Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu mna akili ndogo yaani Gaidi akiua Marekani hamsemi Ugaidi hata wewe unauwawa ila sio Rais wa Urusi .Subiri waanze kuwauawa mawaziri na hata huyu kenge mwenyewe zele kwani FSB hawawezi hilo?? Wanaua watu hata London kama hujui.Nimegundua kumbe Ukraine wana uwezo wa kummaliza hata Putin. Ni vile hawataki tu
Kuna Ndege gani inatua Ukraine jamani mbona watu hamna aibu na huu uongo??? Ukweli ni Kwamba Urusi amekwama kwenye hii vita ila Uongo msiongezee sanaMwaka unaenda watatu huu ameshindwa kuweka no fly zone hapo Ukraine pamoja na Airforce power walionayo, ni jambo la aibu sana hili.
Hili Gerasmov liongo jinga kabisa lilisema sikunile Kursk kuna wanajeshi 1000 wa Ukraine wameingia mpaka leo hawajaisha???Russia’s top general estimates Ukraine’s troop casualties
Nearly 1 million soldiers have been killed or wounded since start of the conflict, according to Valery Gerasimov.
Ukrainian forces have suffered almost 1 million casualties since February 2022 and have lost about 20,000 tanks and armored vehicles, Valery Gerasimov, the head of the Russian General Staff, told foreign diplomats on Wednesday.
”The US and its allies have significantly increased the volume of military assistance to Ukraine” in a continued attempt to inflict a “strategic defeat” on Russia, Gerasimov said. Despite this, Russian troops are currently on the offensive, having pushed Ukrainian forces out of more than 190 settlements this year, he added.
Hoja kama hizi huwa hawajibu na wakizijibu basi wanajibu Kwa hoja zisizo na mashikoHata Cuba ni Taifa huru, mbona USA ameiwekea vikwazo?
Venezuela ni Taifa huru, mbona mnalazimisha ya kwenu kule?
Panama ni Taifa huru, mbona mlikivamia na kumpindua Raisi wake na kumfunga kule Marekani?
Yugoslavia lilikuwa huru, mbona mlikivamia na kuligawanya?
Huo uhuru wenu kwa mataifa unaanzia wapi na kuishia wapi?
🤣🤣🤣NATO wengine 10000 wamechinjwa masaa mawili yaliyopita
Imenikumbusha ugomvi wa utototoni..,yule hambaye Hana ubavu wa kupambana utasikia anasema "" sote tuvue viatu,alafu twende uwanjani ,au sehemu iliyo wazi,na mtu yeyote asiingilie ugomvi wetu,Tena tusipigane mateke bali tutumie ngumu tu,tutaona kama utaniweza..,"😁😅 Tambo kama hizi nazikumbuka sana enzi za utoto/ujana wangu..,hapo ukisema hivo unajiona shujaa na mwenye kujiamini hatari 🏃 🏃Mzee wa mikwara:Kuhusu Oreshnik:
Putin proposes 'high-tech missile duel' with US in Kyiv
Vladimir Putin has proposed "a high-tech duel" between Russia's new hypersonic ballistic missile and US missile defence systems.
"Let them determine some target for destruction, say in Kyiv, concentrate all their air defence and missile defence forces there, and we will strike there with Oreshnik and see what happens.
"There is no chance of shooting down these missiles," says Putin.
![]()
Ukraine war latest: 'We're going to have Europe do that' - Trump plays down chances of US security for Ukraine
Donald Trump says Volodymyr Zelenskyy will visit Washington on Friday. Earlier, Zelenskyy cast doubt on the trip going ahead over the terms of a US-Ukraine deal. Russia's foreign minister has also dismissed the idea of peacekeepers after any ceasefire. Follow the latest on the war below.news.sky.com
🤣🤣🤣Kama ramani hiyo ni ya kweli basi ukrain aachane na hiyo vita
😅😁🤩😍Hili Gerasmov liongo jinga kabisa lilisema sikunile Kursk kuna wanajeshi 1000 wa Ukraine wameingia mpaka leo hawajaisha???
Hii ndio sababu kuuNaomba kutofautiana na wewe Kwa facts.
Vita vya Ukraine kwa upande wa Urusi ni suala la ulinzi na usalama dhidi ya NATO.
Kabla ya vita (SMO) Miaka mingi nyuma Urusi waliisihi USA na NATO wasijitanue Eastward.
Lkn wakajitanua,Urusi ikawa na uvumilivu.
