Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
European Union wamevuliwa nguo kwakweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa ghetto tunaita hii KUPIGWA mande na njemba mbili🤣Watu wanataka mali!
France joins US in seeking access to Ukraine's minerals
Like the US, France is also seeking access to Ukraine's deposits of critical minerals, and negotiations have been under way for months, France's defence minister says.
Thursday 27 February 2025 11:40, UK
The Latest News from the UK and Around the World | Sky News
Sky News delivers breaking news, headlines and top stories from business, politics, entertainment and more in the UK and worldwide.news.sky.com
Military summary manenosHuku kursk naona shughuri inaenda kuisha wiki ijayo kwa kama hakutakuwa na mabadiliko.
Maana Russia badala ya kupambana kupambana uso kwa uso aliamua kutokea kwa nyuma na kudhibiti zile za supply road hivyo kuwa ngumu kwa Ukraine kutoa back-up waliopo mbele.
Ishu ya Peace agreement ina changamoto moja, ya askari almost lami nane (800,000), baada ya cease fire wataenda wapi, maana terms moja wapo Urusi aliyoitoa ni ku disarm Ukraine Army, Europe na west hawezi kukubali askari wenye uzoefu wa battle kua chini ya Urusi, na Urusi pia hawezi kukubali wawe chini ya Europe
It just fuct, sababu unahisi atakayekuja kama gakutakuwa na kulindwa kwa Zele kikatiba au na Ulaya lazima atasimama mbele ya court, na ndio maana Zelensky anachokomalia ni hatna yaje sio ya Ukraine kwa UjumlaMilitary summary manenos
Kipindi cha kampeni walikuwa wapo na yule mwanamama mgombea wa democratic, kwa hiyo hawana cha kumdai.Europe hawaamini huyu jamaa alivyowaacha kwenye mataa ghafla hivi!
🤨 Trump claims Ukraine could receive “$350 billion, a lot of military equipment, and the right to continue fighting” under the mineral resources deal.
At the same time, the U.S. president stated that military aid to Ukraine will continue until an agreement with Russia is reached.
“Look, Ukraine—they are very brave, great soldiers. But without the U.S., its money, and equipment, this war would end very quickly. In fact, I was the one who provided the Javelins. And they destroyed many tanks with those Javelins,” Trump said.
He also noted that Zelensky may travel to the U.S. on February 28 to sign the mineral resources deal
Kama zele ataenda kweli kusaign deal la madini kwa ajili ya kuendelea kupambana na Putin, basi uwendawazimu wake utajidhihirisha wazi kabisa. Wananchi wa ukraine watamwelewa kweli?mama kweli Zeke atakwenda
We kipanya vipi weweee!?
Baada ya kusaini watamla kichwaKama zele ataenda kweli kusaign deal la madini kwa ajili ya kuendelea kupambana na Putin, basi uwendawazimu wake utajidhihirisha wazi kabisa. Wananchi wa ukraine watamwelewa kweli?