Spider-man No way Home Film

Spider-man No way Home Film

Corona imewarudisha nyuma wangevunja box office kwa nguvu zote, baki kwa post credit scenes
Hakuna marvel fans anaweza kutoka bila mid and post credit scene.
Yaani nataka nimuone strange Supreme asee.
Halafu ile post credit scene ya Venom Carnage nilikua sijaelewa ila baada ya spiderman ndio nimeelewa nini kilitokea
 
Kesho utaelewa zaidi
 
Kwani kuna habari gani??🍿🍿
IMG_20211218_011037.jpg
 
Nimeamini ushabiki ni kitu kibaya sana haina utofauti na urahibu wa madawa na pombe.
I'm so soooooooo happy today yaani naumaliza mwaka vizuri Mungu akipenda shukrani za pekee kwake Daisy Skye
View attachment 2046294
Mwezi uliopita CEO wa marvel studios alitangaza kwamba wamebadirisha tarehe ya muvi kadhaa kutoka na zingine zilizotakiwa kutoka 2022 wamezipeleka 2023. Kwa Kweli roho iliniuma kama nimefiwa au nimeibiwa kitu. Anyway nikaona nateseka kwa vitu visivyokua na faida nikapotezea na kumove On.

Duniani napenda sana waigizaji wawili Kit Harrington na Charlie Cox, Charlie aliigiza Kwenye Series ya Daredevil. He is my favorite yaani naweza kuingalia hii series kila siku ajili yake nikawa natamani kweli siku moja arudishwe kucheza character yake ya Matt Murdock maana hii Series ilikua Cancelled.

Nilijua tu soon or later Daredevil itarejeshwa rasmi MCU ila nilipenda Charlie ndio aendelee kuicheza so ili kuweka msisitizo nikaanzisha petition yangu huko Twitter nikawaarifu Walt Disney na Marvel studio juu ya petition yangu.

Mwezi huu December CEO akatangaza kwamba kama Daredevil atahitajika MCU basi ni charlie cox ndio atacheza nafasi hiyo
View attachment 2046293

Spoiler Alert [emoji724][emoji724]
Hawkeye Ep5 ilipotoka nikamuona Vicent D'onafario yupo nikajua tu na Charlie lazima awepo since Echo ni girlfriend wa Daredevil. Mungu mwema kama walinisikia now Daredevil/Charlie Cox yupo kwenye Spiderman no way home movie as an attorney to spiderman.

Muvi inaachiliwa rasmi 17December, Samahani kwa kuspoil ni vile I'm so excited asee yaani Spiderman wapo watatu kama tulivyodhania, Venom yupo, Kubwa zaidi Strange Supreme rasmi yupo kwa mliotazama series ya What If....? mtakua mnamfaham na atakuwepo kwenye muvi ya Multiverse of Madness.

Aisee naona Weekend haifiki siwezi kuisubiria Torrent kwakweli hii itapendeza kuitaza kwenye Big Screen.
Cc
Super Assassin Richmoto Kushmoto George Betram Chilojnr Kunguru wa Manzese tzniceguy I am Groot Franky Samuel Chachasteven Kingsmann

Umemtaja Daisy nikamkumbuka coulsen . Agents of shield wakaifunga wakati ilikuwa bado na ubora watazamaji wa kutosha! Damn,
Wapi Tutaona tena fitz-simons, enock, may , mark iseee!
 
Sony bwana huwa wanatoa trailer kama tatu za spider man . Unaweza ukadhani wamespoil kila kitu. Ila ukija kuangalia kitu chenyewe unakuta zile njia ulikuwa unaziwaza sizo. Wamepita kwingine na bado kitu kinakuwa na ubora.

Binafsi hakuna kitu huwa kinanikera kama unaenda kupakua torrent unaisubiri mpaka mwisho halafu ukija kuifungua unakuta ni yale mavideo wamerekodi kwenye kumbi za cinema. Quality mbovu
 
Binafsi mimi namsubiri tu falcon na winter soldier.
Yaani hii kitu najua shughuli yake itakuwa pevu.
Pamoja na blade atakayofanya mahashalla Ally .

Ila hii no way home ntaisubiri tu iletwe kwenye bure
 
Umemtaja Daisy nikamkumbuka coulsen . Agents of shield wakaifunga wakati ilikuwa bado na ubora watazamaji wa kutosha! Damn,
Wapi Tutaona tena fitz-simons, enock, may , mark iseee!
Namkubali sana Agent May
 
Binafsi mimi namsubiri tu falcon na winter soldier.
Yaani hii kitu najua shughuli yake itakuwa pevu.
Pamoja na blade atakayofanya mahashalla Ally .

