Spider-man No way Home Film

Corona imewarudisha nyuma wangevunja box office kwa nguvu zote, baki kwa post credit scenes
Hakuna marvel fans anaweza kutoka bila mid and post credit scene.
Yaani nataka nimuone strange Supreme asee.
Halafu ile post credit scene ya Venom Carnage nilikua sijaelewa ila baada ya spiderman ndio nimeelewa nini kilitokea
 
Kesho utaelewa zaidi
 
Umemtaja Daisy nikamkumbuka coulsen . Agents of shield wakaifunga wakati ilikuwa bado na ubora watazamaji wa kutosha! Damn,
Wapi Tutaona tena fitz-simons, enock, may , mark iseee!
 
Sony bwana huwa wanatoa trailer kama tatu za spider man . Unaweza ukadhani wamespoil kila kitu. Ila ukija kuangalia kitu chenyewe unakuta zile njia ulikuwa unaziwaza sizo. Wamepita kwingine na bado kitu kinakuwa na ubora.

Binafsi hakuna kitu huwa kinanikera kama unaenda kupakua torrent unaisubiri mpaka mwisho halafu ukija kuifungua unakuta ni yale mavideo wamerekodi kwenye kumbi za cinema. Quality mbovu
 
Binafsi mimi namsubiri tu falcon na winter soldier.
Yaani hii kitu najua shughuli yake itakuwa pevu.
Pamoja na blade atakayofanya mahashalla Ally .

Ila hii no way home ntaisubiri tu iletwe kwenye bure
 
Umemtaja Daisy nikamkumbuka coulsen . Agents of shield wakaifunga wakati ilikuwa bado na ubora watazamaji wa kutosha! Damn,
Wapi Tutaona tena fitz-simons, enock, may , mark iseee!
Namkubali sana Agent May
 
Binafsi mimi namsubiri tu falcon na winter soldier.
Yaani hii kitu najua shughuli yake itakuwa pevu.
Pamoja na blade atakayofanya mahashalla Ally .

Ila hii no way home ntaisubiri tu iletwe kwenye bure
Hivi bado kuna Falcon na Winter soldier bado? Naona kama wana new identity tayari
 
Toka msimu huu mpya wa marvel umeanza. Ni black widow tu ndio ilikuwa na Amsha amsha. Nadhani ni kwa sababu ilikuwa ni muda mfupi tu toka wameua character yake kwenye end game.
Lakini nyingine zilizofuata bado naona Hazijafika pale juu,
Hakuna wonder vision
Hakuna what if it
Hakuna Shang chi
Hakuna Loki

Hakuna hawkeye-labda tuipe muda
 
Kweli bado una safari ndefu....ila binadamu tunatofautiana viwango vya kupenda.
 
Kweli bado una safari ndefu....ila binadamu tunatofautiana viwango vya kupenda.

Black widow haikuwa na amsha amsha ilikuwa kawaida sababu watu tunajua black widow alikufa kwa ajili ya soul stone then leo unatupa solo movie yake mtu ambae tunajua tayari deceased.

Mm naona Black widow ingetoka kabla ya endgame event ingekuwa na hype zaidi
 
Aisee mpira!! Nahisi nao ni ukichaa Bora hata movie mpira ni kucheza na kifo pombe ni kucheza na hasara kabisa kwa mtazamo wangu lakini
 
Mbona huwa wanaandika kiongoz mfano unakuta imeandikwa VIDEOCAM hiyo usidownload alaf usidownload tu video kwakua umekuta ina GB ukadhani ndo inaquality nzuri
 
Finally nimeipata it was so amazing kwakwel Marvel wanaakili sana dah. Imependa zaidi fight scene za kwenye Mirror dimension I can't wait for Multiverse of madness.[emoji847][emoji847]View attachment 2048973

“You are in the Mirror dimension where i am in control” aisee Benedict Cumberbatch was born to play that role, tusubiri tu MoM humo na Scarlet Witch dah sipati picha
 
Kwa Umri huu nilonao bado nikae kwenye screen niangalie Spider man?
 
Kwa Umri huu nilonao bado nikae kwenye screen niangalie Spider man?

Stan Lee kafariki ana miaka 95 na bado alikuwa anatengeneza hizo ww ni nani... halafu avatar yako ina bwoy baada ya boy yet una claim kuwa uko matured [emoji28], sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…