindiga,ki Hadzabe au kitoto Cha Mfumu Fulani hivi kinaidharau Urusi na mwamba Putin.
Aisee Tanzania Kuna maajabu sana.
Anasema ni ushenzi TU wa Biden na timu yake wanataka kumharibia Trump mtu alieonesha Nia ya kumaliza vita hii.
Anasema haijwahi kutokea huko nyuma Rais anaemaliza muda wake kutaka kumuachia janga Rais ajae.
Col Yuko vizuri sana aisee.haw ndio wamarekani wenye akili nzuri.
Mrusi hajawahi kurusha makombora ya kutosha UKRAINEHayo majimbo unayoyaongelea Urusi mwenyewe hajafanikiwa kuyashikilia yote ndiomaana vita vinaenda mwaka watatu, kama ni makombora mazito Urusi imesharusha sana kuelekea Ukraine yameishia kuharibu majengo na miundombinu ya kiraia, sasa ni muda wa kuona miji ya Urusi nayo ikichakazwa, piga nikupige
Tatizo mtu akiandika tofauti na mawazo yenu mnamchukulia kama adui, ndiomaana mashabiki wa west wamewaacha mtambe wenyewe humu ila siokwamba hawapoSjui una Elimu gani but unaonyesha uko mtupu sana kichwani kuhusu hii vita,mtupu kichwani kuhusu Russia na historia yake,mtupu kichwani kuhusu NATO,yaani wewe ambae uko Tanzania unajua Russia ina anguka lakini marekani na washirika wake wasijue?
Yaani Putin na warussia wameshindwa kuliona hilo ila wewe kutoka nchi ambayo hata technolojia yakuokoa watu wake hawana unaona Russia inanguuka,VERY FUNNY
Hivi ni kwanini Pro Russia mnakuwa na makasiriko sana mnapokutana na comments zinaoishusha Russia??Huyu ndio Mtanzania sasa,ujuaji mwingiiii ,yaani kakaa na cm yake anatoa comment simple kama hii tena kwa vitu vigumu ambavyo hata nchi yake haitakuja kuviweza