LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

Trump: ^God bless Russia and Ukraine^​

Donald Trump says his phone conversation with Volodymyr Zelenskyy ^went very well.^

^He, like President Putin, wants to make PEACE,^ the president posted on social media.

^We discussed a variety of topics having to do with the War, but mostly, the meeting that is being set up on Friday in Munich, where Vice President JD Vance and Secretary of State Marco Rubio will lead the Delegation.

^I am hopeful that the results of that meeting will be positive.

^It is time to stop this ridiculous War, where there has been massive, and totally unnecessary, DEATH and DESTRUCTION. God bless the people of Russia and Ukraine!^
 
Zelenskyy ^charting next steps^ with US after Trump call​

Volodymyr Zelenskyy says he has had a ^meaningful conversation^ with Donald Trump over the phone.

^President Trump shared details of his conversation with Putin,^ said the Ukrainian leader.

^No one wants peace more than Ukraine. Together with the US, we are charting our next steps to stop Russian aggression and ensure a lasting, reliable peace.

^As President Trump said, let's get it done.^

The pair ^talked about opportunities to achieve peace^ and ^discussed our readiness to work together at the team level.^

^I am grateful to President Trump for his interest in what we can accomplish together.^
 
While both Ukraine and now America have given ground before negotiations have even started, the same cannot be said for Vladimir Putin.

He has not indicated a willingness to compromise on any of his key war demands.
 
1739387138890.png
 
Leo ilikua siku mbaya sana kwa Ukraine na Ulaya baada ya waziri wa ulinzi Pete Hegseth kuwapa za uso;
-Ukraine watakua wanajiliwaza kama wanadhani wataweza ku reclaim maeneo yao pre-2014

-Ukraine kuwa mwanachama wa NATO haitokua sehemu ya mazungumzo ya amani na kusitisha vita na Urusi

-Marekani haitakua kabisa sehemu ya walinda amani alio propose Zelensky wakae kwenye DMZ, Ulaya wameachiwa hilo jukumu kama watajihisi wana msuli huo ila amewaambia kabisa article 5 haitohusika Urusi akiwashambulia, ila hata hivyo Zelensky alishasema kama Marekani hayumo kwa hao walinda amani basi mpango mzima hauna maana.

-Jukumu la kuisaidia Ukraine, Marekani wanawaachia Ulaya ili a focus zaidi na kupambana na China ambao kwao wanaona ndo project ya muhimu zaidi kuliko Ukraine.

-Zelensky amesema yupo tayari kubadilishana eneo wanalokalia kwa muda huko Kursk kwa maeneo ya Ukraine anayokalia Urusi, sasa ukitaka kujua huyu rais wa Ukraine ameshakua chizi chukua ramani, tena usichukue hata ramani ya Urusi yote, chukua ramani ya Kursk uone hiko ki eneo ni % ya Kursk nzima, halafu angalia maeneo ya Ukraine anayoshikilia Urusi.

-Na Urusi wameshamwambia hilo eneo yeye aendelee tu kukaa nalo watalichukua kwa muda wao.

-Hata deal ya $500b ya rare earth minerals kumbe sio kwa ajili ya future defense ya Ukraine, kumbe lengo ni Marekani warudishe walau gharama ya silaha na misaada waliyotoa kwa Ukraine in the past.

-Hii maana yake ni;
..Ukraine amepoteza nguvukazi kubwa sana kupitia vifo vya vitani na wengine kukimbia nchi ambayo hatoweza kuirudisha mpaka mwisho wa dunia.

..Nchi imeharibiwa vibaya mnoo haiwezi kujengeka tena.

..Hana jeshi tena.

..Ameshapoteza tayari zaidi ya asilimia 20 ya eneo lake na wataalamu wanasema Urusi akifika tu kwenye mto Dniper (Huu kimsingi ndio unaigawa Ukraine pande mbili) ndo utakua mwisho wa Ukraine kama "nchi", hili hata Budanov alilisema.

..Wanaenda kupoteza tena madini adimu ya zaidi ya dola bilioni mia tano.

-Sasa ukitazama yote hayo, kwanza kibinadamu unajisikia kuwahurumia sana waukraine wa kawaida ambao hawana say kwenye maamuzi ya nchi, katokea mpumbavu mmoja alikua anafanya comedy akagombea wakampa nchi, kaja kuharibu kila walichojenga kwa miaka kibao, na ameharibu ndani ya muda usiofika hata miaka mitatu.

-Huyu Zelensky ukimfikiria, hata adhabu ya kifo unaona ni ndogo haimstahili.

-Alitaka ku achieve nini wakati wazungu wana offer kum evacuate yeye akawa anawaambia "give me weapons, I don't need a ride"??!!

