Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"

View attachment 742128

Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.

Taarifa zaidi zinafuata...
Hongera Pascal jiwe uliotupa gizani limempata mlengwa na utawashinda .Jiwe mwenyewe mpaka leo ajakujibu swali lako .amekacha sembuse wapambe wake !!
 
Mhe. Ndugai ameapa kula sahani moja na Pascal kwa kuingilia haki za bunge na wabunge kupitia gazeti la Raia mwema.

Adhabu kubwa kupita zote ambayo bunge linaweza kuitoa kwa mayalla koala hili kama likithibika ni ipi ?
 
Hakuna Adhabu yeyote zaidi ya kutoa hela ili waundaji wa kamati wazipige .
Note.
Bunge sio mahakama .
 
Mhe. Ndugai ameapa kula sahani moja na Pascal kwa kuingilia haki za bunge na wabunge kupitia gazeti la Raia mwema.

Adhabu kubwa kupita zote ambayo bunge linaweza kuitoa kwa mayalla koala hili kama likithibika ni ipi ?
Kuleta cheti cha Bibi wa Bibi yake
Also kuonesha makaburi ya Babu wa Babu yake!
Mwisho kabisa kuambiwa yeye siyo raia kamilli kwa kushindwa kuonyesha hivyo vitu!

Nadhan hiyo ndiyo adhabu kubwa kuliko zote
 
kichwa cha hbr kinaleta ukakasi sana leta hoja ya maana aisee
Mm nmemsikia ndugai aksema aje ndg pascal kwny kamati ya maadili na sio kukiona na kwenye kamat ya maadili ukiona wanakamat wote ndio wale walisemwa na SHAABAN RIBERT ktk kitabu chake cha KUSADIKIKA unaomba tu radhi/msamaha
Pascal don't worry stand on truth side and the truth will safeguard you
 
Tatizo la wahandishi wa habari wanapangiwa cha kuandika na serikali, wala hawana uhuru wa kutoa taarifa zenye ukweli na tija kwa jamii badala yake wanashinikizwa na serikali kwanamna moja au nyingine kuandika kisichofaaa/kisicho na mantiki katika jamii.

Leo hii pascal mayalla anaonekana ni adui mkubwa wa bunge.... akiangalia kwa jicho la tatu pascal anachofanya ni ile emotional expression of journalism......
 
Katika nyakati hizi zenye mabaya mengi na ujinga usiomithilika, muandishi wa habari kuandamwa na wajinga ni beji ya heshima. Inaonesha umefanya kazi yako vizuri.

Ndugai kwa kashfa yake ya kumcharaza mtu bakora kwenye kampeni tu hakutakiwa kuwa hata mbunge, na pengine asingekuwa hata mtu huru, kwa kuweza fungwa.

Seuze leo kawa Spika!
 
Kama vipi Pascal Mayalla na yeye atayarishe majibu kama yale ya Zitto Kabwe aliyoyatoaga kwenye ile kamati nadhani ilikua ya maadili mpaka jamaa wakaamua kuahirisha kumuita maana majibu yale yalikua hawayawezi kutoa majibu
Naaaam,akawapige za uso kulekule.afanye zaidi ya zitto.

Peni na vifungo asisahau
 
Back
Top Bottom