Nyie mnashangaa kwakua sio wasomaji wa Comics, mm nimpenzi na ninasoma sana Comics. Ukisoma comics lazima upende hizi muvi na kupenda kwangu comics kulianzia kwenye Majarida ya Sani,Amkeni, Mnara wa Mlinzi, Bongo na Femina/Fema Hip. Yaani hayo majaridi nilikua sikosi enzi hizo sijui yalipotelea wapi

mkuu mimi ni mwangaliaji wa movie lakini baada ya ku download kutoka kwenye torrent, hivi kama kuangalia hiyo spiderman no way home, ni shingapi?Jana Tar 16 Nilienda Cinema watu walikuwa wengi balaa nahis leo Ijumaa ndio itakuwa kufuru
Movie ilikuwa tamu sana “I won’t spoil a thing” ila kelele kama zote aisee Nenda Cinema maana mle unakutana na wenzako wenye enthusiasm kama yako.
Leo naenda tena kurudia nashukuru niko mzima mpaka kuiona hii spiderman naogopa nkifa sitaona Movie za Marvel
Hahaaa wee jamaa kama mimi kabisa, yaani hua naomba kabisa Mungu anisaidie nione muvi fulani. Ndio maana Captain marvel ilivyorushwa mpaka 2023 roho iliniuma balaa.Jana Tar 16 Nilienda Cinema watu walikuwa wengi balaa nahis leo Ijumaa ndio itakuwa kufuru
Movie ilikuwa tamu sana “I won’t spoil a thing” ila kelele kama zote aisee Nenda Cinema maana mle unakutana na wenzako wenye enthusiasm kama yako.
Leo naenda tena kurudia nashukuru niko mzima mpaka kuiona hii spiderman naogopa nkifa sitaona Movie za Marvel
Je ulishaitazama muvi ya Avangers endgame?? Kama jibu ni ndio basi kwa mujibu wa Comics Ronin ni jina bandia (Alias) linalotumiwa na characters kadhaa kama vile Maya lopez, Alexei Shostakov, Blade, na Pondexter. Mara nyingi Clint alilitumia hili jina pindi laipokua anadeal na Cartel mabalimbali Mexico na Japan.Mkuu mim naomba unipe info hata kwa kifupi kuhusu uhusika wa RONIN katika Hawkeye maana wanamtaja then wananiacha mbali saana 🥲🥲🥲🥲
Dodoma Cinema itaonyeshwa lini, na shingapi?Mkuu huwezi kuipata kwa sasa subiri baada ya miezi 2 ndio unaweza ipata torrent
[emoji122][emoji122][emoji122]Kwakweli sifahamu maana siishi huko, kwa huku niliko ni 15K so jaribu kuandaa kama 20K ukaenjoy na my wako kwenye big screen
Kiongilio shingapi huko mkuu???
Daah... Arusha tunapigwa vitu bei kila upande. Maybe Kwakua hamna kumbi nyingi
Thanks for info anyway nimeshindwa kusubiri hadi X mass kesho naenda asee hakuna namnaLabda kwa kuwa mji wa kitaalii whites wengi maana hata jana majiran wang walikuwa whites sana sana hii Cinema ya Aura huwa inajaa na Indians sometimes huwa najihis kama mm ndio mgeni
Thanks for info anyway nimeshindwa kusubiri hadi X mass kesho naenda asee hakuna namna
Situmii fb,situmii Youtube(For 3months now I disabled it), situmii Insta wala Twitter.Nenda kila la kheri ila stay off social medias hasa hasa YouTube maana spoilers zipo kila kona
Situmii fb,situmii Youtube(For 3months now I disabled it), situmii Insta wala Twitter.
Naona mpaka sasa washaingiza Mill100 daah ingekua sio Corona wangepiga 2B