LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Russia Begins Withdrawing Ships from Tartus as Opposition Gains in Syria

Russia is reportedly withdrawing its naval ships from Tartus, its sole military port in the Mediterranean, amid the rapid advance of opposition forces in Syria, according to Naval News, citing OSINT analysts.

A Droxford Maritime analyst attributes the withdrawal to deteriorating conditions on the ground. Syrian President Bashar al-Assad’s forces, supported by Russia, have been retreating for three days, culminating in the loss of Aleppo, Syria’s second-largest city.
Hii ni disinformation au fake news.

Russia wametuma vikosi vya Wagner kuingia Syria na wapo njiani muda wowote wataingia hapo.

Syria kuna Naval Base ya Russia na ndo mida hii waisaidia jeshi la Syria kuwarudisha nyuma hayo makundi ya HST na washirika wao.

Wafahamu ni nani anafadhili HST?
 
Ndio maana tumekuambia uvumilivu uliishinda Russia.
Ni kweli majirani zake Urusi wengi walijiunga na NATO.
Urusi hakukaa kimya,aliendelea kuwakumbusha Kila mara kuhusu kuendelea kujitanua kwa NATO,wao wakawa wanamdharau.
Suala la Ukraine waliendelea kumdharau wakijua ataendelea kulalamika TU bila hatua zozote.
Nadhani kwa suala la Ukraine kutaka kujiunga na NATO kwa Urusi ilikua ndio Red line yake.
Kwamba kuachia Ukraine ijiunge na NATO ni kuvuka red line.
Na nadhani ndio maana Urusi wakaamua kui demilitarize Ukraine.
Haya ukiangalia vizuri katika nchi zote zilzoKua sehemu ya USSR zilizojitenga na kujiunga na NATO hakuna nchi kubwa na yenye uwezo kama Ukraine.
Vikina Estonia,Latvia,Lithuania n.k ni vi nchi vidogovidogo mno.
Kwa kuongezea tu ni kwamba Russia aliivamia Georgia na kuchochea kujitenga kwa majimbo yene raia wengi wenye asili ya Urusi yaani Ossetia na Abkhazia kama adhabu Kwa Georgia kufungama na west badala Russia.

Hali kadhalika Jimbo la Transnitria kutoka Moldova.

Na hicho ndo anachokifanya hapo Ukraine, baada ya Ukraine 2014 kumuondoa Rais Yunikovic aliyeegemea Urusi Kwa maandamano yaliyochochewa na wamagharibi, na kubadili sera zao kuegemea zaidi EU na NATO. Kwanza ilikuwa kuchukua Crimea na Sasa ni Donbass.
 
Usiwe kama mbumbumbu unafikiria ndani ya box.
Kwani Trump ni Mungu hadi ushadadie Kila anachosema kuwa ni sahihi!??
Vipi kuhusu trade war na China Trump aliishia wapi alipoanza kuropoka ku impose higher tarrifs Kwa China!?
Si aliishia kudumaza uchumi wa USA na kumpa mwanya China kusonga mbele zaidi!??
Eti na wewe msomi unategemewa kwenu looooh!!
😀😀😀 Ukute ana Ka degree kake
 
Kwa kuongezea tu ni kwamba Russia aliivamia Georgia na kuchochea kujitenga kwa majimbo yene raia wengi wenye asili ya Urusi yaani Ossetia na Abkhazia kama adhabu Kwa Georgia kufungama na west badala Russia.

Hali kadhalika Jimbo la Transnitria kutoka Moldova.

Na hicho ndo anachokifanya hapo Ukraine, baada ya Ukraine 2014 kumuondoa Rais Yunikovic aliyeegemea Urusi Kwa maandamano yaliyochochewa na wamagharibi, na kubadili sera zao kuegemea zaidi EU na NATO. Kwanza ilikuwa kuchukua Crimea na Sasa ni Donbass.
Karudie tena kusoma ishu ya Geotgia vizuri,
Hizo unrest za kipindi hiki, uongozi ulioingia uko hauegemei west, ndio maan wamepeleka mamluki kukaribu kutia pressure au volor revulation.
 
