- Thread starter
- #21
Upo fresh
Poa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo fresh
Mkuu uko njema Hongera sana....
Hao waliokupima hawakukueleza maana ya vipimo mpaka uje JF?
Dimma, Ni vizuri kumuona Dr.
Pus kwenye semen inaweza kuwa normal kwa sababu ya white blood cells au inaweza ikawa ni infection.
Jinsi ya kutofautisha hayo mawili nadhani ni muhimu kumuona DR.
Nenda na mkeo mkapime na kupokea majibu kwa pamoja. Hii mambo ya kusema according to wife ni upuuzi tu. Nendeni wrote mpimwe pamoja na mpate jibu pamoja ili muweze kupandikizana kiume.
Hii psychology mnaisingizia mambo mengi siku hizi.Mkuu kwa mujibu wa majibu uko sawa hope hata mkeo yuko sawa ila tatizo lenu ni lakisakolojia zaidi
Siwezi kukuelezea kwa undani hapa ila jitahidi kufuta au kuondoa wazo la kupata mtoto wewe pamoja na mkeo kwenye akili zenu pindi mnapokutana
we fanya mapenzi kila mpatapo nafasi na badilisha mawazo badala ya kuwaza kushika mimba weka mawazo ya kuogopa kushika mimba wewe na mkeo
Mfumo wa uzazi ni mtambuka sana unashirikisha kila kitu kwenye mwili viongo vya uzazi pamoja na mbegu zinaweza kuwa sawa ila ubongo nao kuna vitu unaachia ili kukamilisha tendo la utungaji mimba
Msome mkeo kama hutoa ute ubebao (urahisishao mbegu za kiume kuogelea kuelekea liliko yao pevu) mbegu.Wasalaam wanaJF.
Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio.
Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini ndizo results, madaktari naombeni mnipe tafsiri yake, je niko fit? ama nina gobore lisilokuwa na risasi? :
View attachment 652764
(N.B: Blood group... Mimi ni O RH+ . Wife ni B+)
Ahsanteni.
Wasalaam wanaJF.
Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio.
Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini ndizo results, madaktari naombeni mnipe tafsiri yake, je niko fit? ama nina gobore lisilokuwa na risasi? :
View attachment 652764
(N.B: Blood group... Mimi ni O RH+ . Wife ni B+)
Ahsanteni.
Hizo dawa za michango ni za mahospitalini au za kienyeji alizozitumia?Nakm utathibitisha yupo sawa ,,naomba tuwasiliane ,,, wanawake wengi husumbuliwa nakitu kinaitwa "Mchango" bila kuiondoa iyo hata km anamayai ya mapacha mapacha HATOBEBA MIMBA NG'OOOOO NA HOSPITAL UNAAMBIWA MKEO YUPO SAWA NAWW UPO SAWA.
Na mpwa Wangu mmoja,, Kubeba mimba ilishindikana lkn Hospital kila kipimo anaonekana yupo sawa ,,kumbe alikua namchango " Wamama hii wanaijua sana" ......Akapatiwa dawa,, katumia wiki mbili Kichefu Mara kitu ikooooo saizi Toto lake linamiaka 3 bongeeeee na anamimba tena ( jamaa wake Hataki masiala)[emoji23] [emoji23]
so ukishampima akawa poa nabado kuna hilo tatizo Tichekiane mkuuu..
Wanaume hatutupanigi .
Nafikiri zinapimwa sperms,ila sasa ambacho sikijui hizo sperms kwa muda huo zinapatikanaje au ndo unapigishwa punyeto?Naomba kujuzwa ...ukienda kupima kama unaweza tungisha mimba ...wanapima nn manii yko....damu au nini