-Hata baada ya vita kuanza alikua na nafasi kubwa sana ya kuokoa mengi katika hayo ambayo kwa sasa keshayapoteza ila sijui kwa kichaa cha namna gani akaamua kumsikiliza mwehu mwenzake Boris Johnson akaendeleza mapambano wakati wenye akili walishamwambia mapema hakuna namna nchi ambayo haina nyuklia inaweza ikaishinda kivita nchi ambayo ni nuclear super power. Na alijua kabisa hakuna namna Marekani ange risk vita ya nyuklia ipelekee mwisho wa dunia kwajili ya Ukraine!!

-Wengine waliokua wanaona mbali walishasema ni hatari zaidi kuwa rafiki wa Marekani kuliko kuwa adui yake.

-Wakubwa wamezozana miaka mitatu halafu leo wameelewana, Trump kaanza kupiga simu kwa Putin kabla yake katika maandalizi rasmi ya kumuacha kwenye mataa!!

-What was he thinking??? Alihisi mwisho wa hii vita utakua upi??
 
Donald Trump says peace negotiations with Russia to start 'immediately'​

Wednesday 12 February 2025 19:47, UK

Leo ilikua siku mbaya sana kwa Ukraine na Ulaya baada ya waziri wa ulinzi Pete Hegseth kuwapa za uso;
-Ukraine watakua wanajiliwaza kama wanadhani wataweza ku reclaim maeneo yao pre-2014

-Ukraine kuwa mwanachama wa NATO haitokua sehemu ya mazungumzo ya amani na kusitisha vita na Urusi

-Marekani haitakua kabisa sehemu ya walinda amani alio propose Zelensky wakae kwenye DMZ, Ulaya wameachiwa hilo jukumu kama watajihisi wana msuli huo ila amewaambia kabisa article 5 haitohusika Urusi akiwashambulia, ila hata hivyo Zelensky alishasema kama Marekani hayumo kwa hao walinda amani basi mpango mzima hauna maana.

-Jukumu la kuisaidia Ukraine, Marekani wanawaachia Ulaya ili a focus zaidi na kupambana na China ambao kwao wanaona ndo project ya muhimu zaidi kuliko Ukraine.

-Zelensky amesema yupo tayari kubadilishana eneo wanalokalia kwa muda huko Kursk kwa maeneo ya Ukraine anayokalia Urusi, sasa ukitaka kujua huyu rais wa Ukraine ameshakua chizi chukua ramani, tena usichukue hata ramani ya Urusi yote, chukua ramani ya Kursk uone hiko ki eneo ni % ya Kursk nzima, halafu angalia maeneo ya Ukraine anayoshikilia Urusi.

-Na Urusi wameshamwambia hilo eneo yeye aendelee tu kukaa nalo watalichukua kwa muda wao.

-Hata deal ya $500b ya rare earth minerals kumbe sio kwa ajili ya future defense ya Ukraine, kumbe lengo ni Marekani warudishe walau gharama ya silaha na misaada waliyotoa kwa Ukraine in the past.

-Hii maana yake ni;
..Ukraine amepoteza nguvukazi kubwa sana kupitia vifo vya vitani na wengine kukimbia nchi ambayo hatoweza kuirudisha mpaka mwisho wa dunia.

..Nchi imeharibiwa vibaya mnoo haiwezi kujengeka tena.

..Hana jeshi tena.

..Ameshapoteza tayari zaidi ya asilimia 20 ya eneo lake na wataalamu wanasema Urusi akifika tu kwenye mto Dniper (Huu kimsingi ndio unaigawa Ukraine pande mbili) ndo utakua mwisho wa Ukraine kama "nchi", hili hata Budanov alilisema.

..Wanaenda kupoteza tena madini adimu ya zaidi ya dola bilioni mia tano.

-Sasa ukitazama yote hayo, kwanza kibinadamu unajisikia kuwahurumia sana waukraine wa kawaida ambao hawana say kwenye maamuzi ya nchi, katokea mpumbavu mmoja alikua anafanya comedy akagombea wakampa nchi, kaja kuharibu kila walichojenga kwa miaka kibao, na ameharibu ndani ya muda usiofika hata miaka mitatu.

-Huyu Zelensky ukimfikiria, hata adhabu ya kifo unaona ni ndogo haimstahili.

-Alitaka ku achieve nini wakati wazungu wana offer kum evacuate yeye akawa anawaambia "give me weapons, I don't want a ride"??!!

