LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hii ceasefire proposal ni kama Ukraine na USA wamechinja mbuzi,kisha baada ya kila Moja kuchukua nyama nzurinzuri na kubakiza sehemu za kichwa,miguu na mautumbo,Sasa wanamwita urusi nae aje kuchukua sehemu ya nyama yake kwenye huyo mbuzi aliyechinjwa.,Sasa urusi anaangaika kuangalia achukue sehemu gani kati ya kichwa, sehemu za miguuni na mautumbo yaliyobakizwa.. kumbuka kwa upande wake Ukraine ameshachukua Cha kwake,ukiwa ni pamoja na

1.kuendelea kupatiwa silaha kutoka USA.
2.msaada wa kiintelijensia pia amerejeshewa.
3.satelite images

Na kwa upande wake USA kajipatia Dili la madini..,
Hapa ukiangalia Ukraine na USA kila Moja kuchukua Cha kwake,Ina maana urusi akikubali au asipokubali ceasefire Haina maana sana. Sanasana asipokubali basi atakuwa anazidi kuudumisha urafik wa Ukraine na USA 🏃🏃
 
(1) 😂😂😂😂 Ebu acha kuchekesha watu walionuna.kwani huyo USA kasitisha lini iyo misaada, kabla ya kusitisha hali ilikuwaje na sasa kimebadilika nini.

(2)Mikoa inayoshikiliwa na Urusi ndo mikoa yenye utajiri mkubwa wa madini.mpaka wamekubali kukaa meza moja na Urusi basi wamekubali masharti yake anayotaka
 
⚡Russian State Duma Deputy Sobolev:

The US will rearm Ukraine in 30 days of ceasefire and start the war anew - Russia will not go for it.

I think that this is completely unacceptable. Some kind of temporary ceasefire. A temporary truce, the president also spoke about this, is unacceptable.
Watu waendelee na Kichapo wewe fikiria wametepeta namna hii halafu uwaachie wapumue??? Pelekaaa motoo hakuna Truce hapa...
 
poster

Ukrainian forces withdraw from Russia's Kursk region​

March 12, 2025, 11:55
1259

Share:
Ukrainian equipment in Sudzha, August 2024 (Photo: Ground Forces / Telegram)

Author: Demian Shevko
The bulk of Ukrainian forces, including some of Kyiv’s most battle-hardened brigades, have likely withdrawn from Russia’s Kursk region, relocating back into Ukrainian territory, military correspondent David Axe wrote for Forbes on March 11.
 
poster

Russian troops enter Sudzha in Kursk Oblast, battles ongoing​

March 12, 2025, 15:57
101

Share:

The center of the Russian city of Sudzha (Photo: Bavovna/Telegram)

Russian troops entered Sudzha in Russia’s Kursk Oblast as they established fire control over the Yunakivka-Sudzha road, a Ukrainian military officer told Suspilne on March 12.
 
Ukraine 'no longer in control of key town in Russia'​

A widely-used online Ukrainian battlefield map appeared to show that Ukrainian forces are no longer in control of Sudzha in Russia's Kursk region.
The Deep State map appeared to show Kyiv's forces had left the town in an area where Moscow has mounted an offensive and recaptured territory in recent days.
The map is not an official government document and says it is updated by a team of Ukrainian users with publicly available data.
Earlier reports said Ukrainian troops appeared on the cusp of losing their hard-won foothold inside Russia's Kursk region.
 
Ukrainian military personnel in Russia’s Kursk region are carrying out their tasks, and the military command is doing everything possible to preserve the lives of Ukrainian soldiers.
Elewa hiyo statement ya "the military command is doing everything possible to preserve the lives of Ukrainian soldiers ". Maana yake wanafanya juhudi za kuwaokoa wasifie huko Kursk.
 