Huko frontline hali ni mbaya kwa Ukraine hadi Blinken kamsisitize Zelensky ashushe umri wa conscription hadi 18 ku support defence line maana sehemu kubwa zinakaribia kuanguka.
Huko kurakhove naona shughuli inaisha, na ndio kuna deposit kubwa ya lithium, plant ya kuzalisha umeme, viwanda, na mine plant. Ikianguka inamaana defence ya prokrovsk inakuwa vulnerable
 
Asante kwa taarifa kutokea front line
 
Dah wamarekani Wana roho mbaya sana,yaani wao wanatoa maelekezo TU kua, andikisheni watoto wenye miaka 18 ili nao waende vitani wakauliwe,baada ya vijana wenye umri stahiki kumalizika.
Aisee baada ya muda Ukraine haitakua na vijana kabisa.
 
Asante kwa taarifa kutokea front line
Black people feels proud to be named with English and Latino. Anyway, no wonder in our minds we consider ourselves as Jews, Americans, Arabs etc. We're always sad to hear any bad news in Israel, Iran, USA, Russia, UK etc than what is happening in our Continent.

Poor, poor, poor Africans
 
Nadhani ishu ya south korea ilikuwa designated kutia pressure kwa North Korea asipeleke askari kujifunza modern warfare Urusi na Artillery shells. Ila katika kui stage walifanya miscalculation au hawakutegemea backlash ya bunge na wananchi

Hii ni intelligence failure kwa South Korea na backers
Naomba nitofautiane nawe kwenye hili mkuu.

Kinotokea Korea Kusini ni jaribio la mapinduzi linofanywa na wapinzani wa serikali dhalimu ya kidikteta.

Hizi serikali (ikiwemo ya Ufaransana Ujerumani) zataka kuleta sheria kali za kubana bajeti za nchi zao (Austerity) na kulazimisha kwamba vita ya Ukraine ni lazima Korea Kusini ishiriki kwa kupeleka silaha na vifaa mbalimbali vya kivita kule na hata kwa Israeli kule Gaza.

Pia Korea Kusini yashirikiana na Marekani pamoja na Japan ili kuikabili China kwa pande ile hivyo ni kama jicho la Marekani kule.

Kwa sheria na katiba ya Korea Kusini nchi hairuhusiwi kupeleka silaha kwenye maeneo yenye migogoro.

Kwa kuwa Korea Kusini na Japan kwa upande ule wa mashariki ya mbali wamejiunga na NATO ni lazima nao wachangie shughuli za kiharamia. Kama wakumbuka kule Japan nako kulitokea zogo juzijuzi tu linohuhusiana na mambo kama haya.

Kwahiyo chama cha upinzani kinapojaribu kupinga huo ujinga wa serikali kuweka sheria kadha wa kadha kandamizi ikiwemo ya kuzuia watu kutohoji, serikali ya raisi Yoon yaja na kuweka matumizi ya nguvu za kijeshi (Martial Law) na kusema walo wanopinga agenda ya serikali ni washirika wa Korea Kaskazini.

Ukae ukifahamu serikali ya Korea Kaskazini kiufundi ni serikali inoongozwa na jeshi na ndo maana ilipotokea vurugu bungeni jeshi mara moja likaingia bungeni badala ya polisi.

Ukiweka Martial Law wazuia shughuli za kisiasa, watu kuhoji, kuchungulia matumizi ya mitandao, kukamata watu hovyo bila warrant na kuwalazimisha wale wanogoma warudi kaziniau la waende jela huo niudiketeta wa hali ya juu.

Hio nimeeleza kwa kifupi sana la sivyo ningeandika ungeona ni gazeti, lakini kinoendelea Korea Kusini ni jaribio la wale wenye kujitambua kupambana na serikali dhalimu inotaka kuingia utaratibu mpya wa kimataifa (international process)ambao saa hii wakabiliana na kuanguka kwa ubepari, utafutwaji vita, na ubanaji matumizi ya fedha za umma kwenye mahitaji ya kijamii, kitu kinopelekea upinzani wa wananchi wanojitambua ambao wapo tayari kuingia barabarani kwa namna yoyote ile.
 
Mkuu nadhani hatutofautiani, ila walifanya miscalculation hawakutarajia upinzani mkubwa wa hii order na lengo ilikuwa kunyima na kubana taarifa na kuhojiwa kutoka kwa bunge na wananchi.
Nchi nyingi za ulaya uchumi uchumi unayumba zinaingia serikali ambazo zinapinga hii vita, mfano huko Ufaransa, Germany.
South Korea na Japan ndio bado wana hauweni, ila katiba zao ngumu na zinabana sana mambo ya kushiriki Vita visivyowausu.
Implimentation ya martial law maana yake hakuna wa kuhoji.
Ukiangalia historia ya S.korea 1948 hadi leo ni aidha raisi alipinduliwa, kuuwawa au kufungwa. Hawajawai kumaliza salama
 
Ni kweli lakini matatizo ya hii rasi ya Korea yote ni shida ambazo zimetokea zaidi nje.

