GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni matumaini yangu makubwa sana kwamba kupitia hili lililotokea sasa Pascal Mayalla ataukumbuka ule ushauri wangu ' Kuntu ' kabisa wa ' Kitahadhari ' niliompa wiki tatu tu zilizopita japo alinijibu kwa ' Kujiamini ' kabisa lakini alisahau ya kwamba japo Yeye ni Kaka yangu na ' Comrade ' wangu ' Kitasnia ' ila Mimi kidogo nimemzidi upande wa kuwa ' Sungura ' na kuona mbali ( mwenye maono ya hatari ) huku nikiwa nimejaaliwa mno ' machale ' na Mwenyezi Mungu. Pole sana ' Kamarada ' wangu ila yataisha tu usijali.