Warrior
JF-Expert Member
- Oct 2, 2015
- 737
- 765
Nyie mnashangaa kwakua sio wasomaji wa Comics, mm nimpenzi na ninasoma sana Comics. Ukisoma comics lazima upende hizi muvi na kupenda kwangu comics kulianzia kwenye Majarida ya Sani,Amkeni, Mnara wa Mlinzi, Bongo na Femina/Fema Hip. Yaani hayo majaridi nilikua sikosi enzi hizo sijui yalipotelea wapi
Mkuu mim naomba unipe info hata kwa kifupi kuhusu uhusika wa RONIN katika Hawkeye maana wanamtaja then wananiacha mbali saana 🥲🥲🥲🥲