Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatia huzuni sana.Mapema leo zana ambazo zilitumika kumng'oa macho Mtoto Sagini zilipatikana nyumbani kwa nyanyake. Kinara mkuu aliyetekeleza kitendo hiki cha kihuni Maina Ochoki pia amekamatwa na atafikishwa mahakamani muda si mrefu lakini shida ya polisi hawakumuua.View attachment 2454079View attachment 2454080
Timu ya taifa ya Ufaransa
Thanks kumbe ndio huyu katiliInatia huzuni sana.
View attachment 2455213
Napatwa na hisia za huzuniTuwakumbuke wakati huu wa sikukuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2455215
Napatwa na hisia za huzuni
Broo Mshana Leo umejua kunitoa machozi, nimeumia kujua kua marafiki na ndugu tunaokula na kunywa nao Leo huenda kesho tukiwa hatupo wasile wala kunywa na watoto wetu.Mkumbushe mwanao kuwa ndugu wengi watasema wanampenda na kumthamini kwasababu wewe baba yake bado upo haiView attachment 2434332