pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Ndio maana nasema mashabiki wa yanga wana shida sana simba walifungwa 5 na yanga ila hakuna kiongozi wala shabiki aliyemlalamikia refa na juzi yanga walishinda goli moja ila pia wakalalamika wakawaita wachezaji wa simba wazee wakawachukua baleke chama okrah mkude ila nashukuru mungu kuwa shabiki wa simba kule kuanzia mashabiki mpaka viongozi hawajielewi kila siku wanashindwa kesi FIFA ingekuwa Tanzania wangeilaumu TFF yanga hata mara yao ya mwisho walikuwa wanabebwa sana mpaka lomalisa alipiga cross nje ya uwanja na ikawa Goal badilikeni watani mpira haupo hvyo.