OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
My Take
Naomba na mimi kuunganishwa kwenye kesi ya Pasco kwa kusema bunge hili ni bunge la hovyo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na huo ndio ukweliView attachment 742226
My Take
Naomba na mimi kuunganishwa kwenye kesi ya Pasco kwa kusema bunge hili ni bunge la hovyo kabisa
Uunganishwe kwa hayo majina yako fake!? Jitambulishe rasmi, siyo kujificha nyuma ya keyboard na kujiona kidume!View attachment 742226
My Take
Naomba na mimi kuunganishwa kwenye kesi ya Pasco kwa kusema bunge hili ni bunge la hovyo kabisa
Umeshaunganishwa!View attachment 742226
My Take
Naomba na mimi kuunganishwa kwenye kesi ya Pasco kwa kusema bunge hili ni bunge la hovyo kabisa
Tumeshampata huko huko!Uunganishwe kwa hayo majina yako fake!? Jitambulishe rasmi, siyo kujificha nyuma ya keyboard na kujiona kidume!
View attachment 742226
My Take
Naomba na mimi kuunganishwa kwenye kesi ya Pasco kwa kusema bunge hili ni bunge la hovyo kabisa
Akileta unitag!!ONA AIBU WASI.....wewe nae ni mwanahabari UNAEJIELEWA KWELI????
kila mtu anafahamu kabsa wewe ni kamradi maalumu ka hapo UFIPA.....zero brain kabsa MUANDIKA UMBEA, unaekopi mada fb na kutuletea hapa...wakati unanijibu hii comment uje utuonyeshe ANDIKO LOLOTE ULILO WAHI KUANDIKA HAPA JF la kutoka kichwani kwako mwenyewe kama afanyavyo PASCHAL
Abadili title iwe Bunge linaipenda serikali halafu content zibakiKazi ipo!
CHEKI ULIVYO BHANGI......hivi hapa UNATUDHIRISHIAJE wewe kweli ni mwanaume wa SHOKA kwa ulichokiandika nyuma YA KEYBOARD????.....Utaunganishwaje NA JASIRI KAMA PASCHAL ili hali upo nyuma ya keyboard?View attachment 742226
My Take
Naomba na mimi kuunganishwa kwenye kesi ya Pasco kwa kusema bunge hili ni bunge la hovyo kabisa
Paschal Mayalla ni verified user humu na anafahamika. Wewe nani?View attachment 742226
My Take
Naomba na mimi kuunganishwa kwenye kesi ya Pasco kwa kusema bunge hili ni bunge la hovyo kabisa
Huna haja ya kuomba. Wewe jipeleke tu na utaunganishwa bila tabu.View attachment 742226
My Take
Naomba na mimi kuunganishwa kwenye kesi ya Pasco kwa kusema bunge hili ni bunge la hovyo kabisa
naona hata nikikuelewesha taaluma ya uwandishi wa habari baado itakuwia vigumu sana kuelewa weweTatizo wewe Ulitaka awe Ukawa?
Paschal Mayalla ni Mwanahabari huru...
Hafungamani na Upande wowote na Huwa analiweka wazi hilo....Tatizo Inategemea na Uelewa wa Kichwa chako...spoon Feeding!
Yeye kila Upande Kukosoa na Kusifia pale inapostahili....Tatizo wewe Umezoea 1+1=2
Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"Taarifa zaidi zinafuata...