Kazi ya jeshi lolote vitani ni kuokoa au kupunguza upotevu wa askari wake.,ndio maana askari wanava armors za kutosha Ili kuokoa uhai wao..,acha kupindisha mambo 🏃🏃
 
Hii ceasefire proposal ni kama Ukraine na USA wamechinja mbuzi,kisha baada ya kila Moja kuchukua nyama nzurinzuri na kubakiza sehemu za kichwa,miguu na mautumbo,Sasa wanamwita urusi nae aje kuchukua sehemu ya nyama yake kwenye huyo mbuzi aliyechinjwa.,Sasa urusi anaangaika kuangalia achukue sehemu gani kati ya kichwa, sehemu za miguuni na mautumbo yaliyobakizwa.. kumbuka kwa upande wake Ukraine ameshachukua Cha kwake,ukiwa ni pamoja na

1.kuendelea kupatiwa silaha kutoka USA.
2.msaada wa kiintelijensia pia amerejeshewa.
3.satelite images

Na kwa upande wake USA kajipatia Dili la madini..,
Hapa ukiangalia Ukraine na USA kila Moja kuchukua Cha kwake,Ina maana urusi akikubali au asipokubali ceasefire Haina maana sana. Sanasana asipokubali basi atakuwa anazidi kuudumisha urafik wa Ukraine na USA 🏃🏃
Hakuna kuchinja mbuzi wala nini, Zele alipigwa zile za uso pale Oval Office ili kutikiswa na akakunjwa mkono unoomba misaada na akatimuliwa. Ulaya wakamwita na wakampa darasa la michezo ya kidiplomasia na akaelewa kisha akaandika barua ya kuomba radhi na Trump akakubali ndo waona yanoendelea.

Ile kwa wataalam wa geopolitics wasema ni stratejia ambayo Trump atumia kuweka new world order na kutaka Russia arudi kwenye G8 kama superpower wa upande Mashariki ili aweze kukabiliana vilivyo na China.

Hivyo NATO na EU watake wasitake ni lazima wakubali kwamba muziki wa Russia ni mgumu kuucheza na wamkaribishe dimbani. Usisahau Russia ni nchi ya Ulaya Mashariki iliyomo kwenye bara la Ulaya na ni nchi kubwa.

Na hivyo vitu vitatu ulovitaja havimo kwenye ceasefire proposal.

Ceasefire proposal ni masuala mengine ambayo mpaka sasa hakuna anaefahamu.

Isitoshe Russia tayari ana majimbo manne Zaporizhzhia, Kherson, Luhansk na Donetsk ambayo hatarudi.

Pili, Ukraine itawalazimu kuondoa majeshi yake kule Kursk kutokana na kuzungukwa kwa kiasi kikubwa.

Tatu, ambalo ni crucial point, Zelenzky ana decree inomzuia kufanya mazungumzo na Vladmir Putin sidhani kama wafahamu hio, na nini maana yake.
 
Muda wowote Kursk............................

Ukraine 'no longer in control of key town in Russia'

A widely-used online Ukrainian battlefield map appeared to show that Ukrainian forces are no longer in control of Sudzha in Russia's Kursk region.

Wednesday 12 March 2025 16:41, UK

Hii ceasefire proposal ni kama Ukraine na USA wamechinja mbuzi,kisha baada ya kila Moja kuchukua nyama nzurinzuri na kubakiza sehemu za kichwa,miguu na mautumbo,Sasa wanamwita urusi nae aje kuchukua sehemu ya nyama yake kwenye huyo mbuzi aliyechinjwa.,Sasa urusi anaangaika kuangalia achukue sehemu gani kati ya kichwa, sehemu za miguuni na mautumbo yaliyobakizwa.. kumbuka kwa upande wake Ukraine ameshachukua Cha kwake,ukiwa ni pamoja na

1.kuendelea kupatiwa silaha kutoka USA.
2.msaada wa kiintelijensia pia amerejeshewa.
3.satelite images

Na kwa upande wake USA kajipatia Dili la madini..,
Hapa ukiangalia Ukraine na USA kila Moja kuchukua Cha kwake,Ina maana urusi akikubali au asipokubali ceasefire Haina maana sana. Sanasana asipokubali basi atakuwa anazidi kuudumisha urafik wa Ukraine na USA 🏃🏃
Kwa hiyo unawasifia waliochukua mbuzi 1 kwenye Zizi lenye mbuzi 100 kwasababu tu, wameshamchinja na kugawana nyama!?
Na unamponda alieligawa Zizi katikati nakuchukia nusu ya mbuzi waliomo kwasababu tu hajaanza kuwala nyama!?
 
Russia wameshasema maelewano yeuote ni katika Terms zao...imeishaaa
Ukraine ameshapata medali zake muhimu alizokuwa anafukuzia kwa udi na uvumba

1.resume flowing of military equipment

2.getting integence sharing from USA

3.Access to satellite images from Russia

Kwa Ukraine hata akipigana miaka 10 Wala hiyo si tatizo kwao
 
Back
Top Bottom