Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Nimeamini ushabiki ni kitu kibaya sana haina utofauti na urahibu wa madawa na pombe.
I'm so soooooooo happy today yaani naumaliza mwaka vizuri Mungu akipenda shukrani za pekee kwake Daisy Skye
Mwezi uliopita CEO wa marvel studios alitangaza kwamba wamebadirisha tarehe ya muvi kadhaa kutoka na zingine zilizotakiwa kutoka 2022 wamezipeleka 2023. Kwa Kweli roho iliniuma kama nimefiwa au nimeibiwa kitu. Anyway nikaona nateseka kwa vitu visivyokua na faida nikapotezea na kumove On.
Duniani napenda sana waigizaji wawili Kit Harrington na Charlie Cox, Charlie aliigiza Kwenye Series ya Daredevil. He is my favorite yaani naweza kuingalia hii series kila siku ajili yake nikawa natamani kweli siku moja arudishwe kucheza character yake ya Matt Murdock maana hii Series ilikua Cancelled.
Nilijua tu soon or later Daredevil itarejeshwa rasmi MCU ila nilipenda Charlie ndio aendelee kuicheza so ili kuweka msisitizo nikaanzisha petition yangu huko Twitter nikawaarifu Walt Disney na Marvel studio juu ya petition yangu.
Mwezi huu December CEO akatangaza kwamba kama Daredevil atahitajika MCU basi ni charlie cox ndio atacheza nafasi hiyo
Spoiler Alert 🚫🚫
Hawkeye Ep5 ilipotoka nikamuona Vicent D'onafario yupo nikajua tu na Charlie lazima awepo since Echo ni girlfriend wa Daredevil. Mungu mwema kama walinisikia now Daredevil/Charlie Cox yupo kwenye Spiderman no way home movie as an attorney to spiderman.
Muvi inaachiliwa rasmi 17December, Samahani kwa kuspoil ni vile I'm so excited asee yaani Spiderman wapo watatu kama tulivyodhania, Venom yupo, Kubwa zaidi Strange Supreme rasmi yupo kwa mliotazama series ya What If....? mtakua mnamfaham na atakuwepo kwenye muvi ya Multiverse of Madness.
Aisee naona Weekend haifiki siwezi kuisubiria Torrent kwakweli hii itapendeza kuitaza kwenye Big Screen.
Cc
Super Assassin Richmoto Kushmoto George Betram Chilojnr Kunguru wa Manzese tzniceguy I am Groot Franky Samuel Chachasteven Kingsmann