2014 kwa hila za NATO wakafanya mapinduzi nchini Ukraine Kwa kivuli Cha maandamano na kumtoa Yanukovic.
Urusi uvumilivu ukaanza kupungua wakaiteka Crimea.
Majimbo yenye raia wenye asili ya Urusi yakaona hayatendewi haki wakaanza harakati za kujitenga.
Ukraine Kwa kusaidiwa na NATO wakawa wanawapiga,Urusi ikaendelea kua mvumilivu.
Ukraine wakaingiza kwenye katiba Yao kusudio la kujiunga na NATO bila kujali hisia za Urusi kuhusu kuwepo NATO mipakani kwake.
Russia iligundua mipango ovu ya Ukraine na NATO iliyokua ikiendelea Kwa Siri nchini Ukraine,kama ujenzi wa makambi ya Siri ya mafunzo ya kijeshi,miundombinu ya kijeshi,ujasusi na silaha za sumu.
Kutokutekelezwa kwa makubaliano ya Minsk.
Mojawapo ni kuitaka Ukraine iwe nyutro.
Urusi ikaona heri nusu Shari kuliko Shari kamili.
Ukiangalia sababu zangu zote hapo juu hutaona kama uchumi unahusika na mzozo huu.
Utakuwa unafuatilia tbc wewKuna Ndege gani inatua Ukraine jamani mbona watu hamna aibu na huu uongo??? Ukweli ni Kwamba Urusi amekwama kwenye hii vita ila Uongo msiongezee sana
Hapana huwezi jua,unajuaje pengine waliingia takriban 1000,walipoona hakuna upinzani wakaanza kumiminika?Hili Gerasmov liongo jinga kabisa lilisema sikunile Kursk kuna wanajeshi 1000 wa Ukraine wameingia mpaka leo hawajaisha???
Mhhambaye
Maza fanta.Propaganda, propaganda, propaganda.
Humu jukwaani na nje ya jukwaa hili kumejaa propaganda nyingi sana Sasa hivi hususan kutoka kwa Pro UkraiNATO.
Sijui ni aina ya kujifariji ama kutokukubali Hali Hali ya uwanja wa mapambano au ni kuishiwa uwezo wa kupambana mambo.
Propaganda zao utawasikia wakisema hivi,
"Masikini Putin",
"Urusi imeshalegea",
"Urusi ilifanya kosa kivamia Ukraine",
"Urusi vita hii imekwama",
N.k.
Sasa kwa sisi ambao tunafatilia kwa kuangalia uhalisia "facts" tunabaki tunashangaa!
Hivi kama Hali ni mbaya namna hiyo kwa Urusi mbona Sasa hivi inasemekana Warusi ndio wanasonga mbele kwa Kasi ya upepo?
Zaidi tunasikia kua Ukraine wanapoteza maeneo kwa Kasi mno?
Najiuliza hivi kama Urusi Ina Hali ngumu,mbona hatusikii Urusi kunyang'anywa hata wilaya moja iliyokua imeishikiria?
Acheni Propaganda jamani Hali ya Ukraine ni mbaya kuliko mwaka 2022.
wataalamu wanasema bado kidogo TU jeshi la Ukraine lita collapse,
Wataalamu wanasema bado kidogo TU Donbas inaenda kuanguka yote kwenye mikono ya jeshi imara kabisa hapa duniani la Urusi.
Fatilieni vianzo vya habari huru,na Sasa hivi hata vyombo vya west vimeanza kusema haya na kusema ukweli.
Jamani eeeh hii ni SMO kwa upande wa Urusi lkn ni vita ya ku survive kwa upande wa Ukraine.
Ukraine imezidiwa,imekweisha Haina hata wanajeshi imeishiwa wanajeshi,imeandikisha watu wazima,wakaisha,ikaandikisha wavulana kuanzia miaka 18 wakaisha,Sasa inafikiria kuandikisha watoto kuanzia miaka 14.
Huu si uuaji huu?
Haya ninayoyasema ni Hali halisi.
Jamani eeeh Ukraine Kwa kusaidiwa na NATO inarusha makombora ndani ya Urusi mengi yanadunguliwa machache sana Tena sana yanapenya,hata hivyo Hali hii haioneshi udhaifu wa Urusi na kibaya zaidi hayabadilishi kabisa mafanikio ya vita anayoyapata Urusi huko uwanja wa vita,tofauti kabisa na makombora anayorusha Urusi ndani ya Ukraine,makombora ya Urusi yanaidhoofisha kabisa Ukraine Kwa kikindi hiki ambacho vita inaendelea,yanalipunguzia nguvu kwa kiwango kikubwa sana jeshi la Ukraine kuweza kujitetea.
