Sperm Analysis Report: Madaktari naombeni view yenu.

Sperm Analysis Report: Madaktari naombeni view yenu.

Hao waliokupima hawakukueleza maana ya vipimo mpaka uje JF?
 
Nenda na mkeo mkapime na kupokea majibu kwa pamoja. Hii mambo ya kusema according to wife ni upuuzi tu. Nendeni wrote mpimwe pamoja na mpate jibu pamoja ili muweze kupandikizana kiume. Mbona kama mpo fresh ni dakika mbili tu unamjaza mwenzio kiumbe takatifu? Kuna mama mmoja APA aliliwa na mumewe mwaka bila kitu. Kajipendekeza nilimtandika lisaa tu kaondoka baada ya wiki kanirushia mil. 3 kudadeki na message "Wewe ni Dume". Kufuatilia why kanipa story basi nikaendelea kulea kiumbe kwa miezi nane mpaka amezaliwa sasa mzee anaitwa baba sky. Kiumbe hajui siri. Nilisaidia tu jamani msinuhukumu nimepatanisha palipo potea amani.
 
Dimma, Ni vizuri kumuona Dr.

Pus kwenye semen inaweza kuwa normal kwa sababu ya white blood cells au inaweza ikawa ni infection.

Jinsi ya kutofautisha hayo mawili nadhani ni muhimu kumuona DR.
 
Mkuu kwa mujibu wa majibu uko sawa hope hata mkeo yuko sawa ila tatizo lenu ni lakisakolojia zaidi

Siwezi kukuelezea kwa undani hapa ila jitahidi kufuta au kuondoa wazo la kupata mtoto wewe pamoja na mkeo kwenye akili zenu pindi mnapokutana

we fanya mapenzi kila mpatapo nafasi na badilisha mawazo badala ya kuwaza kushika mimba weka mawazo ya kuogopa kushika mimba wewe na mkeo

Mfumo wa uzazi ni mtambuka sana unashirikisha kila kitu kwenye mwili viongo vya uzazi pamoja na mbegu zinaweza kuwa sawa ila ubongo nao kuna vitu unaachia ili kukamilisha tendo la utungaji mimba
 
Nenda na mkeo mkapime na kupokea majibu kwa pamoja. Hii mambo ya kusema according to wife ni upuuzi tu. Nendeni wrote mpimwe pamoja na mpate jibu pamoja ili muweze kupandikizana kiume.

Dimma, nadhani huu ushauri sio wa kupuuza. Lakini pia kama mama watoto alikuwa anatumia dawa za uzazi wa mpango, basi vumilieni. Hizo dawa huwa zinamtoa mwanamke kwenye reli ya uzazi.

Mwaka mmoja ni mapema sana kuanza kufadhaika. Msikubali pressure za nje.
 
Mkuu.

Upo ok

Shemeji aangalie magonjwa mengine.
Utapata tu mtoto

Mungu u nawe bdo
 
kuwa na subira na fuata ushauri wa kwenda kupima pamoja na mkeo.
 
Mkuu kwa mujibu wa majibu uko sawa hope hata mkeo yuko sawa ila tatizo lenu ni lakisakolojia zaidi

Siwezi kukuelezea kwa undani hapa ila jitahidi kufuta au kuondoa wazo la kupata mtoto wewe pamoja na mkeo kwenye akili zenu pindi mnapokutana

we fanya mapenzi kila mpatapo nafasi na badilisha mawazo badala ya kuwaza kushika mimba weka mawazo ya kuogopa kushika mimba wewe na mkeo

Mfumo wa uzazi ni mtambuka sana unashirikisha kila kitu kwenye mwili viongo vya uzazi pamoja na mbegu zinaweza kuwa sawa ila ubongo nao kuna vitu unaachia ili kukamilisha tendo la utungaji mimba
Hii psychology mnaisingizia mambo mengi siku hizi.
 
Wasalaam wanaJF.

Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio.

Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini ndizo results, madaktari naombeni mnipe tafsiri yake, je niko fit? ama nina gobore lisilokuwa na risasi? :

View attachment 652764

(N.B: Blood group... Mimi ni O RH+ . Wife ni B+)

Ahsanteni.
Msome mkeo kama hutoa ute ubebao (urahisishao mbegu za kiume kuogelea kuelekea liliko yao pevu) mbegu.
Inawezekana huu ute unatoka kwa nadra sana tena katika siku za kupumzika kwenu kwa kulazimishwa na biology.
 
Wasalaam wanaJF.

Mimi ni kijana wa kiume (umri miaka 30). Mimi na wife tumekuwa tunatafuta mtoto kwa muda karibia mwaka sasa, pasipo mafanikio.

Nikaamua kwenda maabara kupima sperms. Hapa chini ndizo results, madaktari naombeni mnipe tafsiri yake, je niko fit? ama nina gobore lisilokuwa na risasi? :

View attachment 652764

(N.B: Blood group... Mimi ni O RH+ . Wife ni B+)

Ahsanteni.
 
doh!pole boss..
ila hapo kwenye "other findings" & "odour" sijapaelewa kabisa! ina maana kila ME yuko tofauti hapo sio?
 
Nakm utathibitisha yupo sawa ,,naomba tuwasiliane ,,, wanawake wengi husumbuliwa nakitu kinaitwa "Mchango" bila kuiondoa iyo hata km anamayai ya mapacha mapacha HATOBEBA MIMBA NG'OOOOO NA HOSPITAL UNAAMBIWA MKEO YUPO SAWA NAWW UPO SAWA.

Na mpwa Wangu mmoja,, Kubeba mimba ilishindikana lkn Hospital kila kipimo anaonekana yupo sawa ,,kumbe alikua namchango " Wamama hii wanaijua sana" ......Akapatiwa dawa,, katumia wiki mbili Kichefu Mara kitu ikooooo saizi Toto lake linamiaka 3 bongeeeee na anamimba tena ( jamaa wake Hataki masiala)[emoji23] [emoji23]

so ukishampima akawa poa nabado kuna hilo tatizo Tichekiane mkuuu..
Wanaume hatutupanigi .
Hizo dawa za michango ni za mahospitalini au za kienyeji alizozitumia?
 
Yapo mengi ya kuuliza kuhusu wewe na mke wako yanayo hitaji majibu kabla ili kupelekea kujua kama tatizo lipo au la
 
Naomba kujuzwa ...ukienda kupima kama unaweza tungisha mimba ...wanapima nn manii yko....damu au nini
Nafikiri zinapimwa sperms,ila sasa ambacho sikijui hizo sperms kwa muda huo zinapatikanaje au ndo unapigishwa punyeto?
 
Back
Top Bottom