Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Naona mnajiliwaza kenge nyie😀😀😀 Ukute ana Ka degree kake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mnajiliwaza kenge nyie😀😀😀 Ukute ana Ka degree kake
Hii mbinu ya kurudi nyuma namashaka nayo ya mrusiRebells huko Syria wanasonga mbele kwa Kasi ya mwanga, urusi sijui ana mpango gani wa kuwasaidia 🏃🏃View attachment 3169640
Nadhani hujanielewa, nilichomaanisha ni kwamba, Urusi imekuwa na utaratibu wa kuziwajibisha nchi zile zilizo kuwa na mafungamano naye, baadae kuamua kuegemea upande wa west. Anacho kifanya Urusi ni kutoa adhabu Kwa kufanya annexations ya majimbo yenye raia wengi wenye asili ya Urusi ama kuyasapoti yajitenge.Karudie tena kusoma ishu ya Geotgia vizuri,
Hizo unrest za kipindi hiki, uongozi ulioingia uko hauegemei west, ndio maan wamepeleka mamluki kukaribu kutia pressure au volor revulation.
Sio kuziwajibisha, nchi zote kubwa zina interest na sphere of influence, zikiingiliwa na mwingine ndio matokea ya hizi vita, kama Ukraine, Syria, Venezuela.Nadhani hujanielewa, nilichomaanisha ni kwamba, Urusi imekuwa na utaratibu wa kuziwajibisha nchi zile zilizo kuwa na mafungamano naye, baadae kuamua kuegemea upande wa west. Anacho kifanya Urusi ni kutoa adhabu Kwa kufanya annexations ya majimbo yenye raia wengi wenye asili ya Urusi ama kuyasapoti yajitenge.
Kwa issue ya south Ossetia na Abkhazia soma hapa na utakubaliana nami.View attachment 3169984
Angekuwa anapigwa msinge mkodi generali wa Marekani aje watangazir wanawake washuke bunduki....!!!anapigwa
Wewe ni mgeni hapa kama hupati updates za front line.., hii ni Jana tu, zaidi ya warusi elf Moja na miasita walilambishwa mchanga 🥱 🥱 🥱 🥱Waungwana humu ninashauri tufanye mabadiliko kidogo. Maafisa habari wetu wa humu jf waliopo huko UKRAINE ya Kibada na Mburahati tuwarudishe na tupeleke wengine watakaokuwa wanawajibika kutoa taarifa humu. Haiwezekani group linakaa siku tatu mfululizo bila ya updates , inaonyesha hawa wa sasa wameshakuwa WALEVI HUKO