Spika Dkt. Tulia Ackson: Mbeya Watanikumbuka Kwa Ujenzi wa Barabara Njia 4

Siwezi kumlinganisha Sugu na Tulia kwa kuwa siyo subject matter. Bali subject matter ni kuhusishwa Tulia na ujenzi wa barabara ya Igawa- Tunduma.

Tafuta wajinga wa Facebook ndiyo uwadanganye achana na JF, lakini sisi tuna juwa ukweli
 
Watamuweka nani hao Chadema? Mwambukusi au? Sugu atakubari?
Mwabukusi ana nafasi kubwa japo yeye ni mwana NCCR. Ila siyo lazima ahamie CHADEMA, wanaweza kuachiana.

Japo Mwabukusi pia ni mlengwa wa Busokelo. Kwa hiyo ataangalia zilipo strengths nyingi na probabilities
 
Siwezi kumlinganisha Sugu na Tulia kwa kuwa siyo subject matter. Bali subject matter ni kuhusishwa Tulia na ujenzi wa barabara ya Igawa- Tunduma.

Tafuta wajinga wa Facebook ndiyo uwadanganye achana na JF, lakini sisi tuna juwa ukweli
Kwanza hujaelewa hata mada yangu maana mwishoni nimehoji Miaka 10 ya Sugu kafanya nini?

Kazi ya mbunge popote ni kusemea Wananchi Ili Serikali itatue hizo shida Sasa wewe Kila kitu unabisha sijui tukusaidiaje.

Hiyo nimetaja ni miradi mikubwa ,Baadhi ya miradi midogo ni hii hapa

View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1699305706065711341?t=j_9qmY26urhacLuAtbq-lQ&s=19
Na juzi alikuwa kuchangia blocks za ujenzi wa jengo la Moyo hospital ya Rufaa Kwa Ajili ya Huduma hizo maana tulikuwa tunazifuata Dar,Dom au Ikonda Sasa zitapatikana Mbeya.

Kazi nzuri ya Dr.Tulia mama wa connection anaiheshimisha Mbeya,acha chuki zako Jamaa

View: https://www.instagram.com/p/CxCfYl9oXge/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Siwezi kumlinganisha Sugu na Tulia kwa kuwa siyo subject matter. Bali subject matter ni kuhusishwa Tulia na ujenzi wa barabara ya Igawa- Tunduma.

Tafuta wajinga wa Facebook ndiyo uwadanganye achana na JF, lakini sisi tuna juwa ukweli
Mwamba ni mzushi na muongo sana
Kuna siku alipigwa ban watu wakawa wanamponda sikuelewa na sikuchangia chochote ila leo ndo nimeelewa
 
Aseee kweli... kwa hiyo kujenga miundombinu ya barabara kwako ndo maana ya kiongozi?
Kwani hapo umeona ni miundombinu ya Barabara tuu? Mkienda Kugombea Huwa mnawaambia nini wapiga kura wenu?

Au hizo manifesto zenu Huwa mnaandika nini humo ndani?
 
Anyway tusibishane sana, umetimiza wajibu wako kumfagilia Tulia, if there's any pay you deserve, go and collect. Ila hoja ya Tulia kuwa ni mbunge mwenye impact na Mbeya hizo ni NJOZI tu
 
Anyway tusibishane sana, umetimiza wajibu wako kumfagilia Tulia, if there's any pay you deserve, go and collect. Ila hoja ya Tulia kuwa ni mbunge mwenye impact na Mbeya hizo ni NJOZI tu
Ukiona namfagilia mtu ujue amefanya jambo zuri,Mimi sio mshabiki wa Vyama.

Hata Samia namfagilia Kwa sababu anafanya mambo mazuri ya kuonekana.

Mwisho Kuna ujumbe hapa 👇
 
ni sawa haina shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…