Speed hii ni kali sana, round ya 4 tu tayari Simba ana 100% ya upendeleo

Speed hii ni kali sana, round ya 4 tu tayari Simba ana 100% ya upendeleo

Mwaka huu Simba wamedhamiria kwelikweli: Simba imecheza mechi nne na tayari zote (100%) imebebwa kupata matokeo.

Round 1. Simba imepangiwa mechi na timu (Tabora) ambayo haikukamilisha usajili wa wachezaji, ikapata ushindi.
Round 2. Simba imepangia mechi na timu (Fountain gate)ambayo pia ilikuwa na shinda ya usajili wa wachezaji wake muhimu, ikapata ushindi.
Round 3. Simba Vs Azam, Simba ikapewa goli la offside, ikatoka kidedea
Round 4. Simba vs Dodoma jiji, Simba ikapewa penalti, ikapata ushindi.

Huu ni upendeleo (makosa ya kibinadamu) wa 100%, haiwezekani iwe ni bahati mbaya tu.

Tunaelewa kwanini VAR haitatumika msimu huu.
Ndiyo maana midunduka imekuja na slogani ya ubaya ubwela.
 
Simba na Yanga huwa wanabadilishana ubingwa kama Republican na Democrats kule marekani.Ukiona kuna mmoja kachukua mfululizo ujue kuna kupokezana ubingwa na hiyo ipi kisiasa zaidi. Unaweza kubisha na kutukana ila ukweli utabaki pale pale.
Huenda hiyo ni kweli lakini haitatokea msimu huu.
 
Ratiba ilipangwa lini?Na muda huo ratiba ilipokuwa ikipangwa wapanga ratiba walijua wazi kwamba Tabora United na Fountain Gate hazitawahi kusajili?
Ujinga una viwango tofauti lakini wa mleta mada unapaswa kuwekwa kwenye rekodi.
Malalamiko yameanza mapema ni point ya kuitilia maanani sana.
Mkuu umetumia silaha kubwa sana kuua sisimizi
 
Eti Mzee Mpili ndiyo husimamia ugawaji wa supu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜€๐Ÿ˜†

Kila siku ya kunywa supu lazima watwangane ngumi.
Msijidanganye, Yanga bado iko level ya juu sana kwenye ligi yetu. Hicho unachokiona sasa hivi kwenye timu nyingine ni "JUHUDI" tu za muda za wachezaji katika kutafuta huruma za makocha wapya kwenye first 11 zao. wachezaji wengi ni wapya na mabenchi ya ufundi ni mapya hivyo wanajitafuta.

Yanga hii inaweza kucheza na timu yoyote kutoka ligi yoyote duniani na kuambulia sare. Mtakuwa mnakosea sana kwa kuona ushindi mwembamba kwenye mechi 2 na kuacha kuhesabu nafasi wanazozitengeneza Yanga kwenye kila mechi na quality ya wachezaji na benchi la ufundi lililoko yanga. Unajifariji tu lakini ukweli mnaujua. Haiwezekani Yanga iwe mbovu ghafla baada ya muda mfupi tu wa kuzikanda magoli mengi Simba, Azam, Kaizer, Vital'O, CBE na kutoka 2-1 na timu ya ligi ya Ujerumani. Unajidanganya wenyewe. Uzi huu ni Simba inabebwa kila mechi na sio Yanga imeshuka.
 
Umesoma kichwa cha bandiko?

Maelezo meeengi sana.
 
kavulata jibu lile goli la Yanga kwa Kengold vipiiii?
Halikuwa goli, ukweli hata mm na pengine kila mtu alishangaa kwanini ule mpira ulifanya vile uliyofanya bila kuingia golini. Ule ndiyo ushahidi wa nguvu ya kutoa sadaka kwa mayatima na watu wenye uhitaji. Sadaka zililizuia mpira ubaki kiwanjani usawa wa goli na kwenda kutoka nje baada ya kulipita lango.
 