Kuua kamanda au makamanda wa jeshi la Urusi Tena wasio katika uwanja wa mapambano haibadilishi mafanikio ya vita aliyoyapata Urusi.
Kwana kuua kwa njia za kigaidi ni dalili za kua ndani ya uwanja wa vita mmezidiwa.
Kulenga na kuua wakuu wa kijeshi au wa kisiasa Kila upande unaweza,kama mnakumbuka Putin aliwahi kusema msitulazimishe tukapiga kwenye Decision making Centers za Viongozi wa Ukraine,na kama mnakumbuka Kuna siku kulikua Kuna mkutano wa kuwapa nishani wanajeshi wa Ukraine,alikuwepo Zelensky na kiongozi mmoja wa nchi ya west nimemsahau,Urusi walipiga kombora umbali mdogo TU kutokea sehemu palipokua na sherehe hiyo,Hiyo ilikua ni onyo kwamba tukitaka kumuua zelensky hatushindwi.
Lkn pia kama mtakumbuka Waziri Mkuu Msataafu wa Israel bwana Bennett Naftali alipokua akiongea na Putin alimsihi na kumuomba Putin asimuue Zelensky,Putin akakubali ombi hilo, Naftali akamwambi nihakikishie hutamuua.
Poa nakumbuka kauli ya Putin aliwahi kusema tunajua anapolala Zelensky na anapoamkia,hatutaki kumuua lkn tukitaka tuanaweza kumuua,ila hatutamuua ili aje aweke sahihi makubaliano baada ya kushindwa vita.
Ndugu zangu wapo mnaoona Urusi inachukua mda mrefu kumaliza vita,ila nyie Pro Russia na hata Pro UkraiNATO nadhani mnajua Ukraine peke yake asingefika Leo hii,Bali kwa msaada ya NATO amefika lakini akiwa amechoka balaa.
Sasa hivi ninavyoandika hapa zile silaha zote alizokua nazo Ukraine kabla ya hii SMO Hana Tena,zote zimeteketezwa,
Wanamletea Kila siku masilaha na masilaha lkn yanateketezwa.
Jamani eeeh sote tunakubaliana hapa kua NATO ndio umoja pekee wa kijeshi hapa duniani wenye nguvu kubwa kuliko umoja wowote na kuliko nchi yoyote.
Ni Hali ya kweli kabisa ndani ya NATO Kuna nchi Inaitwa Marekani,nchi hii siku zote tunasema Ina bajeati kubwa ya ulinzi kuliko nchi yoyote hapa duniani,tunasema kua ndio nchi yenye jeshi kubwa,uchumi namba moja,ujasusi namba moja na tunasema Ina teknolojia kuliko nchi zote Dunia,hii nchi inaweza ikakuvalisha jina la kuwa wewe ni gaidi Na Ina uwezo wa kukuvua.
Tunakuabali kua Marekani ndio nchi tajiri namba moja duniani.kwa kifupi tunasema Marekani yeye peke yake ndio superpower.
Haya lkn ndani ya NATO Kuna nchi zenye teknolojia kubwa sana Kwa Kila kitu,kuanzia teknolojia za silaha,ujasusi na vitu vingine nchi mfano UK,German,France, Italy,Canada, Denmark, Norway,Spain,Poland, Belgium, Sweden, Finland etc.
Ndani ya NATO Kuna nchi tajiri zaidi duniani yaani G7.
Sasa ndugu zangu mnashangaa Nini kwa Urusi kuchukua muda wa miaka miwili kukabiliana na nchi inayopewa misaada ya "Hali na Mali" na nchi hizo nilizozitaja hapo juu?
Jamani eeeh naomba tuone kwa macho yetu ukuu,maajabu na uwezo wa Urusi.
Urusi peke yake inaweza kupigana dhidi ya nchi ya Ukraine inayopewa Kila aina ya msaada inaoutaka wa silaha ,ushauri, ujasusi,mafunzo,vikwazo, satellite,mbinu,askari na propaganda nk.
NATO walichofanikiwa ni kupunguza ty spidi ya Urusi kupata ushindi lakini wameshindwa kufanya Urusi ishindwe vita hii ambayo Kwa kuisaidia Ukraine Kwa Kila kitu lengo lao ishindwe.
