The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
spika anasema bungeni kuna watu wamesoma saana , kwa maoni yake usomi kwake ni vyeti vingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mi nmeshindwa kuilewa hii kamati, mipaka yake ni ipi au haina mipaka?
Maana naona ina uwezo wa kugusa kila mtu
Hajui kuwa vyeti vya elimu ni risit kuonyesha kiasi cha pesa uliyolipa kama ada. Kuelimika ni kitu kingine. Ndiyo maana majimbo mengine yana wabunge wa darasa la saba au kidato cha nne na waliwashinda wenye vyetispika anasema bungeni kuna watu wamesoma saana , kwa maoni yake usomi kwake ni vyeti vingi
ONA AIBU WASI.....wewe nae ni mwanahabari UNAEJIELEWA KWELI????
kila mtu anafahamu kabsa wewe ni kamradi maalumu ka hapo UFIPA.....zero brain kabsa MUANDIKA UMBEA, unaekopi mada fb na kutuletea hapa...wakati unanijibu hii comment uje utuonyeshe ANDIKO LOLOTE ULILO WAHI KUANDIKA HAPA JF la kutoka kichwani kwako mwenyewe kama afanyavyo PASCHAL
Safi sana, angalau unawajua wanaoujua ukweli. Kwa hiyo wewe ni muongo na hiyo hoja yako ya kupeana hela.
By the way 'madamu', ni Bunge sio Serikali.
sisi wanahabari tunaojielewa na kuhoji tunatafutwa sana
wale wa std seven au?spika anasema bungeni kuna watu wamesoma saana , kwa maoni yake usomi kwake ni vyeti vingi
mbona bashe ana bachelor tu lakini anawazidi hao wenye vyeti vingiHajui kuwa vyeti vya elimu ni risit kuonyesha kiasi cha pesa uliyolipa kama ada. Kuelimika ni kitu kingine. Ndiyo maana majimbo mengine yana wabunge wa darasa la saba au kidato cha nne na waliwashinda wenye vyeti