Aisee kwa lile trela la MoM inaonyesha itakua bomba na itakusanya character wengi sana. Can't wait for strange supreme, the powerful character“You are in the Mirror dimension where i am in control” aisee Benedict Cumberbatch was born to play that role, tusubiri tu MoM humo na Scarlet Witch dah sipati picha
Mpaka sasa ishaingiza 600MHizi rates ni nomaView attachment 2051449
Aisee kwa lile trela la MoM inaonyesha itakua bomba na itakusanya character wengi sana. Can't wait for strange supreme, the powerful character
Mpaka sasa ishaingiza 600M
Soon tunaitafuta Billion dollars laiti isingekua Corona 2B ingepata
Ni kweli au unaturusha hapa?? Ngoja nikapakua Youtube asee niitizameTyar first trailer limeachiwaView attachment 2053769
Wahi YouTube haraka hawa marvel wanataka watupe sonona hapa mwezi may nauona mbali sanaNi kweli au unaturusha hapa?? Ngoja nikapakua Youtube asee niitizame
Nothing new.Tyar first trailer limeachiwaView attachment 2053769
Binafsi mimi namsubiri tu falcon na winter soldier.
Yaani hii kitu najua shughuli yake itakuwa pevu.
Pamoja na blade atakayofanya mahashalla Ally .
Ila hii no way home ntaisubiri tu iletwe kwenye bure
Hivi bado kuna Falcon na Winter soldier bado? Naona kama wana new identity tayari
Agent of shield haikusitishwa, nadhani imefika hadi s8 na kama waliisitisha basi inawezekana baadhi ya characters wanakuja kwenye film.Umemtaja Daisy nikamkumbuka coulsen . Agents of shield wakaifunga wakati ilikuwa bado na ubora watazamaji wa kutosha! Damn,
Wapi Tutaona tena fitz-simons, enock, may , mark iseee!
umetuelewa vibaya. But huyo jamaa hapo juu ndie alikuwa anaisubiria TFWS nikamwambia saivi wana majina mapya sio yale ya zamani.Wazee mpo nyuma ya muda aisee. Falcón Winter soldier imeshaisha toka mwezi wa 4 nyie ndio mnaisubiria?? A nimeelewa vibaya. Ishatoka na mwendelezo upo njiani sasa sema badala ya kutoa series itatoka muvi itakoyoitwa Captain America 4 since sam wilson anakua Captain America kama ilivyo kwenye conics
Agent of shield haikusitishwa, nadhani imefika hadi s8 na kama waliisitisha basi inawezekana baadhi ya characters wanakuja kwenye film.
Hii Series ni nzurii sana kwa wanaopenda action series. Nilimpenda Bob morse na May wanapiga mkono balaa.
Fitz the smartest nimejifunza mengi toka kwa huyu bwana. Hongera kwake Coulson kwa kuongiza team vyema.
Btw Daisy Skye ni jina la my wangu so nilimpa recognition yake. For making me happy eventually
Master mind hawa. Yaani hawakoseagiSema huko marvel... wale wakina Joe Russo na Anthony Russo na wenzao ni nyoko na nusu, its possible vichwa vyao viko na computer ndani😅😅
Kitu kinaonekana kitakuwa tofauti kinoma, horror movie hatari sanaNimeona trailer nimeshtuka nimekuja mbio mbio kuangaika mpaka nimemwaga msosi mezan[emoji3062]
cc [mention]Da’vinci [/mention], [mention]Franky Samuel [/mention]
Ulijua utakuta kitu kipya??
Wanda and vision kweli mbayaToka msimu huu mpya wa marvel umeanza. Ni black widow tu ndio ilikuwa na Amsha amsha. Nadhani ni kwa sababu ilikuwa ni muda mfupi tu toka wameua character yake kwenye end game.
Lakini nyingine zilizofuata bado naona Hazijafika pale juu,
Hakuna wonder vision
Hakuna what if it
Hakuna Shang chi
Hakuna Loki
Hakuna hawkeye-labda tuipe muda
Hadi mimi nimeshangaaKweli bado una safari ndefu....ila binadamu tunatofautiana viwango vya kupenda.
Marvel wanazingua sanaBlack widow haikuwa na amsha amsha ilikuwa kawaida sababu watu tunajua black widow alikufa kwa ajili ya soul stone then leo unatupa solo movie yake mtu ambae tunajua tayari deceased.
Mm naona Black widow ingetoka kabla ya endgame event ingekuwa na hype zaidi