-Hata baada ya vita kuanza alikua na nafasi kubwa sana ya kuokoa mengi katika hayo ambayo kwa sasa keshayapoteza ila sijui kwa kichaa cha namna gani akaamua kumsikiliza mwehu mwenzake Boris Johnson akaendeleza mapambano wakati wenye akili walishamwambia mapema hakuna namna nchi ambayo haina nyuklia inaweza ikaishinda kivita nchi ambayo ni nuclear super power. Na alijua kabisa hakuna namna Marekani ange risk vita ya nyuklia ipelekee mwisho wa dunia kwajili ya Ukraine!!

-Wengine waliokua wanaona mbali walishasema ni hatari zaidi kuwa rafiki wa Marekani kuliko kuwa adui yake.

-Wakubwa wamezozana miaka mitatu halafu leo wameelewana, Trump kaanza kupiga simu kwa Putin kabla yake katika maandalizi rasmi ya kumuacha kwenye mataa!!

-What was he thinking??? Alihisi mwisho wa hii vita ulikua upi??
Hii ndio post Bora kabisa kwa mwaka huu 2025,🙏🤝👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🐻🐻🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🐻🐻🐻💪💪💪.
Sitegemei kwa siku za hivi karibuni kupata post maridhawa kama hii.
 
Hayawihayawi Sasa yamekua.
Labda wamuue Trump mpenda amani,maana mpango huo upo.
Lkn ki msingi kama msimamo wa Pentagon utabika hivyo malengo ya ya Urusi Sasa yametimia.

Pentagon rules out Ukraine joining NATO

Membership of the US-led bloc is not a “realistic outcome” of a peace deal, according to US Defense Secretary Pete Hegseth

Ukraine will not be admitted to NATO as part of any ceasefire deal with Russia, US Defense Secretary Pete Hegseth told reporters on Wednesday. He added that attempting to return Ukraine's to its 2014 borders is “unrealistic” and that American troops will not be involved in maintaining any settlement.

Kiev has repeatedly insisted that joining NATO is a key security issue for the country. Vladimir Zelensky has claimed it to be a prerequisite for resuming negotiations with Moscow. However, the US-led military bloc has never provided a timeline for admitting Ukraine, and multiple officials have briefed media that there is no possibility of membership while a conflict is ongoing
 
Kiev ready for peace talks with Moscow – defense minister

Kiev is ready for negotiations with Moscow to end the conflict, Ukrainian Defense Minister Rustem Umerov said on Wednesday.

The ‘Ramstein’ format meeting is being chaired by UK Defense Secretary John Healey and attended by newly appointed US Defense Secretary Pete Hegseth.
 
Huyu jamaa alimshauri vizuri Putin kuwa vita siyo jambo la kuvamia. Putin aliyekuwa amejiandaa kwa uvamizi hakutaka kusikiliza. nadhani leo hii akiona video hii atajilaumu kweli. Huyo mshauri ndiye aliyekuwa spy mkuu wa mambo ya usalama kuliko hao wengine machawa na huenda alikuwa na picha kamili ya matokeo ya uvamizi huo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=o9A-u8EoWcI
 
Hawa majamaa utadhani wana akili za kuku
View attachment 3220214
Ni propaganda tu hakuna majeshi yoyote ya Korea Kaskazini yakipigania Russia na hata kama yapo ni machache sana yakisaidia logistics kwa ajili ya makombora kutoka Pyongyang.

Hiyo ni sawa na nchi za NATO na Marekani kuwa na wakandarasi pale Kyiv na Kursk.

Its information war ambayo kwa West wameshindwa ndo maana waja na hii na kwa Putin kashinda kwa kupanga kufanya mazungumzo na Donald Trump kwa kuzingatia mahitaji yake.
 
Huyu jamaa alimshauri vizuri Putin kuwa vita siyo jambo la kuvamia. Putin aliyekuwa amejiandaa kwa uvamizi hakutaka kusikiliza. nadhani leo hii akiona video hii atajilaumu kweli. Huyo mshauri ndiye aliyekuwa spy mkuu wa mambo ya usalama kuliko hao wengine machawa na huenda alikuwa na picha kamili ya matokeo ya uvamizi huo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=o9A-u8EoWcI

Naryshkin alikosea kuleta taarifa ambazo hazikuwa sahihi kwenye huo mkutano wa baraza la usalama la Russia.

Alitaka Putin awape muda Ukraine ambao tayari walikuwa wamejiandaa kwa kuachana na mkataba wa Minks na huku wakiendelea kuyashambuia hayo majimbo mawili ambayo wengi wa raia wake ni warusi.

Ndo maana baada ya mkutano huo raisi Putin ambae kwa watu wa ujasusi huamini kuwa na taarifa mbadala hata tatu, aliamua kutangaza kuyatambua hayo majimbo mawili muhimu na kuingiza majeshi ya Russia kukabiliana na majeshi ya NATO.

Soma hapa: Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk
 
Back
Top Bottom