kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mwaka huu Simba wamedhamiria kwelikweli: Simba imecheza mechi nne na tayari zote (100%) imebebwa kupata matokeo.
Round 1. Simba imepangiwa mechi na timu (Tabora) ambayo haikukamilisha usajili wa wachezaji, ikapata ushindi.
Round 2. Simba imepangia mechi na timu (Fountain gate)ambayo pia ilikuwa na shinda ya usajili wa wachezaji wake muhimu, ikapata ushindi.
Round 3. Simba Vs Azam, Simba ikapewa goli la offside, ikatoka kidedea
Round 4. Simba vs Dodoma jiji, Simba ikapewa penalti, ikapata ushindi.
Huu ni upendeleo (makosa ya kibinadamu) wa 100%, haiwezekani iwe ni bahati mbaya tu.
Tunaelewa kwanini VAR haitatumika msimu huu.