Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Huyu nae alishindwa kumhoji Bashite kwa kuwatukana hadharani, leo anachukia anapoambiwa ukweli. Mungu muue Ndugai anataka kutuhalibia nchi yetu.Kwani hilo nalo bunge au kijwe cha kahawa
Du, kumbe Pascal Mayalla ni MPINZANI? Hahahahahaha! Huyu Ndugai anahitaji kuombewa.Duuh Pascal....