SPECIAL THREADS: Post home screen (Mwonekano) wa simu za wana JF

Mkuu nimeielewa hii nipe maujanja na Mimi niweke kwangu
Hii ya zamani sana 2009 enzi za android version cupcake 1.5 donut 1.6 na eclair 2.0
Lakini Wallpaper yake hii hapa
 
Ningemwona tecno humo officially kwenye meza ya wageni ningeshtuka sana, lakini nimejarb kuangalia Kuna wadau wanabuild remix chotara ya hiyo aicp na rom zingine kama cm kupata custom aicp ya tecno na brand zingine za kichina
 
Hii ni Nova launcher, homescreen. Icons natumia Tigad na hapo juu ni steps count kila napotembea inaonyesha. Google search na assistance zinapatikana hapo chini.Kufikia app Drawer ninafanya double click.
 
Vivo homescreeen
 

Attachments

  • Screenshot_20210130_101043.jpg
    102.6 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…