Hili jaribio la mapinduzi ka Korea Kusini, Marekani walisema hawakuwa wakifahamu lakini wana wanajeshi wapatao 28000 pale Seoul, hivyo haiwezekani kuwa hawakuwa wakifahamu kinoendelea pale Seoul.

Hiyo unosema pia ukirudi nyuma Marekani walimweka mtu aitwae Syngman Rhee na jamaa alikuwa katili kiasi cha kuanzisha vita ya Korea (Korean war) baada ya vita kuu ya pili ya dunia ambayo ndo iloigawa Korea tukapata Korea Kaskazini na Korea Kusini.

Chama cha raisi Yoon ni kama CCM kipo tangia wakati ule na hurithishana kama kule Indonesia wana mtoto wa Suhato aitwae Prabowo, Philippines wana mtoto wa Ferdinand Marcos aitwae Ferdinad Marcos Junior na thailand kuna serikali ya kiraia lakini nyuma kuna mazee wanoweza kubadilika saa yoyote.

Nani nani yupo nyuma ya hawa jamaa?

Sote twafahamu.
 
Naomba nitofautiane nawe kwenye hili mkuu.

Kinotokea Korea Kusini ni jaribio la mapinduzi linofanywa na wapinzani wa serikali dhalimu ya kidikteta.

Hizi serikali (ikiwemo ya Ufaransana Ujerumani) zataka kuleta sheria kali za kubana bajeti za nchi zao (Austerity) na kulazimisha kwamba vita ya Ukraine ni lazima Korea Kusini ishiriki kwa kupeleka silaha na vifaa mbalimbali vya kivita kule na hata kwa Israeli kule Gaza.

Pia Korea Kusini yashirikiana na Marekani pamoja na Japan ili kuikabili China kwa pande ile hivyo ni kama jicho la Marekani kule.

Kwa sheria na katiba ya Korea Kusini nchi hairuhusiwi kupeleka silaha kwenye maeneo yenye migogoro.

Kwa kuwa Korea Kusini na Japan kwa upande ule wa mashariki ya mbali wamejiunga na NATO ni lazima nao wachangie shughuli za kiharamia. Kama wakumbuka kule Japan nako kulitokea zogo juzijuzi tu linohuhusiana na mambo kama haya.

Kwahiyo chama cha upinzani kinapojaribu kupinga huo ujinga wa serikali kuweka sheria kadha wa kadha kandamizi ikiwemo ya kuzuia watu kutohoji, serikali ya raisi Yoon yaja na kuweka matumizi ya nguvu za kijeshi (Martial Law) na kusema walo wanopinga agenda ya serikali ni washirika wa Korea Kaskazini.

Ukae ukifahamu serikali ya Korea Kaskazini kiufundi ni serikali inoongozwa na jeshi na ndo maana ilipotokea vurugu bungeni jeshi mara moja likaingia bungeni badala ya polisi.

Ukiweka Martial Law wazuia shughuli za kisiasa, watu kuhoji, kuchungulia matumizi ya mitandao, kukamata watu hovyo bila warrant na kuwalazimisha wale wanogoma warudi kaziniau la waende jela huo niudiketeta wa hali ya juu.

Hio nimeeleza kwa kifupi sana la sivyo ningeandika ungeona ni gazeti, lakini kinoendelea Korea Kusini ni jaribio la wale wenye kujitambua kupambana na serikali dhalimu inotaka kuingia utaratibu mpya wa kimataifa (international process)ambao saa hii wakabiliana na kuanguka kwa ubepari, utafutwaji vita, na ubanaji matumizi ya fedha za umma kwenye mahitaji ya kijamii, kitu kinopelekea upinzani wa wananchi wanojitambua ambao wapo tayari kuingia barabarani kwa namna yoyote ile.
Fungulieni basi uzi wake kama hamtojali!
 
Rebells huko Syria wanasonga mbele kwa Kasi ya mwanga, urusi sijui ana mpango gani wa kuwasaidia 🏃🏃
Screenshot_20241205-155044.png
 
Mkuu una hoja
 
Back
Top Bottom