kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Hii ceasefire proposal ni kama Ukraine na USA wamechinja mbuzi,kisha baada ya kila Moja kuchukua nyama nzurinzuri na kubakiza sehemu za kichwa,miguu na mautumbo,Sasa wanamwita urusi nae aje kuchukua sehemu ya nyama yake kwenye huyo mbuzi aliyechinjwa.,Sasa urusi anaangaika kuangalia achukue sehemu gani kati ya kichwa, sehemu za miguuni na mautumbo yaliyobakizwa.. kumbuka kwa upande wake Ukraine ameshachukua Cha kwake,ukiwa ni pamoja na
1.kuendelea kupatiwa silaha kutoka USA.
2.msaada wa kiintelijensia pia amerejeshewa.
3.satelite images
Na kwa upande wake USA kajipatia Dili la madini..,
Hapa ukiangalia Ukraine na USA kila Moja kuchukua Cha kwake,Ina maana urusi akikubali au asipokubali ceasefire Haina maana sana. Sanasana asipokubali basi atakuwa anazidi kuudumisha urafik wa Ukraine na USA 🏃🏃