Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa

Kanusa 2025 kaona hakutakuwa na Mbeleko.Kaona Sugu atashinda. Hivyo solution ni moja tu.Jimbo ligawanywe.Tulia apate kipande chake na Sugu apate chake.Kama tu Jimbo la Biharamulo lilivyogawanywa ndo Magufuli akashinda ubunge.
 
Kanusa 2025 kaona hakutakuwa na Mbeleko.Kaona Sugu atashinda. Hivyo solution ni moja tu.Jimbo ligawanywe.Tulia apate kipande chake na Sugu apate chake.Kama tu Jimbo la Biharamulo lilivyogawanywa ndo Magufuli akashinda ubunge.

Biharamuro, Nzega, Kasulu, Kahama, Geita, na kwa jenister muhagama yale majimbo yaligawanywa kimkakati kuwapa watu ulaji na umuhimu wa kua na wabunge wengi kimsingi haupo maana jimbo lipo ndani ya halmashauri ya wilaya, mji, manispaa na jiji ambako huko mkurugenzi yupo na anawajibika vyema huku akisaidiwa na wakuu wa idara mbalimbali, sema ndio vile acha wale washibe wasaze
 
Huu utaratibu wa kugawa majimbo, wilaya na mikoa utatupeleka pabaya! Baadaye tutajikuta kila baada ya kilomita 30 tuna Jimbo au wilaya na kila baada ya kilomita 100 tuna mkoa.

Matokeo yake gharama za kuendesha serikali itakuwa kubwa kuliko mapato ya nchi!
 
Mbagala inatoa majimbo matatu
Kutokana na wingi wa watu?

Ilala nayo iongezewe majimbo angalau 2 maana kuna Kasehemu kana watu sawa na Ilala ila kana wabunge 70
 
Wanawaza matumbo Yao tu kuliko kuondoa umaskini wa nchi, Yani wanataka idadi ya wabunge iongezeke huku umaskini ukiwa palepale.

We have useless and selfish politicians
Serikali haiondoi Umasikini, ni jukumu la kila mwananchi kujiondoa kwenye umasikini
 
#TheSuguFactor. Keep your girls locked, the boys are in town
 
Kuna sehemu kanusa kaona anaweza pata unafuu bila Sugu au? 😁😁
 
Kila tawi atakalo rukia sugu yupo
 
Naomba kuuliza hv tuliishawahi kusikia USA,au UK inagawa majimbo,state,au mikoa yake,
Wingi wa watu sio hoja ya maana ya kuongeza Mbunge,shida za watu ni zilezile,Mbunge anayewakilisha watu 1000,na anayewakilisha watu 20000,tofsuti ipo wapi?wsngesema shule,hospitari,vituo vya polisi viongezwe ingekuwa na maana,
Washenzi Hawa,wanalinda ulaji wao tu,wanajua,kwenye uchaguzi wa haki,Jimbo lote linaenda upinzani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…