Ila hii no way home ntaisubiri tu iletwe kwenye bure
Hivi bado kuna Falcon na Winter soldier bado? Naona kama wana new identity tayari
 
Toka msimu huu mpya wa marvel umeanza. Ni black widow tu ndio ilikuwa na Amsha amsha. Nadhani ni kwa sababu ilikuwa ni muda mfupi tu toka wameua character yake kwenye end game.
Lakini nyingine zilizofuata bado naona Hazijafika pale juu,
Hakuna wonder vision
Hakuna what if it
Hakuna Shang chi
Hakuna Loki

Hakuna hawkeye-labda tuipe muda
 
Kweli bado una safari ndefu....ila binadamu tunatofautiana viwango vya kupenda.
 
Kweli bado una safari ndefu....ila binadamu tunatofautiana viwango vya kupenda.

Black widow haikuwa na amsha amsha ilikuwa kawaida sababu watu tunajua black widow alikufa kwa ajili ya soul stone then leo unatupa solo movie yake mtu ambae tunajua tayari deceased.

Mm naona Black widow ingetoka kabla ya endgame event ingekuwa na hype zaidi
 
Mkuu yaani mnavyoniona wa ajabu kwa kupenda muvi na animation namm nawaona wa ajabu mnavyopenda mpira +Beer, hua najiuliza inakuaje mtu anapata hamu ya bia kabisa na kusema bia tamu????

Nilikua nataka nianze kushabikia mpira ila nimeona huko maumivu nimakali zaidi watu wanajiua kabisa kisa timu zao na kwa jinsi nilivyo nikipenda kitu nazama kabisa yaani I love it with integrity. Napenda Sci-fi movies ndio maana nawapenda Marvels...Halafu kinachovutia zaidi ni mtirirko wa story zao aisee hawa watu wanaakili bwana Bongo muvi sidhani tutawafikia bila miaka 2000kupita .

Someone anayeniuzia movie nilimwambia naona muvi na series zinanimalizia pesa tu bora niache kufuatilia. Akasema bora wewe ukichukua muviz za 5000 unaangalia wiki nzima wakati yeye anasema akienda bar kima vha chini anatumia 20K kwa siku. Sasa umeona bora mm nayependa muvi kuliko wapenda pombe, bora nibaki hukuhuku wengine bila kuvuta bangi hawaoni maisha kama ni kitu[emoji28]
Aisee mpira!! Nahisi nao ni ukichaa Bora hata movie mpira ni kucheza na kifo pombe ni kucheza na hasara kabisa kwa mtazamo wangu lakini
 
Sony bwana huwa wanatoa trailer kama tatu za spider man . Unaweza ukadhani wamespoil kila kitu. Ila ukija kuangalia kitu chenyewe unakuta zile njia ulikuwa unaziwaza sizo. Wamepita kwingine na bado kitu kinakuwa na ubora.

Binafsi hakuna kitu huwa kinanikera kama unaenda kupakua torrent unaisubiri mpaka mwisho halafu ukija kuifungua unakuta ni yale mavideo wamerekodi kwenye kumbi za cinema. Quality mbovu
Mbona huwa wanaandika kiongoz mfano unakuta imeandikwa VIDEOCAM hiyo usidownload alaf usidownload tu video kwakua umekuta ina GB ukadhani ndo inaquality nzuri
 
Finally nimeipata it was so amazing kwakwel Marvel wanaakili sana dah. Imependa zaidi fight scene za kwenye Mirror dimension I can't wait for Multiverse of madness.[emoji847][emoji847]View attachment 2048973

“You are in the Mirror dimension where i am in control” aisee Benedict Cumberbatch was born to play that role, tusubiri tu MoM humo na Scarlet Witch dah sipati picha
 
Kwa Umri huu nilonao bado nikae kwenye screen niangalie Spider man?
 
Kwa Umri huu nilonao bado nikae kwenye screen niangalie Spider man?

Stan Lee kafariki ana miaka 95 na bado alikuwa anatengeneza hizo ww ni nani... halafu avatar yako ina bwoy baada ya boy yet una claim kuwa uko matured [emoji28], sad
 
Back
Top Bottom