GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
hapana sio kweli, wewe upo katika lile kundi la makarai!sisi wanahabari tunaojielewa na kuhoji tunatafutwa sana
Wanapewa hela na nani?Ukiambiwa ulete ushahidi utaleta?Kabla ya kushutumu jaribu kushirikisha ubongo kufikiri!Ukweli mnaujua wenyewe, mnapewa hela kuchafua serikali
Paskali ameeleza kitu kinachoonekana bayana mbele ya macho ya watanzaniaWewe hapa haumo lakini!!!
Pia atapimwa Mkojo, Paskal mayala hana raha tena yupo busy anawaza sanaZAMU YA P. MAYALLA KUCHUNGUZWA UHALALI WA URAIA WAKE...aandandae vyeti vyote vya kuzaliwa kuanzia vya babu mzaa babu yake na vya bibi mzaa bibi yake... kama hana hivi sio RAIA...nawaza tu kwa sauti.