Hao wachezaji waliowapata ni kina nani?Fountain imefungwa mechi ngapi baada ya kuwapata wachezaji wao wote?
Wataje?Fountain Gate wana wachezaji gani wa kigeni ambao walicheza baada ya mechi na Simba.Unazungukazunguka tu.Jibu hoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wachezaji waliowapata ni kina nani?Fountain imefungwa mechi ngapi baada ya kuwapata wachezaji wao wote?
Huyo inaonekana kuwa hajawahi kuangalia ile filamu yetu kongwe ya "Neria" ambapo "bwana kasande" alikuwa anatangatanga kujibu maswali ya kwa nini anataka kurithi mali za marehemu kaka yake.Hao wachezaji waliowapata ni kina nani?
Wataje?Fountain Gate wana wachezaji gani wa kigeni ambao walicheza baada ya mechi na Simba.Unazungukazunguka tu.Jibu hoja.
Kinachokera wameyatapakaza JF nzima. Kuanzia chit chat mpaka kule kwenye jukwaa la malalamiko JF.Tuliwaambia mmesajili wazee hamsikiii ona sasa malalamiko yameanza mapemaa
Ubaya ubwela!Mwaka huu Simba wamedhamiria kwelikweli: Simba imecheza mechi nne na tayari zote (100%) imebebwa kupata matokeo.
Round 1. Simba imepangiwa mechi na timu (Tabora) ambayo haikukamilisha usajili wa wachezaji, ikapata ushindi.
Round 2. Simba imepangia mechi na timu (Fountain gate)ambayo pia ilikuwa na shinda ya usajili wa wachezaji wake muhimu, ikapata ushindi.
Round 3. Simba Vs Azam, Simba ikapewa goli la offside, ikatoka kidedea
Round 4. Simba vs Dodoma jiji, Simba ikapewa penalti, ikapata ushindi.
Huu ni upendeleo (makosa ya kibinadamu) wa 100%, haiwezekani iwe ni bahati mbaya tu.
Tunaelewa kwanini VAR haitatumika msimu huu.
Ubaya ubwela!Malalamiko yalitegemewa ila si mapema hivi.
Sasa mpanzu si Bora hata SaidoKengold na Kmc wamewatoa kamasi......
Ukisikia Mpanzu katua msimbazi ndo mnazid kuchanganyikiwa.......
MpanzuKitu ambacho mbumbumbu fc wengi hawafahamu, Yanga ikiwa katika Hali ya utulivu ki uongozi na ki uchumi Haijawahi kukosa Kikombe.
Kwasasa Yanga itaendelea kutwaa Mataji kwa muda mrefu Sana, ata ikija kutokea uko mbele Simba ika imarika Bado wataendelea kusubiri kwa kipindi kirefu Sana.
Kwasasa Nguvu kubwa inaelekwzwa kwenye mashindano ya CAF kwakua uko tunataka timu itambe kama inavyo tamba NBC.
Apa ndani hakuna changamoto za kutosha.
Haki iko mbinguni tuWashinde kwa haki basi ili wasisemwe. Mechi 4 kapakatwa mara 4. Kama unaujua mpira vizuri na sio timu utajua kuwa magoli ya Simba ni papatupapatu, bahati na kubebwa, hakuna ufundi
Kwa mnyama kila goti litapigwa.Mwaka huu Simba wamedhamiria kwelikweli: Simba imecheza mechi nne na tayari zote (100%) imebebwa kupata matokeo.
Round 1. Simba imepangiwa mechi na timu (Tabora) ambayo haikukamilisha usajili wa wachezaji, ikapata ushindi.
Round 2. Simba imepangia mechi na timu (Fountain gate)ambayo pia ilikuwa na shinda ya usajili wa wachezaji wake muhimu, ikapata ushindi.
Round 3. Simba Vs Azam, Simba ikapewa goli la offside, ikatoka kidedea
Round 4. Simba vs Dodoma jiji, Simba ikapewa penalti, ikapata ushindi.
Huu ni upendeleo (makosa ya kibinadamu) wa 100%, haiwezekani iwe ni bahati mbaya tu.
Tunaelewa kwanini VAR haitatumika msimu huu.
Ubaya ubwela!
Kila kona ni milio ya Amfibia .Hapo bado hawajasema , mpaka waseme.