Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

Hata mi nmeshindwa kuilewa hii kamati, mipaka yake ni ipi au haina mipaka?

Maana naona ina uwezo wa kugusa kila mtu

Yaani ni ajabu sana. Inaingilia kazi za msajili wa magazeti, Media council na hata tcra ukiangalia kwa jicho la pili na la tatu. Raia wa kawaida anahojiwaje na hii kamati ilhali ni kamati ya maadili ya bunge?
 
spika anasema bungeni kuna watu wamesoma saana , kwa maoni yake usomi kwake ni vyeti vingi
Hajui kuwa vyeti vya elimu ni risit kuonyesha kiasi cha pesa uliyolipa kama ada. Kuelimika ni kitu kingine. Ndiyo maana majimbo mengine yana wabunge wa darasa la saba au kidato cha nne na waliwashinda wenye vyeti
 
MPWA WANGU PM
AMEPITIA MENGISANA NAHISI KUJILINDA AKIWANAHOJIWA APIGESIMU KWAMTU AWE ANASIKIA KINACHOENDELEA HATA KUKIISHIAKIMYA AJUE MPWA TUNAMPATA WAPI..MUNGU AKUTANGULIEMPWA
 
Wana Nzengo,naombeni kuanzia Leo tuanze kumuombea kwa mungu wetu,Muandishi nguli,Ndg Paschal Mayala,aepushwe na mabaya yote yanayoweza kumtokea,baada ya kuonyesha kutoyumbishwa na wito wa Speaker.Pamoja na speaker kushikiria msimamo kwamba lazima Paschal aitwe kwenye kamati ya maadili,bado paschal hajaogopa na ameendelea kushikiria imani ya tulio wengi kuhusu bunge letu.

Kwa nini aombewe,.Kama tujuavyo hali ilivyo sasa,ukionekana unakosoa mihimili ya nchi na ukajulikana,basi jiandae kwa kinachoweza kukutokea.Hebu tuombe lisitokee kwa mwandishi huyu mahili aliyebakia ambaye angalau anauthubutu wa kusema na kutusemea sisi tuliogeuka kuwa kunguru.Mungu mlinde na kumsimamia shujaa wetu Paschal,kwa mabaya yote yanayoweza kumpata.
 
Unyonge wetu ndo umetufikisha hapa, yanayoendelea nchini ni wake up call. Leo tukiomba kwa Pascal Mayala kesho tutaomba kwa nani? Hata Mungu naye atatuchoka.
 
ONA AIBU WASI.....wewe nae ni mwanahabari UNAEJIELEWA KWELI????
kila mtu anafahamu kabsa wewe ni kamradi maalumu ka hapo UFIPA.....zero brain kabsa MUANDIKA UMBEA, unaekopi mada fb na kutuletea hapa...wakati unanijibu hii comment uje utuonyeshe ANDIKO LOLOTE ULILO WAHI KUANDIKA HAPA JF la kutoka kichwani kwako mwenyewe kama afanyavyo PASCHAL

Umelipwa sh ngapi?
 
Safi sana, angalau unawajua wanaoujua ukweli. Kwa hiyo wewe ni muongo na hiyo hoja yako ya kupeana hela.

By the way 'madamu', ni Bunge sio Serikali.

La muhimu asiende peke yake . Afuatane na mwanasheria wake na jamaa zake wa karibu. awamu hii kuna watekaji na wauawaji wengi . Awe makini mwenzake Azory mpk kesho hajarudi. Namuombea kwa Allah amuepushie na balaa na arudi nyumbani kwake salama. Akitoka hapo mitaani awe makini. Kuna wapemba sita walitekewa iwki iliyopita na watatu mpka leo hawajulikani waliko. Hivyo awe makini kwa sababu watekaji bado wapo na ndo wanazidi baada ya kupewa mishahara mikubwa.
 
Hajui kuwa vyeti vya elimu ni risit kuonyesha kiasi cha pesa uliyolipa kama ada. Kuelimika ni kitu kingine. Ndiyo maana majimbo mengine yana wabunge wa darasa la saba au kidato cha nne na waliwashinda wenye vyeti
mbona bashe ana bachelor tu lakini anawazidi hao wenye vyeti vingi
 
Back
Top Bottom