Spider-man No way Home Film

Spider-man No way Home Film

“You are in the Mirror dimension where i am in control” aisee Benedict Cumberbatch was born to play that role, tusubiri tu MoM humo na Scarlet Witch dah sipati picha
Aisee kwa lile trela la MoM inaonyesha itakua bomba na itakusanya character wengi sana. Can't wait for strange supreme, the powerful character
Mpaka sasa ishaingiza 600M
Soon tunaitafuta Billion dollars laiti isingekua Corona 2B ingepata
 
Kweli kabisa B itapatikana, sema corona imeleta changamoto sana kila upande
 
DOCTOR STRANGE 2
20211222_194005.jpg
 
Binafsi mimi namsubiri tu falcon na winter soldier.
Yaani hii kitu najua shughuli yake itakuwa pevu.
Pamoja na blade atakayofanya mahashalla Ally .

Ila hii no way home ntaisubiri tu iletwe kwenye bure
Hivi bado kuna Falcon na Winter soldier bado? Naona kama wana new identity tayari

Wazee mpo nyuma ya muda aisee. Falcón Winter soldier imeshaisha toka mwezi wa 4 nyie ndio mnaisubiria?? A nimeelewa vibaya. Ishatoka na mwendelezo upo njiani sasa sema badala ya kutoa series itatoka muvi itakoyoitwa Captain America 4 since sam wilson anakua Captain America kama ilivyo kwenye conics
Umemtaja Daisy nikamkumbuka coulsen . Agents of shield wakaifunga wakati ilikuwa bado na ubora watazamaji wa kutosha! Damn,
Wapi Tutaona tena fitz-simons, enock, may , mark iseee!
Agent of shield haikusitishwa, nadhani imefika hadi s8 na kama waliisitisha basi inawezekana baadhi ya characters wanakuja kwenye film.
Hii Series ni nzurii sana kwa wanaopenda action series. Nilimpenda Bob morse na May wanapiga mkono balaa.
Fitz the smartest nimejifunza mengi toka kwa huyu bwana. Hongera kwake Coulson kwa kuongiza team vyema.
Btw Daisy Skye ni jina la my wangu so nilimpa recognition yake. For making me happy eventually
 
Sema huko marvel... wale wakina Joe Russo na Anthony Russo na wenzao ni nyoko na nusu, its possible vichwa vyao viko na computer ndani😅😅
 
Nimeona trailer nimeshtuka nimekuja mbio mbio kuangaika mpaka nimemwaga msosi mezan[emoji3062]
cc [mention]Da’vinci [/mention], [mention]Franky Samuel [/mention]
 
Nimeona trailer nimeshtuka nimekuja mbio mbio kuangaika mpaka nimemwaga msosi mezan[emoji3062]
cc [mention]Da’vinci [/mention], [mention]Franky Samuel [/mention]
Ulijua utakuta kitu kipya??
 
Wazee mpo nyuma ya muda aisee. Falcón Winter soldier imeshaisha toka mwezi wa 4 nyie ndio mnaisubiria?? A nimeelewa vibaya. Ishatoka na mwendelezo upo njiani sasa sema badala ya kutoa series itatoka muvi itakoyoitwa Captain America 4 since sam wilson anakua Captain America kama ilivyo kwenye conics

Agent of shield haikusitishwa, nadhani imefika hadi s8 na kama waliisitisha basi inawezekana baadhi ya characters wanakuja kwenye film.
Hii Series ni nzurii sana kwa wanaopenda action series. Nilimpenda Bob morse na May wanapiga mkono balaa.
Fitz the smartest nimejifunza mengi toka kwa huyu bwana. Hongera kwake Coulson kwa kuongiza team vyema.
Btw Daisy Skye ni jina la my wangu so nilimpa recognition yake. For making me happy eventually
umetuelewa vibaya. But huyo jamaa hapo juu ndie alikuwa anaisubiria TFWS nikamwambia saivi wana majina mapya sio yale ya zamani.
 
Nimeona trailer nimeshtuka nimekuja mbio mbio kuangaika mpaka nimemwaga msosi mezan[emoji3062]
cc [mention]Da’vinci [/mention], [mention]Franky Samuel [/mention]
Kitu kinaonekana kitakuwa tofauti kinoma, horror movie hatari sana
 
Toka msimu huu mpya wa marvel umeanza. Ni black widow tu ndio ilikuwa na Amsha amsha. Nadhani ni kwa sababu ilikuwa ni muda mfupi tu toka wameua character yake kwenye end game.
Lakini nyingine zilizofuata bado naona Hazijafika pale juu,
Hakuna wonder vision
Hakuna what if it
Hakuna Shang chi
Hakuna Loki

Hakuna hawkeye-labda tuipe muda
Wanda and vision kweli mbaya

Falcon na winter solder pia mbaya

Ila loki hamna nakataa yani wameifanya mpka imekuwa na season 2

Concept ya multiverse imeanzia kule kwenye loki ambapo ndio main theme ya marvel next project after infinity saga ya mzee mzima thanos

Loki ime introduce multiverse war ambapo tutapata next big villain kang the conquer ambaye mmoja wa variant yake atakuwepo kwenye ant man 3
 
Kweli bado una safari ndefu....ila binadamu tunatofautiana viwango vya kupenda.
Hadi mimi nimeshangaa

Mkuu i'm groot nilipenda character yake walivyoipa season yake japo itakuwa ktk mfuko wa katuni nataka nione waki explore his home planet
 
Black widow haikuwa na amsha amsha ilikuwa kawaida sababu watu tunajua black widow alikufa kwa ajili ya soul stone then leo unatupa solo movie yake mtu ambae tunajua tayari deceased.

Mm naona Black widow ingetoka kabla ya endgame event ingekuwa na hype zaidi
Marvel wanazingua sana

Yaani utakuta wanaanza prequal halafu sequal yaani vice versa

Unaangalia picha za 2015 up to 2017 unaona Nick fury ana jicho bovu hujui imekuwaje baadae inatoka picha ya captain marvel hivi karibuni unaona jinsi ilivyokuwa kwa nini walishindwa kuianza captain america then captain marvel in order
 
Hii spider Man no way home nimeshaiona tayari ni ya kawaida sana sema mashabiki wanaipasha sana
 
Back
Top Bottom