SPECIAL THREADS: Post home screen (Mwonekano) wa simu za wana JF

hahah nilisha wahi ku install custom rom kwenye tecno.. now kuna HTC m8 pia nimeweka custom rom Android ice cold project AICP android 10
 
mkuu yaan bado unatumia IDEOS hadi leo?
 
hahah nilisha wahi ku install custom rom kwenye tecno.. now kuna HTC m8 pia nimeweka custom rom Android ice cold project AICP android 10
Asee iyo naikubali system ui ni very customizable ivi hiyo project ni kwa ajili ya htc tu au
 
Kwa hisani ya KWGT app ina nguvu sana kwenye widgets limitation ni mind yako tu labda pamoja na free version,nimeipenda iyo creativity kwenye home screen red themed
Pamoja sana mkuu ila kuna home screen iliipost ngoja niitafute unipe maujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…