Fountain Gate walikosa wachezaji wangapi?Tabora walikosa wachezaji wangapi?Kwani hizo timu hazipo pabaya kwenye msimamo wa ligi.
Walishinda mechi zao za mwanzo baada ya kufungwa na Simba au waliendelea kufungwa kwa kukosa wachezaji wao?
Mantiki ya hoja yako ni ya wale mashabiki maandazi wasiokuwa na ushahidi wa wanachokiandika.Ratiba ilitolewa lini?Na hao waliolalamika unaowaita wadau ni kina nani?Leta ushahidi wa madai yako.
Uzushi ni rahisi kuandika lakini ili iwe ukweli lazima uwe umekuwa backed na facts ili usiwe uzushi bali ukweli.
Acha maswali ya kizushi bro, penda mpira. Simba haina kitu inabebwa TU. 2-2 na coastal ndiyo levels za Simba.
 
Tutaungana na coastal union
Unganeni muwe na bandiko Moja Sasa. Maana mpaka ligi iiishe mtakuwa mmetujazia servers za JF bila ya sababu za msingi kabisa.

Hapo Elie Mpanzu hajaanza kucheza๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„๐Ÿ˜†
 
Mkuu kwema?
Akikujibu unitag. Simba haina timu, bali wachezaji wanaofanya juhudi mbele ya kocha mpya. Ni mbeleko TU iliyowafikisha hapo mpaka sasa. Sema TU Leo coastal ni timu ya viongozi wa TFF. Pamoja na hivyo magoli ya Simba yote ni mbeleko TU. Refa akaonywa kwenye halftime.
 
Wewe ni shabiki wa matokeo.Kutoka sare na kufungwa na kushinda ni mambo ya kawaida sana kwenye mpira.Hakuna timu invisible wewe zazwa unayeamini conspiracy theories.
Wanatoka droo Real,Man City timu nzuri duniani itakuja kuwa Simba?Jifunze kupenda mpira wacha ushabiki maandazi wa kukimbia kifua wazi.
 
Unateseka ukiwa wapi? Mbona wenzako hawawazi kama wewe? Wezako karibia wote wanawaza ushindi wa 100% na timu ndogo ndogo hizi kama coastal, ken gold. Ndiyo maana walikuwa wanabeza Yanga kushinda kwa goli moja. Hata hivyo lazima tuupende mpira kabla ya kuzipenda timu zetu. Tuseme ukweli ili timu zetu zisogee. Simba bado sana.

Hebu ona namna refa alivyomaliza mpira wakati coastal wanaelekea kwenye goli la Simba, umeona wapi kitu kama kile?! Mbeleko ingine ya 5 . Yaani 5 kwa 5 (mechi 5 mbeleko 5)
 
Hata kama mpira uko hivyo, lakini kupoteza 2pts kwenye ligi kama yetu means a lot. Msimu uliopita Simba iliangukia kucheza mashindano ya CAF confederation kwa tofauti ya magoli TU na Azam, sembuse 2pts?
Wewe ni shabiki wa matokeo.Kutoka sare na kufungwa na kushinda ni mambo ya kawaida sana kwenye mpira.Hakuna timu invisible wewe zazwa unayeamini conspiracy theories.
Wanatoka droo Real,Man City timu nzuri duniani itakuja kuwa Simba?Jifunze kupenda mpira wacha ushabiki maandazi wa kukimbia kifua wazi.
 
Hata kama mpira uko hivyo, lakini kupoteza 2pts kwenye ligi kama yetu means a lot. Msimu uliopita Simba iliangukia kucheza mashindano ya CAF confederation kwa tofauti ya magoli TU na Azam, sembuse 2pts?
Cha ajabu huelewi kwamba huelewi.Hakuna timu inacheza ligi bila kupoteza pointi.Yanga alipoteza pointi Kagera na Ihefu na akawa bingwa Timu ndogo kwenye ligi ni ipi?
 
Back
Top Bottom