Nadhani hujawahi kupanda Golden Deer T712 DPK waulize hao sauli wako wanaijua shughuli yakeWadau salaam kwenu,
Kwa sasa bus la Sauli ndio linaweza kuwa bas linalokimbia sana barabarani (dhania) kwa Tanzania...
Allys enzi zile ilikuwa mpaka ushuke kwenye gari ndio moyo unatulia kwamba mmefika salamaNishaingia dar mwanza saa 11 jioni na allys. Wale jamaa hawana adabu. Singida tuliingia saa nane mchana dodoma saa tano asubuhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile sauti ya Manka ilikua ni ndege ya ardhini..Ilikuwa inaitwa sauti ya manka
Kazikata wapiNipo na Abood ya Tunduma kazikata zote hizo New Force na GOLDEN DEER
Wewe ndo umeongea point,ishu sio kwamba Sauli inakimbia sana.Tofauti inaletwa na umahiri wa drivers wake (Mwanyilu na Mwinuka).
Wadau salaam kwenu,
Kwa sasa bus la Sauli ndio linaweza kuwa bas linalokimbia sana barabarani (dhania) kwa Tanzania...
Naunga hoja, anaitwa mlabhilaje (yaan muwe mna wahi)Umenikumbusha mbali sana sauli kijana kutoka chunya ana pesa chafu yule kijana hana makuu pale chunya wanamwita manji aisee tutafuteni pesa naomba niishie hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
acheni mambo yenu basi la abiris 80km/h lakini sgr zenu ni 200km/h,,,,kama speed ndo ajari basi treni ya umeme haina maana
Kuna Mwekezaji na Klm na wengine Baadhi.Sio kwamba kila siku ni Sauli tu,wapo washindani wake mkuu,Kuna mwekezaji (Golden Deer) anamwaga maji na wengine wengi tu,na sio kwamba eti Sauli ndio gari inayokimbia kuliko zote Tanzania hiyo ni dhana uliyoibuni ww mleta uziView attachment 1323395View attachment 1323398