Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hata ababwe kwa namna gani, simba hawezi chukua ubingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye mpira inafahamika kuwa Kuna matokeo 3, lakini utaangalia yamepatikaje. Kuna timu inafungwa lakini imecheza kandanda safi, imekosa umalizaji TU. Simba ilicheza kandanda safi? Man of the match katoka timu Gani?Cha ajabu huelewi kwamba huelewi.Hakuna timu inacheza ligi bila kupoteza pointi.Yanga alipoteza pointi Kagera na Ihefu na akawa bingwa Timu ndogo kwenye ligi ni ipi?
????????Shule shule shule.Unaulizwa pears unajibu cassava.Kwenye mpira inafahamika kuwa Kuna matokeo 3, lakini utaangalia yamepatikaje. Kuna timu inafungwa lakini imecheza kandanda safi, imekosa umalizaji TU. Simba ilicheza kandanda safi? Man of the match katoka timu Gani?
Kia timu inafungwa lakini ilifungwaje na ilichezaje? Nothing more nothing less. Simba ilianza na goli 4, ikaja 3 ikafuata 2 na domama ikapata 1 kwa penati, na koastal ikapata sare. What follows next march with yanga on 19 October?????????Shule shule shule.Unaulizwa pears unajibu cassava.
Nilikwambia hata kama imefunga goli moja, kutoka sare au kufungwa, lakini hesabu idadi ya nafasi zilizotengenezwa. Yanga inatengeneneza nafasi nyiiiiingi kila mechi hata kama inafunga goli moja. Kama refa angekuwa makini kwenye mechi dhidi ya Dodoma jiji simba ingekuwa na sare mbili mpaka sasa. Ona namna refa alivyomaliza mpira wakati wa mechi vs coastal union, haikufanya vile kwa bahati mbaya TU.Mkuu umeishia darasa gani?Kwa mantiki yako hiyo Yanga alishinda mechi ya kwanza na Kagera 2 ,mechi ya pili na Ken Gold goli 1 mechi ya tatu na KMC goli 1 kwa hiyo mechi ya 4 aliyoshinda 4 alipaswa kufungwa au ku droo?
Unashangaza uwezo wako wa kufikiri.Mpira haupo hivyo na hautakaa uwe hivyo.
Point of correction Simba alianza kushinda goli 3 na Tabora United na mechi ya 2 akashinda 4 na Fountain Gate.