kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Warusi wanazidi kuchinjwa tu 🥱 🥱 🥱 😢 😢 😢 😢 😢
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Ukrainian armed forces have lost over 460 soldiers in the Kursk region in the past 24 hours, the Russian Defense Ministry said on Monday.many of them
In total, Ukraine has lost over 53,330 servicepeople and 308 tanks during the offensive in Kursk region, the ministry added.According to our calculations
🙄vipi umetumia dawa gani hadi mashine ime wika umeanza kutafuta madada kwa mara ya kwanza 😁😁😁😁😁Dada Enzo naomba unichek inbox kama hutojar
Sehemu kubwa ya Kifurushi (Package) inarudi huko Marekani kwa Matajiri wanaouza silaha. Ukraine wanaambulia fedha za Mishahara ya Wanajeshi ambazo kwa kiasi kikubwa zimeliwa na Vigogo wakiongozwa na Zelensky.Hivi hapa juzi, Ukraine alipewa packages na serikali ya US iliyomaliza muda wake wa kuweza kupigana 2 years bila support ya current government, ila hali bado inaendelea kuwa mbaya.
Ila pia nadhani west support itapungua/kuisha, sababu sehemu kubwa yenye mali (madini, nishati za umeme, viwanda na ardhi yenye rutuba pamoja na mito imechukuliwa sana na warusi