Ndugu zangu,kwa kuangalia hasara nadhani hamutaki Tena kuangalia UkraiNATO wamepata hasara kiasi Gani Bali mnnangalia Urusi TU kimsingi UkraiNATO wamepata hasara kubwa mno.
Jamani eeeh Kila siku tumekuab tunasikia Urusi imelipuq treni iliyokua Ina shehenq za silaha,Urusi imelipuq meli iliyokua Ina shehenq za silaha,Urusi imelipua makambi yaliyokua na shehena za silaha,Urusi imelipua majengo ya chini ya ardhi ya kuongoza vita ndani yake kulikua Kuna wakuu ama wa USA Poland,UK , Ukraine n.kama wakuu wengine wa NATO.
Ndugu zangu haya yote hayajafanyika siku moja yamekua yakifanyiaka toka vita ianze.
Baadhi ya Maafisa wakuu wa NATO na hasa USA waliuliwa huko na baada ya kuuliwa utasikia huko USA wakisema Afisa huyu alikufa kwa jali alikua akifanya mazoezi ya kupanda milima,ama ajali ya helkopta,ama ajali ya gari,kumbe vijana wa Putin walifanya Yao
Suala la askari wa Korea kaskazini kufika vitani,jamani eeeh nimeshasema hapo juu NATO nao wengi TU wamekufia vitani,hivi mmesahau hapa juzi kati Wataalamu,wakufunzi na waalimu wa wasuala ya kijeshi ya mawasiliano na wanafunzi wao wa chuo Cha
kijeshi waliteketezwa chuoni hapo Ukraine?wataalamu kutoka USA,Finland Sweden n.k.
Ndugu zangu Mimi Lee nitakua mtu wa mwisho kuiona Urusi kama ni nchi dhaifu kwa sababu Urusi peke yake ikiwa imewekewa vikwazo kuliko nchi yoyote hapa duniani imeweza kukabilania na nchi zote hizo,nchi zenye nguvu kabisa hapa duniani.
Urusi ingekua dhaifu Leo hii tungekua hatuandikib hivi.
Kwa kifupi Urusi imeweza kuteketeza silaha nyingi sana za UkraiNATO kuliko silaha za urusi zilizoteketezwa,ndio maana unaona Leo majeshi ya Ukraine ndio yanayorudishwa nyuma na ardhi yake kuchukuliwa licha ya masilaha yote hayo kusaidiwa kutoka west.Kama silaha za urusi zingekua zimetekekezwa kwa wingi Leo hii majeshi ya UkraiNATO yangekua Yako mpakani mwa Ukraine na Urusi na hakuna hata centimeter moja ya ardhi ya Ukraine ingekua imekaliwa na Urusi.
Watu wanapiga propaganda eti Ukraine inashindwa,labda inashinda kwa kurusdi nyuma.
Kuna watu watakwambia hata Urusi inasaidiwa.
Eti inasaidiwa na Korea kaskazini'.
Hivi wakorea wamekuja lini Urusi?
Maana smo ilianza 2022.
Watasema Urusi inasaidiwa na china na ran .
Hivi ni lini marafiki wa Urusi wanakaaga vikao kama vile NATO wakaavyo na kuchangishana fedha ,wanajeshi na silaha?
NATO wanakaa vikao Kila mara kwa ajili ya Ukraine ambae sio mwanachama wa NATO.
Jamani eeeh vitani Kuna kupiga na kupigwa ,hata USA alipoivamia Iraq licha ya udhaifu na udogo wa Iraq kijeshi na kiuchumi dhidi ya Marekani na washirika wake lakini wanajeshi wengi TU wa Marekani walikufa.
Kubalini kataeni Urusi imeonesha maajabu makubwa sana hapa duniani,Urusi inastahili heshima.
NATO wameogopa kuweka No fly zone,wameogopa kudungua makombora ya Urusi kama walivyodungua ya Iran,wameogopa kuingia waziwazi wanaingia kama mamluki (mercenaries).
Walisema Urusi haiwezi kupigana mda mrefu,kumbe wao ndio hawawezi,
Urusi imeishiwa silaha,kumbe wao ndio zimekwisha,maana imejulikana kua Urusi inazalisha silaha mara Tatu kuliko NATO wote.
Silaha za urusi duni,kumbe zao ndio dhaifu.
Jeshi la Urusi dhaifu kumbe ndio jeshi imara.
Propaganda hazisaidii Sasa hivi.