Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

20221215_132607.jpg
 
A young boy, who had just stolen his father's car and crashed it, takes one last puff of his cigarette before facing the consequences, 1974.
20221215_150451.jpg
 
Wanajeshi wa Marekani waliopo Fulda wakiwafanyia sherehe ya Krismasi yatima na watoto wanaohitaji, Ujerumani, miaka ya 1950.
20221216_035911.jpg
 
Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu kutoka kijiji cha Ikuruma huko Marani, Kaunti ya Kisii amelazwa katika hospitali moja katika mji wa Kisii baada ya kung'olewa macho na genge linaloaminika kujulikana.

Madaktari wamesema kijana Junior Sagini, mwathiriwa wa shambulio hilo, ataendelea kuwa kipofu maisha yake yote
[emoji24][emoji24][emoji24]
20221220_144330.jpg
20221220_144324.jpg
 
Mapema leo zana ambazo zilitumika kumng'oa macho Mtoto Sagini zilipatikana nyumbani kwa nyanyake. Kinara mkuu aliyetekeleza kitendo hiki cha kihuni Maina Ochoki pia amekamatwa na atafikishwa mahakamani muda si mrefu lakini shida ya polisi hawakumuua.
20221222_071319.jpg
20221222_071316.jpg
 
"NDUGU MZAZI/MLEZI UONGOZI WA SHULE UNAKUTAARIFU KUWA OFISI YA UHASIBU IPO WAZI, HIVYO UNAOMBWA KULETA RISITI (BANK SLIP) ZA ADA MAPEMA ILI KUEPUKA USUMBUFU SIKU YA KUFUNGUA SHULE. TUNAKUTAKIA KHERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2023."
 
Mkumbushe mwanao kuwa ndugu wengi watasema wanampenda na kumthamini kwasababu wewe baba yake bado upo haiView attachment 2434332
Broo Mshana Leo umejua kunitoa machozi, nimeumia kujua kua marafiki na ndugu tunaokula na kunywa nao Leo huenda kesho tukiwa hatupo wasile wala kunywa na watoto wetu.

Ndugu zangu japo kwa udogo tuwakumbuke yatima katika msimu huu wa sikukuu, hii itakua sadaka kwaajili ya watoto wetu kesho.
 
Back
Top Bottom